Kabla sijaenda kufanyiwa Operation Jumatatu nina ujumbe kwa waJF kadhaa

Swali zuri Maria wangu.
Wanaume wenyewe wengine wakaenda na kuoa Tanga, inasemekana ndo kwenye mapenzi lkn kutwa kuhangaika😁😁 na wadada wa bara πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
 
NB:Kumbe ni thieta sio fietaπŸ˜ƒ
Ila hiyo 'thieta' mbona kama kipare
Mkuu mi siyo mpare ila sijui huwaga mnapelekwa fieta au thieta ila nakutakia heri kwenye harakati zako za kutuongezea mtanzania mmoja.
 
Itoshe kusema wote mliosoma points zote 11 na kulazimisha kuzielewa huku uandishi ukiwa umekosewa sana mnapenda sana umbeya
 
Uncle to be.
Dogo atakua akisumbua namleta kwako uhangaike nae umuambukize na ujiniaz,siwezi kufa akati watu wana ma uncle zao.
Sawa, keeping you in prayer my lovely sis

Uncle tutamfunza kuwa great thinker, just like her mom
 
Unajua mimi na ualimu wangu nikisoma mwandiko wa Prida nasikia kizunguzungu 😬 😎 mama kijacho analijua hilo πŸ˜‚

Achana na kujifungua kisasa mkuu, niambie upo wapi nije nikufungulie njia mkuu...πŸ˜‹
Ila mzee mwenzangu unazeeka vibaya πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Sijamsahau.
Nimempa zawadi ya ku glow huku ananukia futa la nazi kama mtoto mchanga.

Eti Binti wa zamani ni kweli wanachokisema majiraz zako kuwa wameona fuso limeshusha mzigo wa nazi hapo kwako?
Zigo la nazi limefika mamie, hapa wote na shemejiyo tumeloweshana shata shata 🀎🀍
 
Nina Hakika hayo ni mafuta GA mabele

Mafuta ya nazi msukuma wapi na wapi?

Mafuta ya mashishanga hayo, acha zako
 
pole sana, hizi OP za kujifungua huwa hatari sana, nimepoteza my anti ,siku ya kufanyiwa OP akakumbana na kifafa cha uzazi,Mungu akulinde Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…