HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
- Thread starter
-
- #41
Mnasapiti mlicholishwa na kuletewa na wakoloni waliowapotosha pasipo nyie kutaka kufikirisha ubongo wenu na kujua ukweli wa mambo,je ni kweli wewe ulitokana na nyani kama walivyokulisha na bado unaamini hivyo?Mbona unaongea kwa uhakika sana as if we ulikuwepo ila wajinga sisi hatukuwepo ndio maana tunasapoti tusichkokijua😂
Ujinga upi mbona unalazimisha unachoamin. Ukiwa unauliza swali subir jibu sio uje na jibu na kuona watu ni wajinga. Nimekuambia watu ambao walikufa kabla ya Yesu kuja humu dunian watahukumiwa na zile sheria zao walizojiwekea wenyewe. Maana kama sheria zao wenyewe walishindwa kuzifuata hata sheria ya Mungu hawawez kuzifuata. Na usisahau sheria za binadam karibu asilimia 80 ni zile zile za Mungu. Yesu aliwashukia kuzimu kuwahubiria roho zilizokataa wakati wa nuhu ili wote tuhukumiwe pamoja. Sio lazima usome bibilia ya king James. Kuna Ethiopian Bible ina maelezo marefu zaid. Ambayo haikupita mikonon mwa mzungu. Pili yale unayoamin usilazimishe watu waamin au usione ujinga ufaham wa mtu kila mtu ana hatima yake. Ndio wazungu wanatuona vilaza. Unauliza swali ukiwa unajibu lako sasa sijui unataka usaidiwe nini.Je, hao wazee waliohasi enzi za nuhu walikuwa ni waafrika?je,watu ambao hawamfuati yesu/ukristo/biblia watahukumiwa kwa sheria zipi?acha ujinga huu siyo wakati wa kukariri na kuamini mambo bali ni wakati wa KUFIKIRI,KUWAZA na KUJUA mambo.
Na wewe ulipigana kusitisha biashara ya utumwa?je uliwahi kufikiri sababu nyingine za kusitisha hiyo biashara au unaropoka tu?Muisraeli / Myahudi wa kweli ni yule aliyemkubali YESU.
Wakristo ndio waliopigania kusitishwa kwa biashara ya utumwa.
Kama kuna kwenda mbinguni kwa nini mnazikwa chini msiende moja kwa moja huko mbinguni?Mbinguni
Walikuwa wanaabudu mizimu ya kiafrica, sasa tuaabudu mizimu ya kizunguWalikuwa wanaabudu mizimu
Mbinguni na kuzimu kunajulukana kabla ya wanishenari. Ndio maana kila kabila lina jina la Mungu kwa lugha yao.Iwapo kuna mbinguni na kuzimu wanakoenda Wafrika wakifa je kabla ya wamisionari walienda wapi?
Duuh. Hivi wewe ni mzima kweli?Kama kuna kwenda mbinguni kwa nini mnazikwa chini msiende moja kwa moja huko mbinguni?
andika kwa uhalisia wako si wakutoa kwenye vitabu vya kutunga! Je, kabla ya ujio wa dini zetu hii,waafrika walikuwa wana dini gani?,ngoja ni reply kisha niku tagWarumi 2 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹² Kwa kuwa wote waliokosa pasipo sheria watapotea pasipo sheria, na wote waliokosa, wenye sheria, watahukumiwa kwa sheria.
¹³ Kwa sababu sio wale waisikiao sheria walio wenye haki mbele za Mungu, bali ni wale waitendao sheria watakaohesabiwa haki.
¹⁴ Kwa maana watu wa Mataifa wasio na sheria wafanyapo kwa tabia zao yaliyo ndani ya torati, hao wasio na sheria wamekuwa sheria kwa nafsi zao wenyewe.
¹⁵ Hao waionyesha kazi ya torati iliyoandikwa mioyoni mwao, dhamiri yao ikiwashuhudia, na mawazo yao, yenyewe kwa yenyewe, yakiwashitaki au kuwatetea;
¹⁶ katika siku ile Mungu atakapozihukumu siri za wanadamu, sawasawa na injili yangu, kwa Kristo Yesu.
naomba utafakari hapa kisha usichoke kushea ulichokipata hapa
Hili swali hata kadinari Protase Rugambwa pamoja na pengo yamkini hata kwa Id fake hawawezi wakakujibu
HAKI KWA WOTE missionaries sio the the first people to preach the gospel to Africa, Ukristo ulifika Africa before Europe.Iwapo kuna mbinguni na kuzimu wanakoenda Wafrika wakifa je kabla ya wamisionari walienda wapi?
Nikishakaa nikafikiria badae inanisaidia kufanya nini mkuu?Acha kubweteka ubongo soma,waza,fikiri na jua huu siyo wakati wa kukariri kila unachoelezwa au ulicholishwa pambanua mambo na ulinganishe kupata ukweli,shoe bag!
Nyie ndiyo bado mnaamini binadamu alitokana na nyani,sasa mnaakili nyie??
Sasa kama si tumeletewa, na wewe umetoa wapi mawazo yako ulikuja nayo kutoka tumboni ?Mnasapiti mlicholishwa na kuletewa na wakoloni waliowapotosha pasipo nyie kutaka kufikirisha ubongo wenu na kujua ukweli wa mambo,je ni kweli wewe ulitokana na nyani kama walivyokulisha na bado unaamini hivyo?
Je ni sahii?Walikuwa wanaabudu mizimu ya kiafrica, sasa tuaabudu mizimu ya kizungu
Shangaaa!!Ujinga upi mbona unalazimisha unachoamin. Ukiwa unauliza swali subir jibu sio uje na jibu na kuona watu ni wajinga. Nimekuambia watu ambao walikufa kabla ya Yesu kuja humu dunian watahukumiwa na zile sheria zao walizojiwekea wenyewe. Maana kama sheria zao wenyewe walishindwa kuzifuata hata sheria ya Mungu hawawez kuzifuata. Na usisahau sheria za binadam karibu asilimia 80 ni zile zile za Mungu. Yesu aliwashukia kuzimu kuwahubiria roho zilizokataa wakati wa nuhu ili wote tuhukumiwe pamoja. Sio lazima usome bibilia ya king James. Kuna Ethiopian Bible ina maelezo marefu zaid. Ambayo haikupita mikonon mwa mzungu. Pili yale unayoamin usilazimishe watu waamin au usione ujinga ufaham wa mtu kila mtu ana hatima yake. Ndio wazungu wanatuona vilaza. Unauliza swali ukiwa unajibu lako sasa sijui unataka usaidiwe nini.
hii ni injustice sasa, heri theology ya muarabu katika hiloWale waliotenda dhambi bila kuijua sheria wataangamia ingawaje hawaijui sheria.
Sasa hivi ambavyo hufikiri inakusaidia nini kama siyo umauti kutokufikiri?Nikishakaa nikafikiria badae inanisaidia kufanya nini mkuu?
SijuiJe ni sahii?