ni kweli hayo yapo, lakini as a man , ishi na mwanamke kwa akili. siku hizi kuna njia nyingi sana za kisheria ukizifuata wala hurokua na haja ya kuficha vitu kiasi hicho.'
mf. kaka yangu alioa, but yule wifi alikua amefata tu mali zake, alivoona huyo mkewe ana too many confusing issues, akaweka kila kitu kisheria, na mali zote akaandikisha mzazi.
mwamke alipotaka kujifanya wagawane mali (kulitokea ugomvi mkubwa kati yao)
akakuta kaka hana chochote, vyote ni mali ya mzazi. bro akaepuka kufirisiwa na yule mwanamke.
Ishini nasi kwa akili thats all