Kaburi la Hayati Magufuli: Wakati umetoa majibu na kuumbua watu

Alikuwa dhalimu, tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika fullstop.
Angalia hii njemba!!!
utafikiri imefutikw...kitu chenye ncha kali manyu
 
Lisu ni shetani anayetembea
Ila lakini hiki ulichoandika hata wewe mwenyewe utakuwa umejidharau sana mkuu.

Na tambua kuwa MUNGU YUPO,anajua,anaona na kutambua ubaya wa kila binadamu. Kati ya hao watu wawili ipo siku kila mmoja atafika mbele ya hukumu na atajibu sawa na matendo yake.

Wewe na mie pia tutafika mbele ya haki.

Tafakari
 
Gesi ya mtwara iliishia wapi?
 
Magufuli[emoji24][emoji24][emoji22][emoji17][emoji22][emoji22][emoji17][emoji24][emoji24]
Magufuli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji2][emoji3][emoji2]
 
Hii kitu haiwezekan kutokea mkuu Kuna ujinga mwingi unafanyika ila huu upupu sizan kama watu watamkubalia huyo mwenye wazo hilo
 
Rais Samia amempa heshima mtangulizi wake. Pumzika kwa amani mwamba..umeumaliza mwendo kwa alama mahususi.

Tutakukumbuka kwa mema na mabaya. Ila hakimu na Wakili ni Mola wetu Mlezi.
Jeshi ndiyo wamejenga baada ya watu kuponda sana yule bi mkubwa alikuwa bize kupanga safi yake ya uongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…