Kabudi, Lukuvi, Kitila, Waitara na Mwambe ndiyo walikuwa wanamkwamisha Rais Samia?

Katika hotuba yake Rais SSH alisema atafanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri ili kumteuwa na kutengeneza safu ya watu wanaoweza kufanya naye kazi. Kwasababu wengine wanamkwamisha.

Baraza jipya limetangazwa na Mawaziri walioachwa ni wanne. Kwahiyo tafsiri yake ni kwamba hawa wanna ndiyo walikuwa sumu ktk serikali yake, yaani Kabudi, Lukuvi, Kitila na Mwambe.

Na ukiangalia kinachoitwa mabadiliko si mabadiliko bali ni uhamisho wa watu walewale kuzurura kutoka wizara moja kwenda nyingine.

Nimesoma haya kutokana na kauli ya MH. SAMIA kwamba kuna mawaziri hawako naye, pengine wanawaza uchaguzi 2025.

Nini maoni yako!
Waingereza wanasema "they all serve her pleasure".
Na kwa katiba yetu Rais halazimiki kufuata ushauri wa yoyote anapoamua kufanya maamuzi.

Uteuzi ni bahati, kudra za mwenyezi Mungu, na mwenye mamlaka ya kuteua at any point akiamua kumwondoa yeyote anamwondoa.

Labda, pia walikuwa na maandalizi ya 2025, hii itabaki labda; je ni wote walikuwa na maandalizi? Muda ukifika (2025) tutajua kama kweli walikuwa wanajiandaa au "walisingiziwa"

Niweke record, sio kila kitu Rais au mkuu wa nchi anacholetewa mezani ni cha kweli. Huenda kuna vingine wanachomekewa.

Ukisoma biblia kulikiwa na serikali, na kuna wakati mfalme Dario aliwahi kuchomekewa kupitisha sheria bila kujua ilikuwa umelenga Daniel ambae alikuwa "Jambe la ukweli" kwa mfalme.

Yusuf aliwahi kusingiziwa na mke wa mkuu wa walinzi Farao, kuwa Yusuf alikuwa na nia ya kumbaka, na akatiwa lupango.

Kiufupi, Rais anapata taarifa nyingi sana na toka watu wengi sana, kama wakubwa wa zamani waliwahi kuchomekewa, bila shaka hata zama hizi mkulu anaweza kuzugwa na akafanya maamuzi then baadae akaja kujua kumbe alikuwa mislead.

Mungu ibariki Tanzania, hongereni wateule, bila shaka mtamsaidia madam SSH kuwatumikia Watanzania.
 
Lukuvi, Kabudi na Bashiru ndo walikua viongozi vipenzi wa moyoni wa Jiwe aliowaandaa kuchukua nchi 2025 Mkumbo alikua shabiki tu.
Jiwe mbona aliwaambia Lukuvi na Kabudi hadharani kwamba umri wao umeenda sana na hawezi akaruhusu chama chini ya uenyekiti wake uwapitishe kugombea urais

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Katika hotuba yake Rais SSH alisema atafanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri ili kumteuwa na kutengeneza safu ya watu wanaoweza kufanya naye kazi. Kwasababu wengine wanamkwamisha.

Baraza jipya limetangazwa na Mawaziri walioachwa ni wanne. Kwahiyo tafsiri yake ni kwamba hawa wanna ndiyo walikuwa sumu ktk serikali yake, yaani Kabudi, Lukuvi, Kitila na Mwambe.

Na ukiangalia kinachoitwa mabadiliko si mabadiliko bali ni uhamisho wa watu walewale kuzurura kutoka wizara moja kwenda nyingine.

Nimesoma haya kutokana na kauli ya MH. SAMIA kwamba kuna mawaziri hawako naye, pengine wanawaza uchaguzi 2025.

Nini maoni yako!
Waliotolewa ndio hao

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
IMG_1016.jpg

Picha la kutisha
 
Inashangaza sana, unamtoa LUKUVI? KABUDI? SERIOUSLY? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Its time siasa ya nchi hii has to change, otherwise tunaenda shimoni. Hawa watu wangeunda political block, huku mtaani hamna anaemkubali mama, wakiamua kabisa kupambana 2025 wanabeba.
Ningeshangaa sana kama Kabudi angeendelea kua Waziri,. Ni moja kati ya Wasomi wa hovyo wa taifa hili
 
Inashangaza sana, unamtoa LUKUVI? KABUDI? SERIOUSLY? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Its time siasa ya nchi hii has to change, otherwise tunaenda shimoni. Hawa watu wangeunda political block, huku mtaani hamna anaemkubali mama, wakiamua kabisa kupambana 2025 wanabeba.
Kama hawafai hawafai tu

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Inashangaza sana, unamtoa LUKUVI? KABUDI? SERIOUSLY? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Its time siasa ya nchi hii has to change, otherwise tunaenda shimoni. Hawa watu wangeunda political block, huku mtaani hamna anaemkubali mama, wakiamua kabisa kupambana 2025 wanabeba.

Anza wewe. Ndo utajua watu wanamkubali mama
 
Katika hotuba yake Rais SSH alisema atafanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri ili kumteuwa na kutengeneza safu ya watu wanaoweza kufanya naye kazi. Kwasababu wengine wanamkwamisha.

Baraza jipya limetangazwa na Mawaziri walioachwa ni wanne. Kwahiyo tafsiri yake ni kwamba hawa wanna ndiyo walikuwa sumu ktk serikali yake, yaani Kabudi, Lukuvi, Kitila na Mwambe.

Na ukiangalia kinachoitwa mabadiliko si mabadiliko bali ni uhamisho wa watu walewale kuzurura kutoka wizara moja kwenda nyingine.

Nimesoma haya kutokana na kauli ya MH. SAMIA kwamba kuna mawaziri hawako naye, pengine wanawaza uchaguzi 2025.

Nini maoni yako!
Mkuu unauliza ndevu kwa Osama, sio kwamba walikuwa wanamkwamisha hawa walikuwa tishio kwake, kipi kimemkwamisha, Makamba na Mwigulu ndio wanamkwamisha kama yeye hajui,hawa Tanesco na tozo ndio itakuwa bakora yao ikija 2025, shida watu wanapenda wasifiwe tu na kuitikia ndioo, waliokuwa wanamlaumu mwendazake kwa uimla kiko wapi?
 
Katika hotuba yake Rais SSH alisema atafanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri ili kumteuwa na kutengeneza safu ya watu wanaoweza kufanya naye kazi. Kwasababu wengine wanamkwamisha.

Baraza jipya limetangazwa na Mawaziri walioachwa ni wanne. Kwahiyo tafsiri yake ni kwamba hawa wanna ndiyo walikuwa sumu ktk serikali yake, yaani Kabudi, Lukuvi, Kitila na Mwambe.

Na ukiangalia kinachoitwa mabadiliko si mabadiliko bali ni uhamisho wa watu walewale kuzurura kutoka wizara moja kwenda nyingine.

Nimesoma haya kutokana na kauli ya MH. SAMIA kwamba kuna mawaziri hawako naye, pengine wanawaza uchaguzi 2025.

Nini maoni yako!
nilidhani ni mabadiliko yenye tija kumbe ni kulinda ugali! tutasubiri sana!
Katika hotuba yake Rais SSH alisema atafanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri ili kumteuwa na kutengeneza safu ya watu wanaoweza kufanya naye kazi. Kwasababu wengine wanamkwamisha.

Baraza jipya limetangazwa na Mawaziri walioachwa ni wanne. Kwahiyo tafsiri yake ni kwamba hawa wanna ndiyo walikuwa sumu ktk serikali yake, yaani Kabudi, Lukuvi, Kitila na Mwambe.

Na ukiangalia kinachoitwa mabadiliko si mabadiliko bali ni uhamisho wa watu walewale kuzurura kutoka wizara moja kwenda nyingine.

Nimesoma haya kutokana na kauli ya MH. SAMIA kwamba kuna mawaziri hawako naye, pengine wanawaza uchaguzi 2025.

Nini maoni yako!
 
Inashangaza sana, unamtoa LUKUVI? KABUDI? SERIOUSLY? 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Its time siasa ya nchi hii has to change, otherwise tunaenda shimoni. Hawa watu wangeunda political block, huku mtaani hamna anaemkubali mama, wakiamua kabisa kupambana 2025 wanabeba.

Waambie wapambane basi tuone,mfano lukuvi kwanin asisome alama za nyakati,kila siku ni yeye tuh,huyo wa jalalani arudi akafundishe,hao nape na makamba kwa mfano ndiyo walipambana kumwombea kura mwendazake,kama ni battle Wacha iendelee
 
Back
Top Bottom