Kabla sijaoa, mlioko kwenye ndoa naomba mnifahamishe yafuatayo…

Kabla sijaoa, mlioko kwenye ndoa naomba mnifahamishe yafuatayo…

Kuna mabenki yana safe deposit box, unalipa ada na kutia makaratasi yako huko.
Hata hivyo utaishi maisha ya hovyo kama mawazo yako ni kumfanyia mwenzako ukatili.
 
Hv kwa style hii kuna haja gani ya kua na ndoa, nini maana ya ndoa?? Mtu kisaikolojia tayari umeshajipanga kwamba unaenda kuishi na adui,unadhani utafika na huyo mtu wapi,? Wanaume sahv mmezidi malalamiko na wakati nyie ndio chanzo cha haya yote, mwanamke akikupenda kwa moyo wake wote usipoanza kumvuruga wewe, huwez kuteseka na ndoa, tatizo wanaume wanaanza vurugu mwanamke akimalizia ndo analaumiwa
Mwanamke yupi unayemzungumzia hapa bikra au asiye na bikra, Acha kurahisisha mambo hivi
 
ni kweli hayo yapo, lakini as a man , ishi na mwanamke kwa akili. siku hizi kuna njia nyingi sana za kisheria ukizifuata wala hurokua na haja ya kuficha vitu kiasi hicho.'

mf. kaka yangu alioa, but yule wifi alikua amefata tu mali zake, alivoona huyo mkewe ana too many confusing issues, akaweka kila kitu kisheria, na mali zote akaandikisha mzazi.

mwamke alipotaka kujifanya wagawane mali (kulitokea ugomvi mkubwa kati yao)

akakuta kaka hana chochote, vyote ni mali ya mzazi. bro akaepuka kufirisiwa na yule mwanamke.

Ishini nasi kwa akili thats all
nUe

hapa nimwkuelewa vizuri sana mali nitafite mimi alafu kwa umalaya wake eti tugawane pasu kwa pasu
 
Yani unavimba kichwa kabisa eti “ishini nasi kwa akili“ Si umeona huyo mpuuzi mwenzio alichotaka kumfanyia kakaako? Sasa ninachowaza mimi na alichokifanya huyo kakaako kuna utofauti gani? Yani niumize akili kutafuta pesa ili niishi vizuri halafu mimi huyo huyo niumize akili yangu tena eti kwa ajili tu ya kuishi na nyie? Hivi kichwani uko timamu kweli wewe?
eeh pole mkuu na niwie radhi, hayo ni naoni tu as to show men sometimes wanawake hua na maamuzi yasoeleweka, thats why ishini nao kwa akili, hasa ambao hamjaishi more than 7+ years, mkiishi 7+ yrs utakua unamjua vizuri nae anakujua , hivo ni rahisi kumcontrol.

nimeongea by experience niloshuhudia kwa wanawake kadhaa, so ishi nao kwa akili
 
Mtafute Ashraf Hakimi anayekipiga pale PSG akupe mbinu alizotumia, maana naona unaogopa yasije kukuta yaliyomkuta Emanuel Eboue.. Hongera kwa kushtukia mchezo mapema maana ukishaingia kwenye game kuna kuwekwa "sawa" ukabwaga kila kitu kwa mama chanja,,
 
Yaani wewe muonekano wako utapata mwanamke atakae kushika kisawasawa mwombe sana mungu akupatie mtakaoendana nae bila kufanya ivyo utakuja kuleta mrejesho
 
Kachukue safe deposit benki kwa mwezi crdb basic ni 30k - 100k documents zote sensitive ficha pale .

Cha pili kabla ndoa mfanye mkeo asign prenup , hii inahakikisha chochote alichokupata nacho au utakachomiliki sio matrimonial property
Kwani Tanzania kuna Sheria ya prenup ?
 
Hakikisha cheti cha ndoa hakisajiliwi huko wanaposajili hatakuwa na jeuri.
 
Back
Top Bottom