Duh🤔🤔🥺😆😆🏃🏿🏃🏿💪🏿Sasa 'myth' za namna hii awe anapewa na copy ya taarifa Msechu.
Ili awe anaandaa na verses kabisa na kuzihifadhi, ili likitokea la kutokea huko mbele ya safari asihamanike, awe ameshajiandaa na kisaikolojia kabisa.
Kazi yake iwe rahisi, ni kujaza jina na wa wasifu wa mhusika na kupanda hewani, tayari.
Nimetazama mwonekano wa kiongozi wa kisiwa cha Lapenduza kwenye msiba wa msemaji wa whitehouse, nikakumbuka Jp kwenye msiba wa wajina wake Kijazi 19-02-2021, ina fikirisha sana.Kijani hatari Sana mjue!yaani wanamtumia Antipas shahidi mwaminifu kama chambo Cha kushughulikiana wao kwa wao ndani yao!!
Hebu cheki,Hadi Sasa tetesi za makam mwenyekiti was kijani,halafu tena msemaji wa Whitehouse ya visiwa Tena ghafla sana,unaanza kuona Kuna ka sequence and series wakati Bado sakata la father halipoa vizuri Mdude nae!!
Unaanza kuona frequency ya matukio ikimtafuta mtu!!
Nakumbuka baada ya maalim seif walifuata kijani FC pale white house kmfuata kabla ya mshindo mkuu!!
Nayaona Yale yale Kwa mbaali!!
Nafikiria kama kawaida yangu!!
VOID...!hiyo ni NULL/ZERO hypothesis
MY Broo Master Mshana Jr Kwa haraka haraka wingu likitanda ni ishara ya mvua kunyesha ambayo ni BARAKA, Au kwenye ulimwengu wa kiroho wingu linatafsikaje mkuu?Somewhere in between kuna wingu linaliloleta kiza
Sawa mkuu.Tamati yangu nimeandika haya...
Je kuna lingine ama ni hili la "matter arising" na ya kwanza
Kuna kuchokana
Kuna kuchwokana
Kuna hisia za kudharauliwa/kudharauliana?
Je zimevuja ama zimevujishwa? Kwa makusudi ama kwa bahati mbaya?
Kuna wingu la mvua ya barakaMY Broo Master Mshana Jr Kwa haraka haraka wingu likitanda ni ishara ya mvua kunyesha ambayo ni BARAKA, Au kwenye ulimwengu wa kiroho wingu linatafsikaje mkuu?
Hahahahahahahaha...But not
VOID...!
Hata nikiwa mchawi ni mimi na utashi wangu so hizo taarabu zako itakua vizuri sana kama ukienda kuimbia wanawake wenzako wa mboga mboga huko, maskini wa akili weweMpuuzi mwenyewe. Uchawi sio lazima ubebe tunguri hizi roho zenu mbaya ni zaidi ya wachawi.. Na mkiweza jinyongeni kabisa; hafi wala nini. Mtakufa nyie mtamuacha... SAMIA@2025-2030
Sawa Master asante kwa darsaKuna wingu la mvua ya baraka
Kuna wingu la mvua ya laana
Kuna wingu la mvua ya majanga
Kuna wingu la mvua ya radi na kimbuka
Yote ni mawingu
No reforms no electionVipi hiyo parapanda kama itakuwa upande wa Lapenduza Island, je uchanguzi utasimama upande mmoja?
Unakumbuka kuna kipindi Kadhi fulani wa mechi aliondoka na mpira kwapani, mechi ilibidi irudiwe kwa Lapenduza Island pekee lakini nyikani kwenyewe hapakuwa na kurudia mechi uwanjani?No reforms no election
Ila watanzania wengi hawana kazi, alfajiri tu uzi na unajadiliwa hadi saa sita mchanaNo reforms no election
Ni kweli kabisa😀Hahahahahahahaha...
AKILI YAKO UNAIJUA MWENYEWE
Tuta/wata pima upepo.. Pengine maandalizi ya penalty yameshakamilika na wapigaji piaUnakumbuka kuna kipindi Kadhi fulani wa mechi aliondoka na mpira kwapani, mechi ilibidi irudiwe kwa Lapenduza Island pekee lakini nyikani kwenyewe hapakuwa na kurudia mechi uwanjani?
Kwa muktadha huo parapanda ikilia lampenduza Island, je mechi upande wa Nyikani itachezwa au na je Kitabu kinasemaje kwa wajuzi wa kitabu cha JMT?
Hapana wanayo kazi hii ya kujadili huu uziIla watanzania wengi hawana kazi, alfajiri tu uzi na unajadiliwa hadi saa sita mchana
Dah, mkuu umetulia na kuridhika yaani unasubiri Samia afe! Hii Kali. Kwanini usitumie muda huu kuendelea kuanzisha mamia ya threads za kutuambia ni vipi mnaandaa sherehe zenu za kusherehekea "ushindi🤣🤣🤣" wa kishindo wa tundu lissu hapo oktoba kama mnavyoamini?!!!!!Tuupe muda wakati