G
Hapana mtu wa system ningekuwa na njaa hivi shougaa🤣🤣Kwahiyo shogaangu na wewe mtu wa system 😹😹
Watabiri nchi hii wanazidi kuongezeka kila kukicha,halafu hiyo siku ikifika hakuna tukio atasema kaoteshwa itakuwa mwezi wa nane...Kabla ya mwezi wa 7 mwaka huu, kuna jambo zito sana nchini, limeshasukwa kwa asilimia 60% japo inaweza cheleweshwa makusudi
Mtu kati ,,,, nyoka anaingia shimoni kinyume nyume sana yan,,
Mungu huyu
Ibariki Tanzania
Wanasemaga kwamba wamefunga kuliombea Taifa hilo tukio lisitokeee.Watabiri nchi wanazidi kuongezeka kila kukicha,halafu hiyo siku ikifika hakuna tukio atasema kaoteshwa itakuwa mwezi wa nane...
Hahahahaha, watakuambia subiriMbona inafika july hatuoni chochote?
HahahahahaWatabiri nchi wanazidi kuongezeka kila kukicha,halafu hiyo siku ikifika hakuna tukio atasema kaoteshwa itakuwa mwezi wa nane...
😄😄😂😂😂🤣Ramuli chonganishi hizoo
Kabla ya mwezi wa 7 mwaka huu, kuna jambo zito sana nchini, limeshasukwa kwa asilimia 60% japo inaweza cheleweshwa makusudi
Mtu kati ,,,, nyoka anaingia shimoni kinyume nyume sana yan,,
Mungu huyu
Ibariki Tanzania
Kwani hajatokea?Tunasubiri kumuona kagame.
TunafuatiliaKabla ya mwezi wa 7 mwaka huu, kuna jambo zito sana nchini, limeshasukwa kwa asilimia 60% japo inaweza cheleweshwa makusudi
Mtu kati ,,,, nyoka anaingia shimoni kinyume nyume sana yan,,
Mungu huyu
Ibariki Tanzania
Mnataka kumuua au kumpindua?Kabla ya mwezi wa 7 mwaka huu, kuna jambo zito sana nchini, limeshasukwa kwa asilimia 60% japo inaweza cheleweshwa makusudi
Mtu kati ,,,, nyoka anaingia shimoni kinyume nyume sana yan,,
Mungu huyu
Ibariki Tanzania