Kabla ya kuja watu weupe waafrika tuliamini uwepo wa Mungu ila hatukuamini uwepo wa shetani

Huenda hakuna Mungu ila Shetani kashikilia kila kitu. Angalia kwa makini utaona Dunia inaendeshwa kishetani. Labda shetani ni Muumba wa kila kitu. Mungu unamuumba tu kwenye ubongo unaposhindwa kupata uvumbuzi wa jambo.
 
Wewe hujaelewa cyo kwamba zaman walijuwa hakuna mungu ,,,,walijuwa yupo lkn waliomba mungu kupitia mizimu wakiamn mizim wapo
krb na mungu
 
Mungu wa isaka mungu wa yakobo sijui mungu wanani wengine uko utamalizia vipi hao watajwa wapo hai kama wamekufa how mim kwangu iwe vibaya kumuomba mungu kupitia watu wangu walio tangulia
Uko sawa mkuuu
 
Wewe hujaelewa cyo kwamba zaman walijuwa hakuna mungu ,,,,walijuwa yupo lkn waliomba mungu kupitia mizimu wakiamn mizim wapo
krb na mungu
wew ndie huelewi.

maana kwanza naona unaandika neno 'Mungu" unaanza na herufi ndogo, hapo tunaelewa unamaanisha miungu, sio Mungu muumba wa mbingu na Nchi.



na unachotakiwa kujua ni kwamba hata shetani nae ni mungu, hata chochote kinachoabudiwa ni mungu ila swali linakuja ni mungu yupi mwenye sifa zipi.?
 
Kama unamuamini Mungu wa kweli, sasa kabuli la babu yako nila nini?? unaenda kutafuta nn??
mtu aliyekufa anaweza kukusaidia kitu..? wakati yupo huko na yeye anasubr hukumu yake.


NAONA UNAFANYA OPOTOSHAJI TU

Nimeshihudia kwa macho mawili mvua inaombwa kwa mizimu na inanyesha,
Inamaana wanaweza kuwasaidia
 

Mizimu ni kumuabudu shetani kwa mujibu wa Biblia. Na baada ya Mungu kumteua Ibrahimu Baba wa Imani hakuna kumuabudu Mungu wa Mbinguni bila kupitia kwa Bwana Yesu ama Taifa la Israel.
linalotokana na Yakobo wa uzao wa Isaka na Ibrahimu.

Mfano Mzuri wa kwamba kuabudu Mizimu ni kumuabudu Shetani soma Kitabu Katika Biblia cha Waamuzi Mlango wa Sita mambo ya Muamuzi Gideoni na Madhabahu ya Mizimu ya Shetani ya Baba yake. Hapa nimetumia Biblia sijui kuhusu Imani nyengine zinawafundisha vipi waumini wake.
 
Nimeshihudia kwa macho mawili mvua inaombwa kwa mizimu na inanyesha,
Inamaana wanaweza kuwasaidia
Ndio shetani uwezo wa kuleta mvua anao na hata kuzui.
Lakini unachotakiwa kujua Mungu muumba wetu, akiamua kuzuia kazi fulani ya shetani uwezo huo anao.

Na kikubwa unatakiwa kujiuliza je ni nini hasara ya kumtegemea Shetani na faida ni ipi.
 
Lakini kinachonishangaza, sanamu la shetani ni jeusi tena la kutisha. Sanamu ya Yesu ni nyeupe na ya kuvutia, hapo Kuna nini?
 
 
Upuuzi mtupu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kuzuru makaburi ya wazee wetu sio mbaya wala haikatazwi hata kiimani,kinachokatazwa ni kuiomba roho ya marehemu, tunaomba kupitia jina la Yesu pekee.Kuyaenzi makaburi ni kuenzi historia yao maana still tunaunganiswa nao kupitia vitu walivyofanya mfano watoto hawa ni nyumba hizi ni za fulani.
Tunazuru makaburini kama historia na si kiimani.Mtu akishakufa kaburini pale ubakia mwili tu hasa mifupa roho yake haipo pale
 
Bikra maria bado yupo hai au sio???

Halafu anakuwaje bikra wakati alikwisha zaa???
Mtu aendelei kuwa bikira baada ya kuzaa,Anaitwa Bikira Maria kama cheo cha heshima akiwa kama daraja la Yesu Kristo kuwepo duniani.Bikira Maria yupo mbinguni na ajawahi rudi tena duniani baada ya kifo chake.Anaejifanya Bikira Maria na eti uwatokea watu ni jini wa kike anaitwa malikia wa kuzimu au Queen of Coast au malkia wa pwani.
 
Mara nyingi wakiweka mfano wa picha ya shetani huweka picha yenye rangi nyeusi yaan ni black
Shetani ni malikia wa giza na giza ni rangi nyeusi rangi nyeusi uwakilisha uovu,uasi.Rangi nyeupe umaanisha nuru au mwanga.
 
Mbona ummemtaja kwa mabaya pekee
 
TULIAMINI HIVYO SABABU SHETANI KIPINDI HICHO ALIKUWA HAJAZALIWA HUKU AFRIKA.ALIPOKUJA MUZUNGU KAMILI SHETANI AKAHAMIA AFRIKA AKIWA MTU MZIMA NA MENO YAKE.SHETANI NI MUTU NYEUPA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…