Kabla ya kuja watu weupe waafrika tuliamini uwepo wa Mungu ila hatukuamini uwepo wa shetani

Shusha hoja moja moja punguza jazba ndugu
 
Kama unamuamini Mungu wa kweli, sasa kabuli la babu yako nila nini?? unaenda kutafuta nn??
mtu aliyekufa anaweza kukusaidia kitu..? wakati yupo huko na yeye anasubr hukumu yake.


NAONA UNAFANYA OPOTOSHAJI TU
Kaburini kuna nn iwapo mtu kilichompeleka ni kumbukumbu? Hawa kina petro, yohana yakobo n.k waliokufa ndo wanafaa kukumbukwa linapokuja suala la MUNGU?
 
Kwani sasa hivi hakuna dini zinazo abudu masanamu?
 
Kama unamuamini Mungu wa kweli, sasa kabuli la babu yako nila nini?? unaenda kutafuta nn??
mtu aliyekufa anaweza kukusaidia kitu..? wakati yupo huko na yeye anasubr hukumu yake.


NAONA UNAFANYA OPOTOSHAJI TU
Msabato kazini
 
Ally Nassor Px asante sana kwa mwaliko my apology kama hutojali nitejee hapa baada ya mechi tafadhali[emoji1545][emoji1752]
 


Sisi watu wa mataifa baada ya kujua Mungu wa kweli mbona imani zetu zinatofautiana na hao wa israel waliomjua Mungu wa kweli kabla yetu.
 
mmh mzee bado bado unatope kichwani
 
Ufafanuzi:-
1. Waafrika waliamini katika Mungu mmoja au kila kabila/ukoo ulikuwa na Mungu wake?
Kama Mungu wao alikuwa mmoja kwa Afrika yote, aliitwaje?
2. Waliamini mizimu inakaa katika miti mikubwa kwa mfano, sasa hapo ukaribu na huyo Mungu ukoje? Yaani wao wakiwa katika miti mikubwa, au milima au mapango, Mungu anakuwa wapi?
3. Kila aliyekufa, bila kujali amekufa katika hali gani, anaweza kuombea watu waliopo duniani kwa huyo Mungu?
 
Kwahio waliokufa kipindi Dini hii tuliyonayo haijafika wanaenda wapi mkuu??
 
Mambo haya ni magumu sana..Nakumbuka miaka ya 96 hivi ulitokea uhaba wa mvua na sisi ni jamii ya wakulima na tunategemea kilimo kutokna na mvua...Basi bhana kutokana na kuwa Ukristo ulishamili kiasi kwamba watu waliachana kabisa na mambo ya matambiko,Hasa alipofariki yule kiongozi wa matambiko...Baada ya kipindi kirefu bila kupata mvua wanainchi wakabidi watafute mtu mwingine ili arithi mikoba...hivo aliyetakiwa ni mtu mume asiyekuwa na makandokando mfano asiwe mwizi,mzinzi/msherati,asifute sigara wala bangi...Ilikuwa ngumu kumpata mwishowe akapatikana(Ukidanga vigezo ukienda kule hurudi tena unapotelea huko)Basi akapewa maelezo namna ya kufanya kisha akasindikizwa na baadhi ya wazee hadi hiyo sehemu....Tambiko lilianza wala haikuisha siku nakumbuka tulikuwa kwa uwanja tunacheki game mara wingu zito likatokea upande ule ule walipo wale jamaa...basi ilianza kushuka mvua ya maana sana had maeneo jirani na mji wetu...Hili tukio hadi leo huwa sielewi kuwa Mungu alisikia lile tambiko au ilikuwaje
 
Kama hiyo haitoshi pia kuna baadhi ya koo zilikuwa zina transform kuwa simba au chatu...hivo wanakuwa walinzi dhidi ya wanafamilia au ukoo ule jamaa zake..ilikuwa ikitokea msiba au sherehe wazee wanaenda sehemu na mitungi ya pombe kutambika na kusema" Wazee wetu tunaomba mtuondolee aibu hii tuna jambo mbele yetu lakini hatuna kitoweo mtusaidie"Basi asubuhi sana ya siku ya pili watu wanaenda pale mahali unakuta mbogo mmoja au wawili wakiwa na alama ya kung'atwa na meno shingoni tu basi wanachukuliwa na mambo mengine yanaendelea....Sijui kwenye hilo nalo tuseme mizimu ni wabaya ? Ok...Au basi
 
Wazungu walituletea elimu ya darasani ili iwe rahisi kuisambaza dini/uchawi wao kwa lengo la kutupumbaza na kutugombanisha baina yetu. Juhudi za mababu zetu kumiliki koo/familia kubwa tumezifuta, tumekuwa wasomi (wazungu) tunazaa watoto mwisho 3 ili kupunguza gharama za malezi.
Kuna mila nzuri sana za matambiko kwenye makabila yetu tumeziacha kisa tu mungu wa 'iziraeli'...
Wachaga ni haki yao mafanikio, Wakinga ni haki yao utajiri...
Uhuru wa Tanganyika uliambatana na matambiko ya mababu zetu
 
Sisi watu wa mataifa baada ya kujua Mungu wa kweli mbona imani zetu zinatofautiana na hao wa israel waliomjua Mungu wa kweli kabla yetu.
unauhakika na unachokisema..?

Hakuna wakristo Israel?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…