Kabla hujaoa Usukumani, zingatia haya ili ndoa yako idumu

Uchawi sasa, kila watu wanne, watatu wachawi
 
Mimi niko buzirayombo nitayajuaje ya ulaya,hata kama wanao mimi hayanihusu
Buzirayombo kuna wachawi hapo balaa, Ila kuna mdada mmoja mwarabu hapo, hana hiyana. Wazee wa Buziku, Chankende,
 
Hatubaguani sisi ni jamii moja aina ya ngoma zinazochezwa hadi matambiko tunafanana.
nimeishi na wanyamwezi na wasukuma. kwa kweli wanyamwezi ni tofauti hawana pigo za kidwanzi kama wasukuma. hata wanavyoongea hawakazi maneno kama wasukuma. pia wanyamwezi sio wafugaji wao wazee wa kurina asali na tumbaku. wasukuma ni wafugaji. sema wasukuma bado wana uduwanzi japo sio wote. pia wauaji wa albino ni wasukuma, wanyamwezi hawana hizo mambo nimewaona wako tofauti mno na wasukuma kitabia.
 
umesema wanawake wa kisukuma hawajui kucheat?...🤔🤔

aiseeee,...ebu kuwa serious kidogo...🤣🤣🤣
 
Buzirayombo kuna wachawi hapo balaa, Ila kuna mdada mmoja mwarabu hapo, hana hiyana. Wazee wa Buziku, Chankende,
Kuna wachawi hatari na majini juu,huu ulijuwa mji maarufu sana umedumaa sababu ya uchawi,zamani watu wa Chato walikuwa wakienda kuhemea Buzirayombo.
Buziku nayo ilikuwa imechangamka kuliko Katoro na Bwanga,ila ujambazi umeidumaza,dah umenimumbusha maeneo yangu ya kujidai enzi za Magu
 
Huu ni uongo, wasukuma waliokuwa na akili ya kuwekeza massively miaka ya '60 ni wachache sana, angalau wangekuwa wachaga ningekubali hao kwao civilization ilianza zamani sana
 
Ni kabila linaloongoza Kwa uchawi na ushirikina Tanzania nzima
Wasukuma na makabila ya mwambao wa pwani km Wazaramo, Wamatumbi, Wangindo nk haya makabila yanaamini sn ushirikina ila Wasukuma wanaamini katika dini za jadi tofauti na hao wapwaoi ambao wanajifanywa Waislamu huku wakiendekeza ushirikina.
 
umesema wanawake wa kisukuma hawajui kucheat?...🤔🤔

aiseeee,...ebu kuwa serious kidogo...🤣🤣🤣
Hawajui huyu,ningekaa miaka 4 ningefikisha wanawake 400 kama Balthazar
 
Lakini sawa ila hawa dada zako na mama zenu wanaocheza vigodoro na kutingisha makalio bila hofu huo sio u prinitive.
Na declare kuwa ni wa huko . Nimejifunza mengi hususan hili la ulaji na uchoyo hasa hofu ya wageni ni kwa makabila maskuni wa aoishi kwa unga robo na mafuta ya kupima kwa maisha hayo mtu akibusha hidi lazima tumbo likuume lakini hawa wasukuma hasa wa kwetu huko ukweli tuna kula mwanaume kama mimi lazima nile kilo ya unga.
Ulaji pia unaendana na kimo sasa hawa watani zangu urefu wa ndoo ale nusu kilo si itakuwa ajabu.
Hili la chale ni ukweli sema tunapishana tu na makabila mengine hawa wanakunywa kombe, wengine wana majini wanepewe kila siku kiti ana masharti. Kwahiyo ni uchaguzi
 
Wasukuma na makabila ya mwambao wa pwani km Wazaramo, Wamatumbi, Wangindo nk haya makabila yanaamini sn ushirikina ila Wasukuma wanaamini katika dini za jadi tofauti na hao wapwaoi ambao wanajifanywa Waislamu huku wakiendekeza ushirikina.
Upo sahihi,tena unakuta msukuma hata majina yake yote ni ya asili,sio mtu kujiita Mohamed Said au Yohana Petro na huku unaroga
 
Buziku wanyarwanda kama Diwani Salama wanapanyanyua kwa ufugaji. Buzirayombo miaka ya zamani ilikuwa maarufu. Mganza bado ina u maarufu.

Pale makurugusi karibu na Bwanga, ndani ndani kuna kitongoji cha Gambushi, noma sana, nilifika hapo wanakwambia mchana panaweza kuwa kama Dar
 
Kwahiyo bhangosha kilo unamaliza kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…