Kabla sijaoa, mlioko kwenye ndoa naomba mnifahamishe yafuatayo…

Chief Kumbyambya

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2022
Posts
719
Reaction score
2,408
Nataka nikiingia kwenye ndoa niwe mtu katili kweli kweli kwenye mali zangu hata kama bado sijazipata naamini nitakuja kumiliki tena nyingi sana. Je hati za nyumba na kadi za umiliki wa magari yako, mashamba na mali zako zote wewe mwanaume mwenzangu huwa unazificha wapi? Nataka mke wangu huyo nitakaekuja kumuoa asije kujua hivi vitu vya uthibitisho wa umiliki viko mahali gani hata kidogo aone tu mali sio hati za umiliki nipeni mbinu. Vipi kuhusu akaunti zako za benki anazijua zote au unamuonesha moja tu ile yenye balance kidogo sana? Nauliza haya ili isije ikatokea nikakatisha uhai wa mtu huko mbele panapo majaaliwa. Maana tutakataa ndoa weeee tukataa weeee lakini finally tutaoa tu.
 
Tukikupa mbinu hapa watagundua
 
Back
Top Bottom