Thank you kipenzi... Japo mimi sio "Mkuu" mimi ni Babu.Braza Asprin is here leo..
Happy to see you mkuu.
Shika adabu yako wewe. Kama ambavyo hakuna Kuku anayezaa, Pia Hakuna binadamu anaye zaa. Binadamu anajifungua....Suala la kuzaa ni suala la kufa na kupona. Of course huwezi elewa kwa sababu wewe kazi yako ni kukoj*a tu unaletewa mtoto...umeniudhi we babu
Achana na hilo bwabwa,haya Mapapai hua yanapenda sana kushauri wanawake waachane na wanaume coz wanaona nikama vile mnawazibia riziki ya kupelekewa moto.😳🤔speechless
How? Hao wanaume hawajiju8 km wana wake na familia?
Sasa habari za kutahiriwa wewe babu mimi zinanihusu nini? Nafaidikaje na kutahiriwa kwako? Tunatungumzia hii ya kuzaa au kujifungua (utajua mwenyewe )ambayo mimi naingia mimi leba kukutana uso kwa uso na mtoa roho halafu nikitoka na mtoto walimwengu wanasema mtoto wa AsprinShika adabu yako wewe. Kama ambavyo hakuna Kuku anayezaa, Pia Hakuna binadamu anaye zaa. Binadamu anajifungua....
Hivi wewe unaujua uchungu wa kutahiriwa au unazungumzia mikojo hii ya UTI??
Lakini wayahudi hawakumuonea huruma,wakamsulubu na kumuulia mbali.Yesu mwenyewe alikiogopa akasema ikiwezekana kikombe kimuepuke ndo sembuse mie.
😃😃😃😃Suala la kuzaa ni suala la kufa na kupona. Of course huwezi elewa kwa sababu wewe kazi yako ni kukoj*a tu unaletewa mtoto...umeniudhi we babu
Sasa unadhani huyo mtoto utampata bila mimi kutahiriwa. Zingatia neno KUTAHIRIWA.Sasa habari za kutahiriwa wewe babu mimi zinanihusu nini? Nafaidikaje na kutahiriwa kwako? Tunatungumzia hii ya kuzaa au kujifungua (utajua mwenyewe )ambayo mimi naingia mimi leba kukutana uso kwa uso na mtoa roho halafu nikitoka na mtoto walimwengu wanasema mtoto wa Asprin
Sasa mimi na hako kajukuu kuna kupigana hapo? Sema kama ninataka kukapiga...😃😃😃😃
Kama mnataka kupigana tafuteni uzi wowote wa @tlah tlah mkapiganie huko mwanangu ataitwa Amani.
Hakuna cha maandiko yatimie,alizidiwa tu na ukatili wa wayahudi."Ili maandiko yatimie' eti.
Sawa babu.Thank you kipenzi... Japo mimi sio "Mkuu" mimi ni Babu.
Bila kujalisha jinsia ya kajukuu kajacho tafadhali tukabatize "Paracetamol" Ili baadae kaje kanirithi kwenye kutuliza maumivu ya hawa wadhambi walioshindikana
Tutakaita kwa kifupi kama "Ceta" ili kukakwepesha na mbinu ovu za ibilisi na washirika wake
Kuvuka mmeshavuka salama. Tatizo ni kukalea haka ka-Ceta ketu kasije kakalghaiwa na mikono dhalimu ya maibilisiSawa babu.
Tuombe tu Ceta na mama Ceta tuvuke salama.
HatutakiUJUMBE WA KWA WADADA WA JF: ACHANA NA WAUME ZA WATU.
MNA ATHIRI MAISHA YA FAMILIA HUSIKA NA WATOTO NDIO WANAATHIRIKA ZAIDI.
jagina zenu zina nguvu sana, kama vile zilivyo na uwezo wa kuumba vile vile zina uwezo wa kubomoa.