Kabudi, Lukuvi, Kitila, Waitara na Mwambe ndiyo walikuwa wanamkwamisha Rais Samia?

Chief Hangaya aliongea kwa jaziba na kudai kwamba atawaondoa kutoka kwenye Baraza la Mawaziri wale mawaziri ambao focus yao iko 2025 ili wapate muda mzuri wa kujiandaa vizuri zaidi na kisha wakutane huko.

Leo ametoa mkeka wake ambao umewaacha mawaziri wanne (Kabudi, Lukuvi, Mkumbo na Waitara) nje. Kwa kauli ambayo aliitoa Chief Hangaya, sistahili lawama nikifanya assumption kwamba hawa mawaziri wanne ndio wale aliokuwa akiwasema.

Chief Hangaya anajua yeye anachokijua, lakini ameshindwa kunishawishi kwamba hawa ndio wale watu wenye focus ya 2025, kama alivyosema siku ile. It isn’t enough for something to be done; it must appear (to others) to be done. Nionavyo, huu ni mhemko wa Chief Hangaya tu na janja ya kutimiza matamanio ya Mzee wa Msoga!

Lukuvi kwa Spika wa Bunge ni chombo.
 
Nionavyo, huu ni mhemko wa Chief Hangaya tu na janja ya kutimiza matamanio ya Mzee wa Msoga!

You are absolutely right. Kama alitaka Kweli kuwaondoa hao aliowashuku kutaka URAIS basi Sioni mantiki ya kumuacha Mwigulu kwenye hilo Baraza na hiyo Wizara nyeti ya fedha!! Hilo la Msoga Sina ubishi halo kwani matamaniao ya Vasco Dagama ni kumuacha mwanae kwenye nafasi kubwa serikalini Ingawa hana personality wala uwezo.
 
Lukuvi kwa Spika wa Bunge ni chombo.
... unadhani ataweza kuisimamia serikali ipasavyo ambayo muda mfupi uliopita katokea humo humo na amekuwa mtendaji wa miaka mingi serikalini? Kwangu hili linashusha credibility yake ya kuisimamia serikali.
 
You are absolutely right. Kama alitaka Kweli kuwaondoa hao aliowashuku kutaka URAIS basi Sioni mantiki ya kumuacha Mwigulu kwenye hilo Baraza na hiyo Wizara nyeti ya fedha!! Hilo la Msoga Sina ubishi halo kwani matamaniao ya Vasco Dagama ni kumuacha mwanae kwenye nafasi kubwa serikalini Ingawa hana personality wala uwezo.
Ukweli ni kwamba Msoga ndiye anayeendesha nchi angalia Samia kawarudisha madarakani wezi, wahujumu na wabadhilifu wa mali za umma waliojulikana wazi huku akiwatimua wachapa kazi kina Kalemani, Chamriho, Lukivi, Waitara, na Kabudi ambaye aliongoza timu ya wanasheria wa nchi katika kurekebisha na kuboresha mikataba ya madini na mingineyo ya ulaji yote ati leo hafai aaah Samia acha hizo tunaona ufanyacho ila tu hatuna jinsi endelea na kazi ya kuliuza taifa iendelee
 
... unadhani ataweza kuisimamia serikali ipasavyo ambayo muda mfupi uliopita katokea humo humo na amekuwa mtendaji wa miaka mingi serikalini? Kwangu hili linashusha credibility yake ya kuisimamia serikali.

Itakuwa upuuzi mkubwa kama ni kweli amekuwa handpicked na Rais!
 
Tangu mama ademke kuhusu wanaotaka Urais na kuwa atakujaa na mkeka mpya zimepita siku 5!
Siku tano kwenye Siasa ni sawa na miaka 50.Mengiyamejiri...huenda mama kasalim.amri kaja na mkeka mwingine kabisa!☺️
 
Ukweli ni kwamba Msoga ndiye anayeendesha nchi angalia Samia kawarudisha madarakani wezi, wahujumu na wabadhilifu wa mali za umma waliojulikana wazi huku akiwatimua wachapa kazi kina Kalemani, Chamriho, Lukivi, Waitara, na Kabudi ambaye aliongoza timu ya wanasheria wa nchi katika kurekebisha na kuboresha mikataba ya madini na mingineyo ya ulaji yote ati leo hafai aaah Samia acha hizo tunaona ufanyacho ila tu hatuna jinsi endelea na kazi ya kuliuza taifa iendelee
Muache kujipendekeza na nyie, jitu bayaaa , lina roho mbayaaa, nyie kutwa .," mamaa, mamaa, mamaa!!!", Litawanyoosha mchana kweupeee ,mnaona hivihivi,
Kamsikilize chalamila alichosema EATV,
 
Mimi ni nani mpaka nipingane na mama? Mwenyewe kasema wwalizidiwa na homa ya 2025, waende wakajipange na tamanio lao wakiwa nje.
Kwa hilo kweli. Huenda alikuwa kwenye timu ya hao wasaka Urais. Naona wamepigwa kombora
 
Kuhusu wenye homa ya Urais 2025 ni dhahiri mama kabadilisha gia angani...kama Hawa alio watema ...Kabudi,lukuvi,Kitila,Mwambe ,na waitara,ndio walikuwa wanampa homa mhhhh!
Hai ni watu wepesi San kwenye CCM!
Tumepeigwa change la macho
 
Mama amejipambanua wazi sasa..yeye ni kiongozi wa aina gani..its bussiness as usual...ni baraza la kisiasa zaidi na wapigaji..boyz 2 men are back in town...ni wakati wa wazalendo kuamka na kuitetea tanzania.uteuzi uliofanyika ni dharau kwa watanzania wote..hawa sio watu wanaweza kwa nia moja kuiletea hii nchi maendeleo..ni wapigaji.
 
Katika hotuba yake Rais SSH alisema atafanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri ili kumteuwa na kutengeneza safu ya watu wanaoweza kufanya naye kazi. Kwasababu wengine wanamkwamisha.

Baraza jipya limetangazwa na Mawaziri walioachwa ni wanne. Kwahiyo tafsiri yake ni kwamba hawa wanna ndiyo walikuwa sumu ktk serikali yake, yaani Kabudi, Lukuvi, Kitila na Mwambe.

Na ukiangalia kinachoitwa mabadiliko si mabadiliko bali ni uhamisho wa watu walewale kuzurura kutoka wizara moja kwenda nyingine.

Nimesoma haya kutokana na kauli ya MH. SAMIA kwamba kuna mawaziri hawako naye, pengine wanawaza uchaguzi 2025.

Nini maoni yako!
Alitaka kuwaingiza kwenye baraza nappe, ridhwani na pindi chana. Naona ameanza unda pwanigang. Eti 'exit sukumangang enter pwanigang' 😂😂🤸🤸‍♂️💃💃🚶🤔🤔🙄
 
Back
Top Bottom