Kabla ya maisha kuwapiga Watu wengi Knockout, wengi walifikiri wakifika miaka 30 wangekuwa na nyumba na Gari

Shida tupo kwenye mifumo ambayo inataka watu watumie akili zaidi kuliko nguvu mafanikio kwa sasa hayawafuati watu wanaojituma wenye skills ndio wanaotoboa mfano ingia playstore mtu kajifungi geto anatengeneza App inayoenda kutengeneza mabilioni ya pesa kazi ndogo matokeo makubwa

Kitu kingine hauhitaji kujipa stress kuchelewa kujenga ama kuwa na gari jambo msingi swala la mafanikio kwenye maisha ni kujikita kutafuta njia zitakazo kupa matokeo makubwa na sio kuonekana unafanya vitu kwa wakati
 
Kwanini kila mada ya Mungu unapata uchungu sana
Wewe humuamini Mungu una haki hiyo move on lakin kila ukisikia mambo ya Mungu unatokwa na povu una shida mahali
 
Talk is cheap bruh, siku ukipitia chagamoto na mwenye nyumba anatishia kuifukuza familia yako ndio utelewa kwanini watu wana amani kwa kujenga nyumba zao za kuishi tu hata kama nyumba iko Chanika mwisho.
 
Kuna kundi kubwa la vijana linasali na kumsifu huyo Mungu lakini bado maisha yao ni pangu pakavu tia mchuzi..

Hakuna mpango wa Mungu kwenye mafanikio ya binadamu.

Sera mbovu, siasa uchwara, mazingira ya rushwa, ujinga, elimu mbovu, serikali za hovyo ndio chanzo cha umaskini na ukosefu wa fursa kwa vijana wengi hasa barani Afrika.





Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Hakuna Mungu anaye pangia watu maisha.

Huyo Mungu hayupo.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Talk is cheap bruh, siku ukipitia chagamoto na mwenye nyumba anatishia kuifukuza familia yako ndio utelewa kwanini watu wana amani kwa kujenga nyumba zao za kuishi tu hata kama nyumba iko Chanika mwisho.
Watu wanataka kuishi kwenye comfort zone ndo maana tunapambana tuwe na nyumba zetu na tusipange

jiulize kwanini wale wahindi wanaishi kwenye nyumba za kupanga maisha yao yote inamaana hao hawapatagi changamoto ya kodi
 
Kumbukumbu la Torati 28 haielezi hivyo mkuu
Tunazungumzia kufanikiwa kimwili kwa sababu kwa sasa sisi ni mwili.
Yesu Kwa miaka yake 33 duniani hakuwahi mmiliki nyumba Wala gari( punda) Kwa wakati Ule.

Nyumba na gari ni minor issue, muhimu ni tuutafute Ufalme wa Mungu na HAKIKA yake, hayo mengine tutazidishiwa.
 
Huo ni mtazamo wako
 
Hapo kwa Laizer. "Kuokota" kuna biasi mkuu, Laizer naamini anawekeza Ili kupata lazima kuna pesa tena ya kutosha, muda, nguvu, imani, (usimamizi wa kila anacho kiweka). Ndo kuibuka na hizo bilions........babati ni fursa iliyokutana na maandalizi sahihi. Vinginevyo ni ubatili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…