Kaburi la Petro(Simoni bar-yona) lipo Jerusalem na siyo Roma

Sasa we mbona unataka utulazimishe maneno yako yana ukwel bila ushahidi wowote wakina nani hao
 

Kanisa Katoliki lina waumini takribani bilioni mbili kwa sasa. Hii ni idadi ya wale wanaoshi achilia mbali wale waliokwisha kufa miaka kama 2000 iliyopita.

Ikiwa Kanisa Katoliki la idadi hiyo ya waumini ni la Kishetani ina maana Mungu hana nguvu na uweza dhidi ya shetani kiasi kwamba Mungu anaangalia tu watu wote hao ambao ni mali yake watapeliwe na shetani?
 
Acha kujidanganya mkuu, kama dhehebu lako linakufundisha kusali na kumwomba mtu aliyekufa wakati Biblia inakufundisha ukisali umwombe MUNGU peke yake, unafikiri siku ya mwisho utabakia salama kweli?

Kama Biblia imekataza usichonge sanamu wala usiitumikie, halafu dhehebu lako linakuuzia sanamu na wewe unasali huku ukiwa umepiga magoti mbele ya sanamu unafikiri siku ya mwisho utabaki salama??

Kama Biblia inakufundisha kuwa hakuna AMRI YA MUNGU hata moja iliyofutwa, halafu dhehebu lako linakufundisha kudharau baadhi ya AMRI za MUNGU, Je! unafikiri siku ya mwisho utabakia salama mkuu?

Mkuu kuna madhehebu yanafundisha kinyume kabisa na MAANDIKO. Hivyo ukiwa muumini wa madhehebu ya aina hiyo, UFALME WA MUNGU utausikia tu.
 
Imeandikwa wale watakao ingia kwenye UFALME wa MUNGU watakuwa ni kundi dogo sana. LUKA 12:32. Pia imeandikwa kwa sababu ya kupenda kwao udanganyifu, MUNGU amewaacha wapotee kwenye udanganyifu, WARUMI 1:28-32. Tena imeandikwa wao watakao mtafuta MUNGU kwa bidii basi watamwona, YEREMIA 29:13
 
Aaah! Kumbe na wewe ni mdhambi kiasi cha kufichama! Basi kalale, samahani nilipotea njia.
Usingizi mwema.
 
Wewe huna dhehebu utaongeleaje madhehebu!
 
Unachekesha unavyoviandika kweli we punguani kumbe mnadanganywa sana
 
Mvinyo tulionyweshwa na rc ni mkali sana si rahisi kuzinduka
Ha ha ha ha ha ha, umenichekesha sana mkuu Pierreeppah , tena imeandikwa hakuna anywae mvinyo wa zamani, akatamani mvinyo mpya, kwa kuwa asema ile ya kale ndiyo iliyo njema. LUKA 5:39.
 
Umeanza kupinga na bible sasa eti petro hakukanyaga roma
 
Unachekesha unavyoviandika kweli we punguani kumbe mnadanganywa sana
Ukimsoma kuanzia post ya kwanza hadi ya mwisho huwezi kukosea kuhitimisha kama ulivyosema. Anaandika lolote linalomjia kichwani pasipo kuangalia kama yanahusiana. Kama vile kuna kitu hakipo sawa pahala.
 
Unachekesha unavyoviandika kweli we punguani kumbe mnadanganywa sana
Nashukuru mkuu, hata YESU MWANA WA MUNGU alitukanwa sana tu itakuwa mimi? Kama MFALME alipigwa makofi na kutemewa mate itakuwaje kwa mtumishi wa MFALME?

Ubarikiwe mkuu.
 
Nashukuru mkuu, hata YESU MWANA WA MUNGU alitukanwa sana tu itakuwa mimi? Kama MFALME alipigwa makofi na kutemewa mate itakuwaje kwa mtumishi wa MFALME?

Ubarikiwe mkuu.
Mkuu!
Hebu pitia post zako tangu ya kwanza, comments za wengine na response zako. Kuna kitu hakipo sawa ati.
 
Ukimsoma kuanzia post ya kwanza hadi ya mwisho huwezi kukosea kuhitimisha kama ulivyosema. Anaandika lolote linalomjia kichwani pasipo kuangalia kama yanahusiana. Kama vile kuna kitu hakipo sawa pahala.
Huwezi ukaelewa hata kidogo sababu wewe umezongwa na "udanganyifu wa ibilisi", una masikio lakini husikii hata ukisikia huelewi, una macho huoni hata ukiona hutambui. Kaa vivyo hivyo kwenye upotevu wako mkuu.
 
Mkuu hili Kanisa Katoliki linafundisha uwongo sana. Hakuna ushahidi wowote hata wa kihistoria tu unao onesha kuwa Mtume Petro aliwahi kuishi Roma. Hakika kabisa Kanisa hili ni adui namba moja wa UKRISTO duniani.
Ikiwa huamini au unaamini Petro aliishi/hakuishi Roma je kunakupunguzia au kukuongezea nini katika njia yako ya kuirithi mbingu? Je kwapunguza nini ikiwa Petro hakuzikwa Roma katika imani katoliki ambayo ambayo imejengwa katika kuamini ya kuwa Kristo mwenyewe ndio njia ya kweli na uzima?
Kama imani katoliki inayofundisha Yesu ndio njia ya kweli na uzima ni adui wa ukristo basi hakika wewe ni ant-christ
 
waisraeli wajanja sana wanaandaa conspiracy theory nyingi zinazoegemea upande wao kwa manufaa yao binafsi [HASHTAG]#edjewcation[/HASHTAG]
 
Nioneshe kwenye Biblia panaposema Petro alikwenda Roma. Niwekee hapa mistari mkuu.
Acha ujinga kutafuta sifa za kipuuuzi dogo..unachokifanya apa kupinga hakikuongezi chkchote..ndezi kabisa
 
Mkuu Son of Gamba
Nimekupa ushauri, unaweza ukaupuuzia ukipenda lakini pia hutapungukiwa na kitu ukiufanyia kazi. Ni kwa nia njema kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…