The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Katika marais wote niliowashuhudia katika utu uzima wangu sijawahi kushuhudia rais anayeongea kwa kifupi kama huyu wa awamu ya sita.
Anaongea kwa ufupi na mara tu yale aliyokusudia kuwasilisha yakiisha anamaliza hotuba yake.
Kwa kuwa nilizoea kusikia hotuba ndeefu za marais waliotangulia nilikua najua huenda ni taratibu za kiitifaki zinawalazimisha Kutoa hotuba ndefu.
Kumbe inaoneokana ni utashi tu wa mtu binafsi na hobi binafsi ya kupenda kuzungumza mambo kwa kirefu!!