Kabla ya 2012 shule nyingi zilikuwa zinatoa division one hadi three za kuhesabika. four na zero zaidi ya 90%

kwa hii hesabu nishajua ulipata Division gani.
Yani watanzania πŸ˜‚ badala ya kuzungumzia maada iliyopo mezani wataanza kukadiria maisha yako

Haya ngoja nikupe ubuyu Sodi Brauni, nilizungusha DONATI aka ZERO, na siku nayofanya mtihani nilikuwa nimelewa nilimchapa vibao msimamizi, ntaendelea siku nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…