Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Shida tupo kwenye mifumo ambayo inataka watu watumie akili zaidi kuliko nguvu mafanikio kwa sasa hayawafuati watu wanaojituma wenye skills ndio wanaotoboa mfano ingia playstore mtu kajifungi geto anatengeneza App inayoenda kutengeneza mabilioni ya pesa kazi ndogo matokeo makubwaUnafikiri hao vijana waliopanga na wanaopanga kuwa na maisha bora wakifika miaka 30 hawamuombi huyo Mungu?
Pamoja na kumuomba huyo Mungu vijana hao bado hawafanikiwi..!!
Automatically Mungu huyo hana msaada wowote kwenye maisha ya binadamu.
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Kitu kingine hauhitaji kujipa stress kuchelewa kujenga ama kuwa na gari jambo msingi swala la mafanikio kwenye maisha ni kujikita kutafuta njia zitakazo kupa matokeo makubwa na sio kuonekana unafanya vitu kwa wakati