Wachache sana watakuelewa. Maisha mazuri yanaumbwa na pesa inayozunguka mfukoni na mikononi mwako (cash flow). Siyo liabilities kama nyumba ya kulala na gari ya kutembelea.Tanzania, kwa maoni ya wengi, kujenga nyumba na kununua gari ndiyo kilele cha mafanikio. Kwangu nini sidhani kama tuko sahihi. Unaweza kuwa unaishi kwenye nyumba ya kupanga na unatumia usafiri wa public lakini ukawa na mafanikio kuliko mtu mwenye nyumba na gari.
Anachomaanisha mleta mada pamoja na jitihada zetu tumuweke sana mungu mbeleSikubaliani na hoja kuwa mipango ya kimaisha ya vijana wengi inaharibika kwasabb hawamhusishi ama hawamuombi Mungu. Wapo walokole ama mashekhe promax wamefika 50 bado hawana hata kitanda.
Kila mtu ana FATE yake, yaani Kila mtu kachorewa roadmap ya maisha yake na mwenyezi Mungu. Ndiyo maana akina Laizer wanaokota tanzanite yenye thamani ya mabilioni wakati wengine hata mia mbovu hamuokoti.
Nimekupenda bureKiukweli kabisa sijawahi kuwa na fikra za mbele na za ukubwa huo.
Siku zotee naamini mbele yangu siijui, kwasababu mipango, matamanio, na mategemeo havina mkataba na uhalisia katika maisha.
Watu wengi wanajenga nyumba kwa kujibana na kuishi kwa taaabu muda mrefu, ni bora kuwa mpangaji wa muda mrefu mwenye akili ya uwekezaji kuliko mwenye nyumba anayeishi kwa msoto mkali wa kulipa mikopo kisa kulinda ufahari wa kumiliki nyumba 😂😂
Mimi nashukuru kwa kuwa nipo hai na mzima wa afya Ila zaidi ya hapo sina matarajio zaidi ya kusubiri kukata moto labda kama huko tunakoenda kuna mishe nyingine basi labda nitajipanga vizuri zaidiPole sana.
Maisha ni mazuri hata ukionekana unashindwa
Kuna mambo yananitokea physically afu unayarelate mbona kama nilishawahi kuyaona!
Ilishawahi kukutokea hii?
Mi hunitokea mara nyingi tu. Na ndio nazidi kuamini kua haya yanayotutokea yalishaandikwa.
si kwamba mpagani hana Mungu, na wapo wapagani waliofanikiwa. Ipo nguvu ya asili (Supreme power) iliyolela viumbe vyote duniani)Sikubaliani na hoja kuwa mipango ya kimaisha ya vijana wengi inaharibika kwasabb hawamhusishi ama hawamuombi Mungu. Wapo walokole ama mashekhe promax wamefika 50 bado hawana hata kitanda.
Kila mtu ana FATE yake, yaani Kila mtu kachorewa roadmap ya maisha yake na mwenyezi Mungu. Ndiyo maana akina Laizer wanaokota tanzanite yenye thamani ya mabilioni wakati wengine hata mia mbovu hamuokoti.
point to noteKitu ambacho watu wengi hawajui ni kwamba Kujenga nyumba na kununua gari ni hayo matokeo mafanikio ni kufikia lengo katika kazi au biashara unayofanya imekuwa kwa kiasi gani kuna watu wamefanya investment kubwa lakini wanaishi nyumba za kupanga
Kitu kingine vijana wana give up mapema sababu wanataka matokeo makubwa kwa haraka bila kuelewa kabla haujafanikiwa kuna indicator huwa zinakuonesha jambo unalolifanya linaenda kukupa matokeo makubwa haijalishi upo chini au kati kuna muda unahitaji subira
Kipimo cha mafanikio ya mtu ni utimilifu wa furaha ya mtu husika.Lakini nyumba na gari Mimi naona ni mahitaji ya muhimu Ila sio mafanikio Mimi nayatazama mafanikio yangu ninapokuwa na uwezo wa kuwafanya watu wengine wapate. Mahitaji yao kupitia mimi
Braza mchawi wa maisha yako ni mtazamo wako mwenyewe kuhusu maishaKuna mambo yananitokea physically afu unayarelate mbona kama nilishawahi kuyaona!
Ilishawahi kukutokea hii?
Mi hunitokea mara nyingi tu. Na ndio nazidi kuamini kua haya yanayotutokea yalishaandikwa.
Hakuna relationship ya Iman na mafanikio.Siyo sahihi kuaminisha watu kwamba wanaofanikiwa ni wale wa Mungu tu
Wakati na bahati huwapata wote
Na kuna maelfu ya walokole ni Masikini wa kutupwa
Kufanikiwa ni jitihada na bahati
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nskumbuka Jamaa mmoja shule nilimuuliza vipi milioni 80 unapiga kalamu chini na kuacha shule akasema hata milioni 100 hawezi kuufanya huo ujinga.
Jamaa kweli kapiga one Form four na six kapiga one pia kasoma UDSM ila sasa maisha yanamkimbiza kama alivyokuwa anayakimbiza masomo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Siyo kila utajiri ni mafanikio. Mafanikio ni utimilifu wa furaha. Je, hujawahi kuona tajiri ambaye hana furaha?Lakini mbona wapo watu wengi ni wapagani hawamjuwi Mungu, hawahudhurii makanisani wala misikitini na bado ni matajiri wa kutupwa?
Ni kweli mkuu, mfumo ukinyooka hali itakuwa vizuri zaidi ila japo hata huko kwenye mifumo iliyonyooka, wapo watu wanaoamua nani apate na nani akoseMaisha hayana formula hapa bongo kwasbb ya uhovyo hovyo. Aliyesoma sana nafasi yake inazibwa na kilaza mwenye godfather, mkulima bora anadhullumiwa na dalali, mfanyabiashara anayepambana anakwamishwa na wafanyabiashara wanaokwepa kodi, mwenye kipaji cha mchezo wowote anapoteza kipaji chake kwa kuwa hana godfather.
Tukiacha uhovyo hovyo tukajeshimu mifumo na taratibu, mambo yatatunyookea.
Kipimo cha mafanikio ya mtu ni utimilifu wa furaha ya mtu husika.
PESA inasadia katika kuwa na furahaSiyo kila utajiri ni mafanikio. Mafanikio ni utimilifu wa furaha. Je, hujawahi kuona tajiri ambaye hana furaha?
Furaha haitafutwi, furaha haitokani na matokeo yoyoteSiyo kila utajiri ni mafanikio. Mafanikio ni utimilifu wa furaha. Je, hujawahi kuona tajiri ambaye hana furaha?
Nakubali Kuna Jamaa yangu katoka tak home ya 7.2Mil per year, akafukuzwa kazi akapata kazi ya take home 4.8 per year, now kaenda take home ya 30Mil per year, na huu mlolongo umetokea ndani ya miezi 5 iliyopita, na nikimuuliza anasema ni Mungu tu, ye mwenyewe haelewi amefikaje fikaje alipo, maana baada yakufukuzwa kazi ya 7.2 mil per year alihisi kukata tamaa, lkn baada yahapo kafanya interview 3 ndani ya miez 4 nazote katoboa. Nakipindi Cha nyuma kahudhuria interview kibao lkn bila mafanikio.Kuwa Mlokole au mwenye haki hakukufanyi ufanikiwe.
Unafanikiwa kwa sababu Mungu ndiye ameamua ufanikiwe.
Waliofanikiwa wengi wao wanakiri kuwa hawakutegemea kama wangefanikiwa. Yaani wanaita ni bahati.
Wengi wanaofeli wanafeli kwa sababu wanaamini katika uwezo wao wenyewe.
Tafuta waliofanikiwa wote wanafanana katika jambo moja. Kuamini kuwa mafanikio ni majaliwa ya Mungu
Huwezi kubali ila kuna siku uliiponda biblia kwamba ina miungu wengiSijawahi kumponda Mungu
Unaweza niletea huo uzi
Ndo maana huwezi muomba Mungu akakupa utajiri au Mungu hawezi kukubariki sababu tu ni mkristo, Mungu anabariki watu wote hata ambao ni wapagani na hii ni kuonyesha anapenda binadamu woteHakuna relationship ya Iman na mafanikio.
Mafanikio ayapatayo mtu ni teyari alishapewagwa na muumba wake hata kabla hajaletwa duniani.
Hizi hustle tunazofanya ni asbabi tu.
Ila mambo tunayopitia yalishaandikwa kabla.
Huwezi kubali ila kuna siku uliiponda biblia kwamba ina miungu wengi
Ila mwamba wewe ni bingwa wa kubadilika kama kinyonga
Kipindi cha nyuma ulikua mtoto sahivi umekua