Kaburi la Petro(Simoni bar-yona) lipo Jerusalem na siyo Roma

Kanisa linapowafundisha waumini uwongo kuwa Petro alizikwa Roma na alikuwa Papa wao wa kwanza wakati siyo kweli wewe unaona ni sawa tu?
Kanisa Katoliki linafundisha uongo mwingi sana, achilia mbali hiyo habari ya Petro, kuna mafundisho mengi sana ya uwongo ambayo yanawapoteza watu. Nimeahidi kuorodhesha UWONGO wote wa Kanisa hili hapa hapa JF, ili wale wanaotaka kuijua KWELI, basi waijue na wajiepushe na udanganyifu.
 
Mkuu hii ni propaganda tu ya Wakatoliki katika kutetea maovu yao. Petro alipoandika kwenye Waraka wake wa kwanza kwamba yupo Babyloni hakumaanisha Roma kama ambavyo Wakatoliki wanatafsiri. Ukisoma Historia utaona kuwa Misri kulikuwa na mji uliokuwa unaitwa Babyloni na hapo ndipo Petro alipokuwepo. WARAKA WA KWANZA WA PETRO 5:13

Sasa kuthibitisha maelezo yangu na mimi nimekuwekea hapa chini maelezo yaliyoandikwa na mtafuta KWELI kama mimi. Hebu soma ujionee mwenyewe:-

Well, six years ago, while conducting some Biblical research for a new article which I was working on at the time, I made an interesting discovery which I found rather surprising. At the time, this discovery seemed to shed some light regarding the possible identity of Peter's Babylon. In fact, I became quite convinced that I had finally figured out from where the Apostle Peter had written his first Epistle. What my research revealed is that during the early part of the First Century, when Christ walked the Earth, and His Apostles were still alive, there existed another city named Babylon. It was located in the northeastern corner of Egypt, in the Nile Delta area. The Wikipedia website states the following about this ancient city:

----- Begin Quote -----

"Babylon . . . was a fortress city or castle in the Delta of Egypt. It was situated . . . upon the right (eastern) bank of the Nile . . . and near the commencement of the Pharaonic Canal (also called Ptolemy's Canal and Trajan's Canal), from the Nile to the Red Sea. It was the boundary town between Lower and Middle Egypt, where the river craft paid tolls when ascending or descending the Nile . . . Josephus, with greater probability, attributes its structure to some Babylonian followers of Cambyses, in 525 BC. In the age of Augustus, the Deltaic Babylon became a town of some importance, and was the headquarters of the three legions which ensured the obedience of Egypt."

However, my surprise did not end there. As I continued my research concerning this Babylon Fortress, I discovered that today it is known as Coptic Cairo, or Old Cairo, being as it is the oldest section of that ancient city. In fact, some of the ancient remains of the Roman fortress can still be seen there. But that is not all. As it turns out, it is commonly believed by the Coptic Christians of Egypt -- who are some of the oldest known Christians in the world -- as well as by other Christians, that Joseph, Mary and the baby Jesus spent some time in Babylon, Egypt, after Joseph was warned by God in a dream to flee to Egypt, in order to escape persecution from evil King Herod.

According to ancient tradition, Christianity was introduced to the Egyptians by Saint Mark in Alexandria, shortly after the ascension of Christ and during the reign of the Roman emperor Claudius around 42 AD. The legacy that Saint Mark left in Egypt was a considerable Christian community in Alexandria. From Alexandria, Christianity spread throughout Egypt within half a century of Saint Mark's arrival in Alexandria, as is clear from a fragment of the Gospel of John, written in Coptic, which was found in Upper Egypt and can be dated to the first half of the 2nd century, and the New Testament writings found in Oxyrhynchus, in Middle Egypt, which date around the year 200 AD. In the 2nd century, Christianity began to spread to the rural areas, and scriptures were translated into the local language, today known as the Coptic language (which was called the Egyptian language at the time). By the beginning of the 3rd century AD, Christians constituted the majority of Egypt's population, and the Church of Alexandria was recognized as one of Christendom's four Apostolic Sees, second in honor only to the Church of Rome. The Church of Alexandria is therefore the oldest church in Africa.

Saint Apostle Peter wrote his first epistle from Babylon (north of Old Cairo), when visiting Mark (1 Peter 5:13). When Mark returned to Alexandria, the pagans of the city resented his efforts to turn the Alexandrians away from the worship of their traditional Hellenistic gods. In AD 68 they placed a rope around his neck and dragged him through the streets until he was dead.
 
Acha ujinga kutafuta sifa za kipuuuzi dogo..unachokifanya apa kupinga hakikuongezi chkchote..ndezi kabisa
Yeye amesema Biblia imeandika kuwa Petro alikwenda Roma, sasa nataka anioneshe hiyo mistari inayosema kuwa Petro alifika Roma.

Pia nashukuru kwa kunitukana, ubarikiwe sana mkuu.
 
Mkuu Son of Gamba
Nimekupa ushauri, unaweza ukaupuuzia ukipenda lakini pia hutapungukiwa na kitu ukiufanyia kazi. Ni kwa nia njema kabisa.
Ushauri gani ulionipa mkuu ilogelo ? Unaweza ukarudia tena kuniambia huo ushauri wako.
 
Mkuu!
Hebu pitia post zako tangu ya kwanza, comments za wengine na response zako. Kuna kitu hakipo sawa ati.
Kitu gani hakipo sawa? Kila mtu namjibu kama anavyouliza swali lake. Niambie wapi hapako sawa.
 
Aaah! Kumbe na wewe ni mdhambi kiasi cha kufichama! Basi kalale, samahani nilipotea njia.
Usingizi mwema.
Hakuna asiyekuwa na dhambi mkuu. Imeandikwa, "tukisema hatuna dhambi tunajidanganya nafsi zetu wenyewe. Tukiziungama dhambi zetu Yeye ni mwenye haki hata atuondolee dhambi zetu na kutusafisha na udhalimu wote, na tukisema hatujawahi kutenda dhambi tunamfanya Yeye mwongo wala neno lake halimo kwetu". WARAKA WA KWANZA WA YOHANA 1:8-10
 
Wakristo,waislamu,wayahudi,hatuna sababu ya kugombea fito ilhali hii dunia inatakiwa tuijenge wote iwe sehemu ya amani.
 
Ka Sabato katoto Ellen G. White!! Ni wapi kanisa Katoliki linasema wakati wa akina Petro makazi ya Papa yalikuwa Roma? Ni kitabu gani ambacho Wakatoliki wanasema Petro alifia Roma? Hebu wacha umazwazwa wa Kisabato wewe! Kwanza kesho nakualika uje tupige kitimoto hapa kwa Masawe!!
 
Tafuta barua zilizoandikwa na Gaius ambazo Kanisa Katoliki wanazo. Pia tafuta The Apocryphal of Peter au The Acts of Peter, hapo ndiyo utajua namaanisha nini mkuu.
 
Wakristo,waislamu,wayahudi,hatuna sababu ya kugombea fito ilhali hii dunia inatakiwa tuijenge wote iwe sehemu ya amani.
Dunia haiwezi kuwa sehemu ya amani kamwe mpaka siku ile atakapokuja tena YESU KRISTO na kuuleta Ufalme wa MUNGU. Amani ya kweli itakuwepo kwenye Ufalme wa MUNGU tu basi.
 
Nyie wasabat kila kukicha ni kupingana na waroma na sio kupingana na mwovu shetani.
Nenda ukale makande kwa mama lishe hapo karibu nitakuja kulipa.
Sabato njema!!!!!
Religions make people dull
 
Suala la Kafa wapi au kazikwa wapi kwa sasa sio issue. Inshu ni je una uwezo wa kukutana na Yesu pndi arudipo mara ya pili kama huyo Petro?
Mimi naamini kabisa siku BWANA YESU atakapokuja, kama nitakuwa nimekufa, atanifufua na nitakuwa naye katika Ufalme wake.
 
Religions make people dull
Acha maneno ya kishetani mkuu. Dini zipo ili watu wamjue MUNGU, sema kuna dini ya UKWELI ambayo ni moja tu; na dini za uwongo ambazo ni nyingi sana.
 
Son of Gamba wewe ni "Mpumbavu" nitafunga na kuomba ajili yako.
 
Son of Gamba wewe ni "Mpumbavu" nitafunga na kuomba ajili yako.
Asante mkuu, hata Baali alitishia kuwalaani wana wa Israeli na hakufanikiwa. Mimi nakuambia hivi funga kabisa tena funga hata siku 400 na siyo 40. Mimi nitasimama katika KWELI na kamwe sitaogopa chochote kile.
 
Son of Gamba wewe ni "Mpumbavu"
Asante mkuu, hata Baali alitishia kuwalaani wana wa Israeli na hakufanikiwa. Mimi nakuambia hivi funga kabisa tena funga ama katika KWELI na kamwe sitaogte kile.
"Mpumbavu"
 
NJIA YA UPOTEVUNI NI PANA NA WAIONAO NI WENGI,

MUNGU SIO WA DEMOKRASIA

amewahi kuokoa watu 8 kati ya watu bilion 8
 
Soma the lost tomb of jesus
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…