Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂😂😂😂😂 huko ndo hapafai kabisa kimbia sanaKama unataka kuoa na kuishi kwa amani bila kuwa na wasiwasi wa kupoteza mali zako nakushauri umuoe Mwanamke wa Kimachame
Mwanamke yupi unayemzungumzia hapa bikra au asiye na bikra, Acha kurahisisha mambo hiviHv kwa style hii kuna haja gani ya kua na ndoa, nini maana ya ndoa?? Mtu kisaikolojia tayari umeshajipanga kwamba unaenda kuishi na adui,unadhani utafika na huyo mtu wapi,? Wanaume sahv mmezidi malalamiko na wakati nyie ndio chanzo cha haya yote, mwanamke akikupenda kwa moyo wake wote usipoanza kumvuruga wewe, huwez kuteseka na ndoa, tatizo wanaume wanaanza vurugu mwanamke akimalizia ndo analaumiwa
nUeni kweli hayo yapo, lakini as a man , ishi na mwanamke kwa akili. siku hizi kuna njia nyingi sana za kisheria ukizifuata wala hurokua na haja ya kuficha vitu kiasi hicho.'
mf. kaka yangu alioa, but yule wifi alikua amefata tu mali zake, alivoona huyo mkewe ana too many confusing issues, akaweka kila kitu kisheria, na mali zote akaandikisha mzazi.
mwamke alipotaka kujifanya wagawane mali (kulitokea ugomvi mkubwa kati yao)
akakuta kaka hana chochote, vyote ni mali ya mzazi. bro akaepuka kufirisiwa na yule mwanamke.
Ishini nasi kwa akili thats all
hapa nimwkuelewa vizuri sana mali nitafite mimi alafu kwa umalaya wake eti tugawane pasu kwa pasuni kweli hayo yapo, lakini as a man , ishi na mwanamke kwa akili. siku hizi kuna njia nyingi sana za kisheria ukizifuata wala hurokua na haja ya kuficha vitu kiasi hicho.'
mf. kaka yangu alioa, but yule wifi alikua amefata tu mali zake, alivoona huyo mkewe ana too many confusing issues, akaweka kila kitu kisheria, na mali zote akaandikisha mzazi.
mwamke alipotaka kujifanya wagawane mali (kulitokea ugomvi mkubwa kati yao)
akakuta kaka hana chochote, vyote ni mali ya mzazi. bro akaepuka kufirisiwa na yule mwanamke.
Ishini nasi kwa akili thats all
Hiyo ni kwa mjibu wa muumbaji mwenyewe.Hii dhana naikataa kata kata!
Alipatia ajali mkuu!Wewe si walisema umekufaa?
Watu tunatafsiri vibaya maandiko!Hiyo ni kwa mjibu wa muumbaji mwenyewe.
eeh pole mkuu na niwie radhi, hayo ni naoni tu as to show men sometimes wanawake hua na maamuzi yasoeleweka, thats why ishini nao kwa akili, hasa ambao hamjaishi more than 7+ years, mkiishi 7+ yrs utakua unamjua vizuri nae anakujua , hivo ni rahisi kumcontrol.Yani unavimba kichwa kabisa eti “ishini nasi kwa akili“ Si umeona huyo mpuuzi mwenzio alichotaka kumfanyia kakaako? Sasa ninachowaza mimi na alichokifanya huyo kakaako kuna utofauti gani? Yani niumize akili kutafuta pesa ili niishi vizuri halafu mimi huyo huyo niumize akili yangu tena eti kwa ajili tu ya kuishi na nyie? Hivi kichwani uko timamu kweli wewe?
HayajakukutaHao ni kitu kidogo sana kama tu mali zangu zitakua salama
Nakazia kwa Spana ya Bus kubwaYaani jitu Malaya,limetoka kwao mke/mme malezi tofauti muwe mwili mmoja!Nakataa!
Kwani Tanzania kuna Sheria ya prenup ?Kachukue safe deposit benki kwa mwezi crdb basic ni 30k - 100k documents zote sensitive ficha pale .
Cha pili kabla ndoa mfanye mkeo asign prenup , hii inahakikisha chochote alichokupata nacho au utakachomiliki sio matrimonial property
Ndio , the law imevolve under family case law , sema its not widespread na pia wengi hawaijui or they simply ignore its possibility ila inafanyikaKwani Tanzania kuna Sheria ya prenup ?
Under statutes haipo ila the courts developed it through case law though sio widespread sana since bongo wengi ni conservative or maybe hawaijui ila ipoPrenup inakubalika kwa sheria za bongo?