Kabla ya mwezi Julai 2025, kuna jambo zito mno! Giza nene

Hadithi tu

Samia sio fala kwenye kutwaa madaraka

She is well coached namna ya kushika madaraka.

Kwa katiba ya sasa labda itokee miujiza.

Nje ya katiba wengine waliokuwa na uwezo wa ku-challenge nafasi ni ma-CCM. Kukosa imani nae na kum-challenge ndio msingi wa surprise ya teuzi bila ya kuzingatia kanuni.

Siasa ni science, na mama kajipanga kisayansi (hapo namsifu) hata kama sio kwa manufaa ya taifa.

Maza sio lofa

Hakuna surprise mtu atafanya nje ya katiba na sheria ya kumzuia kuendelea.

Hadithi tu
 
Kijani hatari Sana mjue!yaani wanamtumia Antipas shahidi mwaminifu kama chambo Cha kushughulikiana wao kwa wao ndani yao!!

Hebu cheki,Hadi Sasa tetesi za makam mwenyekiti was kijani,halafu tena msemaji wa Whitehouse ya visiwa Tena ghafla sana,unaanza kuona Kuna ka sequence and series wakati Bado sakata la father halipoa vizuri Mdude nae!!

Unaanza kuona frequency ya matukio ikimtafuta mtu!!

Nakumbuka baada ya maalim seif walifuata kijani FC pale white house kmfuata kabla ya mshindo mkuu!!

Nayaona Yale yale Kwa mbaali!!

Nafikiria kama kawaida yangu!!
 
Mi nachoelewa July Kuna mambo yatatokea ila sijui km na hili litakuwa ni miongoni Kwa hayo, ila hili sijui exactly lini litatukia!🙄


View: https://youtu.be/ZI-wLZGmSGY?si=-SkVaaW5RHLWm1Gw
Bado natafakati nn alitakiwa afanye?
Kubambikia watu kesi, kuteka watu na kuwavunja mikono na miguu kisha kuwatupa porini, kumteka na kumuua Mdude, jaribio la kumuua Dr. Kitima, tishio la kuuwawa Askofu Bagonza haya ni maamuzi ya hovyo kabisa kuwahi kufanyika katika Taifa hili na hayatapita hivi hivi lazima yatakula kichwa kikubwa sana soon.
 
Mshana Jr ule mpango ni ngumu kuujua sababu kubwa kinachogombana ni maji kwa maji tena maji ya mtoni yote so huwezi tofautisha na ni ngumu kumjua adui. Sijui na sijui ila haikupaswa ✋ ili iwe 9️⃣, maana kuna makundi yalijipanga kitambo, na kibaya kabisa kibaya kabisa kibaya kabisa kibaya kabisa mchezo unachezwa nje ya uwanja na ndani ya uwanja, kama lisu, ua mdude, ua mzee kibao ila moto bado haujakolea hapo unakutq nje ya mfumo acha tu
 
Hii naona wanaiongea lakini naona pia Wana ahirisha mpaka baada ya uchaguzi mkuu wakisema ataongoza muda mfupi zaidi.
 
Jiandae kukata pembe ya ng'ombe Ankole wa Burundi kumsindikiza Bondia.
 
Bado hujajibu swali… kungoa kucha ni weledi

Binafsi sidhani ni sawa

Kungoa kucha au ukatili wowote sio sahihi

Sijawahi kuwa kuwadi wa ccm ila Siamini kwenyr domokaya style ya chakandumuz

Tatizo hamko balanced kwenye hoja zenu

We need TANZANIA FIRST….
 
Mbuzi wa kuchinja yupo tunasubiri taarifa tuu...😂😂😂
 
Mungu alivyo wa ajabu na alivyo Mkuu, unaweza kukuta 'watabiri' hawafiki hata hiyo Julai kushuhudia utabiri wao ukitimia.
 
Kifo ni fumbo ambalo hakuna ajuaye jibu.

Ni kweli CCM inateka na kuua watu kwa sababu inafurahia mauaji ya wakosoaji. Ndiyo maana CCM, tunasema ni chama cha mashetani.

Lakini wenye Roho wa Mungu, tunaombeana mema. Na ikimpendeza Mungu, hawa wauaji waishi hadi washuhudie uovu wao ukianikwa wazi wakati Taifa litakapokuwa huru kutoka kwa wadhulumaji haki, na waulipie uovu wao.
 
Tatizo kuu ni kuutaka upili ambao waliompa ukwanza hawataki achukue upili!!✌🏿
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…