Jibu mkuuSwali dogo sana ili hadi naona aibu kujibu 👶👶👶
Mbona amkuniuliza mimi ili swali ...mimi nina majibu kamili tatizo leni ni kukosa akili jibu la ili swali lipo wazi kabisa na linajulikana vizazi na vizaziHili swali hata kadinari Protase Rugambwa pamoja na pengo yamkini hata kwa Id fake hawawezi wakakujibu
Unatakiwa kujua kitu kinaitwa PURE RELIGION ni nini? .....binadamu ana ufunuo ndani yake wa kujua mema na mabaya kiasili ...hata ADAMU na HAWA walipokula tunda walipata huo ufunuo wakajua mema na mabaya ...dini ni kujua mema na mabaya kisha kutenda mema na kutokutenda mabaya ....kumbukeni kabla ya maandiko haya tuliyo nayo sasa, ufunuo ulio tumika kumu hukumu mtu ni dhamira ya moyo mwake mtu mwenyewe.Jibu mkuu
Kuna maswali mengine watajibu malaika aisee😂🤣Hamna aliyesema wanaenda wapi kwa usahihi
Watu wanaeleza Historia
Walikuwa hawajaui , hawajapata hiyo injili ,
Kama hawakupata wangejuaje?
Na wameenda wapi
Je wamechomwa moto au wanaenda mbinguni?
Naomba namimi kuuliza swali, je ukivunja sheria ya nchi bila kujua dola itaku-consider?Unatakiwa kujua kitu kinaitwa PURE RELIGION ni nini? .....binadamu ana ufunuo ndani yake wa kujua mema na mabaya kiasili ...hata ADAMU na HAWA walipokula tunda walipata huo ufunuo wakajua mema na mabaya ...dini ni kujua mema na mabaya kisha kutenda mema na kutokutenda mabaya ....kumbukeni kabla ya maandiko haya ufunuo ulio tumika kumuhukumu mtu ni dhamira ya moyo mwake mtu mwenyewe
DINI MSINGI WAKE NI KUJUA MEMA NA MABAYA ...ndiyo maana ikaandikwa hao wasio fikiwa na neno la mungu watahukumiwa na dhamira zao wenyewe maana ndani ya mwanadamu mungu kafunya kujuq mema na mabaya kiasili kama nyuki wajuavyo wajibu wao bila ya kwenda shule hivyo hivyo kujua mema na mabaya kupo ndani ya mioyo yetu ....je adamu na hawa walikuwa na biblia au msahafu ? Je walimjua Yesu na mafundisho yake je walimjua muhammad na mafundisho yake ? Kumbukeni kaini alimuua ndugu yake na hakukua na sheria ya usiue mbona mungu alimuhesabia uovu ? KWA SABABU ALITENDA LILE TENDO NA DHAMIRA YAKE ILIKUWA NI KUTENDA LISILO JEMA BALI LILILO OVU ....HIVYO DHAMIRA YAKE ILIMSHUHUDIA HATIA ...
Dhambi ni kujua HAKI na BATILI MOYONI MWAKO KISHA UKATENDA BATILI DHIDI YA HAKI ....Hivyo kama hao watu walitenda MEMA NA HAKI wata hukumiwa peponi na kama walitenda MABAYA NA BATILI wata hukumiwa motoni ....dhamira zao zitawashuhudia
Ni kama kuua bila ya kukusudiaNaomba namimi kuuliza swali, je ukivunja sheria ya nchi bila kujua dola itaku-consider?
Kwahiyo kila sheria ina exceptions si ndio?Ni kama kuua bila ya kukusudia
kwa hapo ulipo huna uwezo wa kuelewa. huna. Sio biology hiiHuu ndiyo ujinga wenyewe kwahiyo kuzimu na ahera vimekuwepo au vimeanza baada ya wamisionari kuja Afrika au Mungu kavianzisha baada ya wamisionari kuja Afrika?
You are so damn right!!Mimi mtu akiniuliza kuhusu ambao walikufa kabla ya YESU kufufuliwa wanaenda wapi kwanza namuuliza kama anaamini kuwa YESU alifufuliwa.
Kama haamini ameshaharibu msingi, there's no point discussing a matter that depends on what you have rejected. Kupotezeana muda.
Dini ina sheria mbiliKwahiyo kila sheria ina exceptions si ndio?
That’s what I wanted to understand(majibu yako hapa), Thank U Sir 🫡Dini ina sheria mbili
1)sheria ya asili ya nafsini (kujua mema na mabaya ) na
2)sheria za nyakati ndiyo maneno na vitabu vya dini ....
Kidini unaweza kuua kubaka kuiba ila ukitubia una samehewa kidunia sivyo uwezi kufanya uhalifu wa kuua watu wasio na hatia kisha ukaenda mahakamani ukakili na kuomba msamaha na kuachiwa kwa sababu umeomba msamaha ....hivyo usichangaye hukumu za mungu na wanadamu
Dhambi ni NADHARIA tuUnatakiwa kujua kitu kinaitwa PURE RELIGION ni nini? .....binadamu ana ufunuo ndani yake wa kujua mema na mabaya kiasili ...hata ADAMU na HAWA walipokula tunda walipata huo ufunuo wakajua mema na mabaya ...dini ni kujua mema na mabaya kisha kutenda mema na kutokutenda mabaya ....kumbukeni kabla ya maandiko haya ufunuo ulio tumika kumuhukumu mtu ni dhamira ya moyo mwake mtu mwenyewe
DINI MSINGI WAKE NI KUJUA MEMA NA MABAYA ...ndiyo maana ikaandikwa hao wasio fikiwa na neno la mungu watahukumiwa na dhamira zao wenyewe maana ndani ya mwanadamu mungu kafanya kujua mema na mabaya kiasili, kama nyuki wajuavyo wajibu wao bila ya kwenda shule hivyo hivyo kujua mema na mabaya kupo ndani ya mioyo yetu ....je adamu na hawa walikuwa na biblia au msahafu ? Je walimjua Yesu na mafundisho yake je walimjua muhammad na mafundisho yake ? Kumbukeni kaini alimuua ndugu yake na hakukua na sheria ya usiue mbona mungu alimuhesabia uovu ? KWA SABABU ALITENDA LILE TENDO NA DHAMIRA YAKE ILIKUWA NI KUTENDA LISILO JEMA BALI LILILO OVU ....HIVYO DHAMIRA YAKE ILIMSHUHUDIA HATIA ...
Dhambi ni kujua HAKI na BATILI MOYONI MWAKO KISHA UKATENDA BATILI DHIDI YA HAKI ....Hivyo kama hao watu walitenda MEMA NA HAKI wata hukumiwa peponi na kama walitenda MABAYA NA BATILI wata hukumiwa motoni ....dhamira zao zitawashuhudia.
Endelea kujifunza nilicho eleza huko mbele utakutana na fafanuzi yangu ...hiyo fafanuzi yako ni aina mojawapo ya dini za nyakati hata ndani ya uislamu kuna kipindi pombe ilinywewa na aikuwa dhambi hadi muhammad alikunywa pombe na maswahaba na baada ya nyakati huyo muhammad na maswahiba wakahalamishiwa pombe ...huko mbele nimeeleza kuna misingi miwili ya DINIDhambi ni NADHARIA tu
Mema, maovu na haki ni MTAZAMO tu
Mfano
Kula nguruwe kunywa pombe ni DHAMBI kwa Waislam lakini sio kwa Wakristo wa RC
Kuoa wake wengi ni Dhambi kwa Wkristo lakini Sahihi kwa Waislam
Bangi ni Kosa OVU Tz lakini ni HALALI Jamaica
Uli unielewe vizuri ni hivi, Kukitokea Janga mfano korona tuliona makanisani na misikitini watu wakifanya SALA za kuomba Mungu atuepushe na janga kwasababu wanaamini na kuona ni SAHIHI......... Zamani kabla ya Dini hizi kunajamii likitokea Janga wanatoa kafara kwa kuua watu tena kikatili ikiwemo kuchomwa moto ukiwa hai ili janga hilo liishe.
Kuna jamii zilikua zinaona ni SAHIHI kabisa kuua mtoto kilema kwasbabu ukimuacha ni LAANA kwenye ukoo
Na mambo mengine mabaya kabisa LAKINI jamii iliamini na kusheherekea kama ni mambo MEMA na SAHIHI
Sisi tuna bahati sana tumezaliwa kizazi ambacho Dunia imekua CIVILIZED kitambo....... Zama hizo kabla ya hizi dini mpya na civilization watu walikua wanafanya mambo ya HOVYO sana kwa mtazamo wa kizazi hiki na dini mpya lakini wenyewe walikua wanao sawa sawa kabisa
Mkuu nilikunukuu ulipoandika kwamba "ambao hawajafikiwa na habari za Mungu watahukumiwa kwa DHAMIRA zao"Endelea kujifunza nilicho eleza huko mbele utakutana na fafanuzi yangu ...hiyo fafanuzi yako ni aina mojawapo ya dini za nyakati hata ndani ya uislamu kuna kipindi pombe ilinywewa na aikuwa dhambi hadi muhammad alikunywa pombe na maswahaba na baada ya nyakati huyo muhammad na maswahibawakahalamishiwa pombe ...huko mbele nimeeleza kuna misingi miwili ya DINI
1)dini ya asili (kujua mema na mabayq ndani ya dhamira yako )
2)dini za nyakati (hapa ndiyo unakuta mitume na manabii na nafundisho na sheria na vitabu vya dini)