Yani watanzania 😂 badala ya kuzungumzia maada iliyopo mezani wataanza kukadiria maisha yakokwa hii hesabu nishajua ulipata Division gani.
Sema kweriiiii 😊Shule yangu ndo hiyo yenye four division 38,
Hahahaha ndo mnavyojitetea wakongwe Ila four foo niliambulia four ya 29Sema kweriiiii 😊
Elimu ya form for mwisho 2009 backwards
Kwenda mbele HAIPO powaa kabisa KABISAA
Dactariiii wa fweezaaa unatudanganya wakati wewe ni alumni wa IFMHahahaha ndo mnavyojitetea wakongwe Ila four foo niliambulia four ya 29
Mwaka huu ndo natak nianze setifiketi nitakubaliwa 😩🤔
Duuh IFM ipi hiyo 😂 😂Dactariiii wa fweezaaa unatudanganya wakati wewe ni alumni wa IFM
😔🤔😊😊
Unabishaaa eeeeeeeeDuuh IFM ipi hiyo 😂 😂
Nan kakuambia nilisoma IFM duuh 😂
😂😂 Me setifiketi naomba unisaidie ada nikasome,,Unabishaaa eeeeeeee
Hata huko nyuma hakukuwa na chochote ndo maana hatuoni hata msomi mmoja aliyefanya gunduzi yoyote ya kisayansi au aliyekuja na jipya zaidi blaaa blaaSema kweriiiii 😊
Elimu ya form for mwisho 2009 backwards
Kwenda mbele HAIPO powaa kabisa KABISAA
Kuna hichi chuo kinaitwa university of the people mchawiii ni bandooooo..😂😂 Me setifiketi naomba unisaidie ada nikasome,,
Hapana ninacho notification zake 😂,,Kuna hichi chuo kinaitwa university of the people mchawiii ni bandooooo..
Wapi iyooooHapana ninacho notification zake 😂,,
Umeme umekata hapa, kurudi sio Leo huu
Nipo Kigamboni Leo,,Wapi iyoooo
Hautoki leoNipo Kigamboni Leo,,
Nitatoka jioni saa kumi na moja hv , Ila naenda around tuu,Hautoki leo
Mimi nipo town ila mpaka saa 11 ndio narejea kiotani 😊Nitatoka jioni saa kumi na moja hv , Ila naenda around tuu,
Aaaah sawa sawa, muhimu kukomaa aseeh 👊Mimi nipo town ila mpaka saa 11 ndio narejea kiotani 😊
TrueAaaah sawa sawa, muhimu kukomaa aseeh 👊