Kabla ya kumkosoa Rais Samia, tumuombe radhi kwanza Hayati Mkapa na familia yake na washauri wake

Naaam miaka hio nasoma magazet ya mzee mzalendo.tv ipo moja tunkwa jiran sony inch 21 dungu.naikumbuka.miaka hio
 
Unamsifia aliyekutia dole, kwa sababu hajakutia dhakari.
 
Soma na mchango huu tena
Na kuendelea kukaza fuvu' nitaamini ni walewale waliolipwa kuandika ujinga
 
Hizi mada ni za wasomi,
wale wanaopiga makelele ya bandari kuuzwa, wakati wanaishi nyanda za juu kusini mwa mwakaleli na wengine wanazungusha bodadaboda huko nyegezi hawataelewa kitu
Mkuu si kila kitabu kinafaa kusomwa vingine tunaangalia picha
ila kwa uchache watanzania wengi ni bendera fwata upepo
 
Hilo ni genge la wasukuma wanaouota urais 2025, wengine ni nyumbu tu wanaofuata mkumbo wasiouelewa. Mtu anayeweza kuwasikiliza watu km Jenerali Ulimwengu, Tundu Lissu na huyu Dr. Wilbroad Slaa ana roho ngumu km mwendawazimu. Hawa watu hawajawahi kuwa positive ktk jambo linalofanyawa na serikali. Ni watu walalamishi ktkt kila jambo, badala watoe angaliu ushauri wa kujenga ni kulaumu, kupotosha. Mwisho kanisa Katoliki, hili kanisa ni hatari sana kwa ustawi wa binadamu, ndio waliosababisha mauaji ya halaiki Rwanda. Kanisa hili inaongozwa na watu wanafki, wabinafsi, wabaguzi, wadini, wezi wa mali za umma, wadhulumaji wakubwa, ukitaka kujua kafanye kazi ktk taasisi yao, ni makatili, mishahara midogo ya kinyonyaji, watu wa dili hatari.

Kila rais akiwa muislamu ndio kawaida yao, kupotosha watanzania, maupotoshaji kwa umma. Jana nilimsikiliza Dr. Kitima, ni mtu asiyefaa kwa umoja wa Taifa letu. Mimi ni mkristo ila siyo mdini, sipendi ubaguzi kwa msingi wa aina yoyote ile. Hawa tuwapuuze, tuwasute, tukatae upotoshaji wao, ndugu zangu chema chajiuza kibaya chajitembeza, tunaona mambo yanayofanya na serikali yetu yote ni mema ila kuna waovu wachache wanataka kuikwamisha, wana roho za kishetani tuwakemee washindwe na walegee.
 
Umeandika mengi ya msingi, lakini mkuu The Boss Kwa nini mkataba hauna ukomo?.

2. Kwa nini mkataba haujajumuisha bandari za Zanzibar?.

Bandari za zanzibar haziendeshwa na SMT, bali zinaendeshwa na SMZ kwahiyo Samia na raisi wowote wa Tanzania hana mamlaka ya kuzifungia mkataba.
 
Mimi nadhani Mama Samia asonge mbele. Akiwasikiliza wanaopinga atachelewa sana kuwaletea watanzania maendeleo
Sio rahisi hivyo kwa mazingira ya sasa. Rais Samia anastahili kushauriwa vizuri. Na Rais Samia, anatakiwa apatite ushirikiano wote ili afanye kazi zake mpaka ukomo wa terms zake.
Kukosea ni nature ya binadamu. Kujirekebisha ndio uungwana mkubwa.

Tunahitaji wawekezaji. Ila kwa mikataba rafiki na yenye maslahi kwa Taifa.
 
Ndugu kuna kitu hujaelewa. Ukweli ninaoufahamu Zanzibaa tayari imeshakodisha bandari yake kwa hao DP World. Lingine kwa mujibu wa sheria ya nchi yetu TPA(Tanzania Ports Authority) yaani mamlaka ya bandari Tanzania inasimamia bandari za Tanzania bara tu, bandari za Zanzibar zinasimamiwa na mamlaka ya bandari Zanzibar ambayo hata hivyo imeshaingia mkataba na hiyo kampuni ya DP World, sasa Zanzibar ipi tena mnaizungumzia? DP World haikodishiwi bandari zote, wala hakodishiwi bandari yote ya Dar Es Salaam, ukweli ni kuwa atapewa sehemu tu ya bandarii ya Dar Es Salaam yaani gati namba 1 mpaka gati namba 7 km alivyofafanua mh. waziri Prof Marawa. Mengine ni upotoshaji tu. Kuhusu DP World kuwa na kesi nyingi ni propaganda tu za uwongo za wale wasioitakia mema serikali yetu, lengo lao ni kukwamisha mipango mizuri ya maendeleo ya serikali yetu ili waje waikebehi wakati nafikiri wa uchaguzi kuwa imeshindwa. Mh waziri kuhusu kesi alitoa ufafanuzi mzuri sana ya kuwa DP World ndio wameshinda kesi zake karibu zote km siyo zote. Tutafute ukweli kutoka vyanzo sahihi na tuiamini serikali yetu ukizingatia tuna rais mkweli, mwuungwana, msikivu, mstaarabu, aisye na chembe ya ufisadi.
 

Kongole kwa maandishi haya. Tunataka sana wawekezaji. Ila kwa mikataba yenye maslahi na nchi.
 
we ni mzushi mwongo pengine kwa kutojua au kutumiwa. Acha upotoshaji hautakusaidia kwa lolote.
 
Acha udini we kima, huoni hata aibu we mchumia tumbo? Nyie mmeshashindwa, hata hivyo makubaliano yameshapitishwa na bunge kinachofuata ni kuingia mkataba kati ya TPA na DP World siku hiyo labda umeze wembe. Utakuja kutapika hizo pesa za zenye laana
 
Kuna mwenye mikataba kati ya serikali ya Djibouti na Dubai au UK na Dubai au nchi yeyote ambayo DP wanaoperate ambao hiyo nchi ilisaini na serikali ya Dubai tulinganishe na huu w kwetu ni kwa namna gani inatofautiana/ inafanana na huu wa kwetu?
Nadhani tukipata hata mkataba mmoja tutaweza pata pa kuanzia.
Tunachofanya Sasa tunasema DP wanaoperate UK lakini hatujui terms za huko zikoje. Au mtu anasema tunapigwa lakini haweki wazi vipi tutapigwa.
Kuhusu ukomo hata Mimi nilikuwa sielewi ila ufafanuzi ulipotolewa nimeelewa kwamba mikataba midogo midogo ndio itataja ukomo ambayo pia itadetermine muda wa huu mkataba mama.
Kwa nini watu bado Wana hofu pamoja na ufafanuzi hii lazima pia ieleweke.
Kwa nini pamoja na ufafanuzi watu bado hawaelewi? Ni sababu wanaamua makusudi au wana sababu nyingine? Lazima pia wasikilizwe.
Kuna Prof mmoja wa filosofia alikuwa anasema ukiwa a watu wawili
mmoja umezungumza akakuelewa na mwingine hakuelewi inabidi uweke jitihada kwa yule asiyekuelewa huenda ana kitu cha tofauti.
Kwa hiyo serikali ijitahidi kusikiliza hofu za wale wasioielewa katika jambo hili kwa njia njema tu ya kujenga Tanzania moja. Kama kuna marekebisho hitajika yenye msingi wasikomae tukaja kujuta miaka ijayo wakati tulikuwa na wakati kukauchezea.
Na sisi wananchi tujue tunachofanya either kitauiua nchi au kuifanikisha...maamuzi ni yetu ni vyema tukaw open minded na kujaribu kujadili hili swala tukiwa neutral/open minded kabisa.
Tueleze hofu zetu tukiwa tayari kupata ufafanuzi na si kuleta rigidity ambazo hazitatusaidia kwa lolote.
 
Mkuu, umesahau shirika la reli yaani TRC. Likawa TRL, sijui sasa lipo vipi?
 
Mkuu the boss usifananishe uwekezaji wa NMB, sijui blabla za breweries na kitu kinaitwa Bandari mkuu
 
Mkapa si aliomba radhi kwa kufanya hayo Madudu.

Huyu naye hatutaki aombe radhi kwa kutesa migongo yetu.

Mkapa alikuwa Raisi wa hovyo na aliomba radhi baada ya kuboronga.
Tulieni dawa ikwingieni....Tanzania will be Arabized mtake msitake
 

Nyerere hakuwa Mungu anaejua kila kitu...it's time muanze kuelewa hili..

Serikali haziwezi kuanzisha biashara zikafanikiwa ..ndo maana Kikwete alikuja anzisha Tanzania womens Bank na wakajaribu kuifufua Tanzania Investment Bank na zote zimekufa kabla hazijafikisha hata miaka 7...
Mjifunze na kuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…