Kaburi la Petro(Simoni bar-yona) lipo Jerusalem na siyo Roma

Haiwezekani
 
Hili ndio tatizo lenu...ubishi na kutopenda kusoma kweli zaidi ya kuwaamini wazushi. Naamini quote kutoka Catholic Answers hujaisoma au umeparaza tu. Huyu jamaa yako analeta stori za Wikipedia ulinganishe na watu walioweka facts kutoka kwenye Bible kuonesha Babylon ilikuwa ni code word ya Roma. Rudi usome upya ukuze maarifa acha kurukia vitu virahisi. Nataka utoe challenge kwenye hilo bandiko na si kuleta stori za Wikipedia.
 
Acha maneno ya kishetani mkuu. Dini zipo ili watu wamjue MUNGU, sema kuna dini ya UKWELI ambayo ni moja tu; na dini za uwongo ambazo ni nyingi sana.
Ngoja nikusaidie kuivunjavunja. Soma hii then tumia hizo Bible quote as reference ndio turudi kwenye mjadala....

There is, in the greeting at the end of the first epistle: “The Church here in Babylon, united with you by God’s election, sends you her greeting, and so does my son, Mark” (1 Pet. 5:13, Knox). Babylon is a code-word for Rome. It is used that way multiple times in works like the Sibylline Oracles (5:159f), the Apocalypse of Baruch (2:1), and 4 Esdras (3:1). Eusebius Pamphilius, in The Chronicle, composed about A.D. 303, noted that “It is said that Peter’s first epistle, in which he makes mention of Mark, was composed at Rome itself; and that he himself indicates this, referring to the city figuratively as Babylon.”

Consider now the other New Testament citations: “Another angel, a second, followed, saying, ‘Fallen, fallen is Babylon the great, she who made all nations drink the wine of her impure passion’” (Rev. 14:8). “The great city was split into three parts, and the cities of the nations fell, and God remembered great Babylon, to make her drain the cup of the fury of his wrath” (Rev. 16:19). “[A]nd on her forehead was written a name of mystery: ‘Babylon the great, mother of harlots and of earth’s abominations’” (Rev. 17:5). “And he called out with a mighty voice, ‘Fallen, fallen is Babylon the great’” (Rev. 18:2). “[T]hey will stand far off, in fear of her torment, and say, ‘Alas! alas! thou great city, thou mighty city, Babylon! In one hour has thy judgment come’” (Rev. 18:10). “So shall Babylon the great city be thrown down with violence” (Rev. 18:21).

These references can’t be to the one-time capital of the Babylonian empire. That Babylon had been reduced to an inconsequential village by the march of years, military defeat, and political subjugation; it was no longer a “great city.” It played no important part in the recent history of the ancient world. From the New Testament perspective, the only candidates for the “great city” mentioned in Revelation are Rome and Jerusalem.

“But there is no good reason for saying that ‘Babylon’ means ‘Rome,’” insists Boettner. But there is, and the good reason is persecution. The authorities knew that Peter was a leader of the Church, and the Church, under Roman law, was considered organized atheism. (The worship of any gods other than the Roman was considered atheism.) Peter would do himself, not to mention those with him, no service by advertising his presence in the capital—after all, mail service from Rome was then even worse than it is today, and letters were routinely read by Roman officials. Peter was a wanted man, as were all Christian leaders. Why encourage a manhunt? We also know that the apostles sometimes referred to cities under symbolic names (cf. Rev. 11:8).

In any event, let us be generous and admit that it is easy for an opponent of Catholicism to think, in good faith, that Peter was never in Rome, at least if he bases his conclusion on the Bible alone. But restricting his inquiry to the Bible is something he should not do; external evidence has to be considered, too.



Early Christian Testimony


William A. Jurgens, in his three-volume set The Faith of the Early Fathers, a masterly compendium that cites at length everything from the Didache to John Damascene, includes thirty references to this question, divided, in the index, about evenly between the statements that “Peter came to Rome and died there” and that “Peter established his See at Rome and made the bishop of Rome his successor in the primacy.” A few examples must suffice, but they and other early references demonstrate that there can be no question that the universal—and very early—position (one hesitates to use the word “tradition,” since some people read that as “legend”) was that Peter certainly did end up in the capital of the Empire.
 
Watu hawajui kwamba eneo hilo lote ITALY na ISRAEL ya wakati huo ilikuwa chini ya mtawala mmoja? haina maana yoyote sehemu alipozikwa, ni sawasawa hapa bongo mtu anazikwa popote lakini kuzikwa kwake eneo hilo haliondoi kile alichoamini, alichofundisha au alama alioiacha haijalishi wanaomfuata ni watu wa kwao ama wafuasi a sehemu nyingine waliomwelewa na kumfuata
 
Hakunipunguzii chochote hata kama ni kweli Petro hakuzikwa Roma. Kanisa limenifundisha imani yake i katika Kristo msulubiwa na akafufuka siku ya 3 ili kuukomboa ulimwengu. Hiyo ndo msingi wa imani katoliki. Sasa kama hii imani kwako ni uzushi na uongo then wewe ni anti-christ...
 
Mkuu ubarikiwe sana haiwezekani humu watu wote wakakusupport,umetoa shule nzuri,naomba utueleze pia je huyu Mtume Mohammad wa waislam ametabiriwa kwenye biblia au kitabu chochote unachokifahamu?na kama sio ni kwann?maana waislam hawawi waislam hadi wamuamini Yesu,
 
We ulijuaje kuwa ni uongo hayo madhehebu yenu ya kimapokeo yanawapa mihemko sana kujiona nyie ndo wakristu halisi, mnaifia dini ambayo hata babu yako akifufuliwa Leo atakushangaa wewe kwa kuacha imani na mafundisho ya kabila lako
 
You have a point. Ndio maana Wakatoliki hatuna tatizo na wanaoamini Bible ya Martin Luther pekee maana inatosha kwa wokovu. Lakini Kanisa lina wajibu beyond hilo. Wajibu wa kutunza kumbukumbu ambazo vizazi kama vyetu na vinavyokuja vitatumia kama reference kuthibitisha mambo mengi kulingana na uzushi wa nyakati hizo. Angalia leo issue ya alipofia Petro inavyotumika ....kama Kanisa lisingetunza history ingekuwaje? Barua zote za kichungaji zimetuzwa toka enzi na enzi na hata hizi tunazoandikiwa sasa zitaishi na kusaidia vizazi vinavyokuja. Nyaraka walizoandika akina Paulo hazikukomea kwao maana Yesu alituachia muongozo wa Roho Mtakatifu na si Biblia ...hivyo Biblia ni sehemu ya juhudi za Kanisa kutunza kumbukumbu za kiimani kuzuia uzushi dhidi ya Ukristo na kuamsha imani. Wayahudi walizusha Yesu hakufufuka toka kuanzia kwa walinzi waliokuwa wanalinda kaburi la Yesu hadi leo wanaamini hivyo!!
 
Wasabato bwana na nabii wao elen G white roman Catholic inawapa tabu sana
 
Mimi ni mwamini wa KWELI wa YESU KRISTO. Mimi naamini katika KWELI na siku zote nikiijua KWELI, kamwe sitakaa kimya bali nitawaambia na wengine ili na wao waijue KWELI ili hiyo KWELI iwaweke huru kweli kweli.
Thibitisha kama we ni mwamini was kweli na si mfia dini wa kisabato
 
KIMBE ALIYEANDIKA NI MSABATO. MNGEKUWA NA JITIHADA ZA AINA HII KUTAFUTA HABARI ZA KIJISILIAMALI WATU DUNIA HII WANGEKUWA MATAJIRI SANA. MNAFUKUNYUA HABARI ZA KUKOSOA WAROMA NA MADHEHEBU MENGINE ILI MPATE NINI? HUO NI UDHAIFU WA FIKRA. SABATO NJEMA
 
.
Petro hakuwahi kufika Roma ya Italia. Labda Rumi ya Kaisaria alikokua akiishi kaisari hapo hapo bara Asia ndogo yalipo kuwepo yale makanisa saba.
 
Tokea mwaka 1958 ilipogundulika mifupa hii ya PETRO huko Jerusalem,
Hivyo Kitabu cha Ufunuo wa Yohana kinachoonesha madhalimu ya Emperor Nero ni cha uongo..

Ama unataka kutuambia Nero aliishi Jerusalem...??

Ama unataka kutuambia kifo cha Petro kichwa chini miguu juu kilikuwa cha uongo..?? Na kifo hicho kilitokea Jerusalemu

Ama unataka kutuambia Paul naye alifia Jerusalemu.....??



Kaaazi kweli kweli
 
.
Petro hakuwahi kufika Roma ya Italia.
Petro alisulubiwa kichwa chini miguu juu...unataka kutuambia tukio hili lilitokea wapi...???


Labda Rumi ya Kaisaria alikokua akiishi kaisari hapo hapo bara Asia ndogo yalipo kuwepo yale makanisa saba.
Rumi ya Kaisaria ni Wapi..??? Au hujui maana ya Caesar....
Unaposema Rumi ya Kaisaria maana yake ni mji wa Roma chini ya Mtawala Kaisari......

Na makaisari walikuwa na majina..


Najaribu kukuelewa ila napata shida kidogo
 
Yesu baada ya kuondoka aliwaachia Roho mtakatifu awaongoze na wenyewe mnakubali mnaongozwa na Roho mtakatifu lakini cha ajabu huyu Roho mtakatifu kila mtu anamfundisha yake. Masabato anaambiwa hivi,mlokole vile,mroma hivi,Anglican vile,Lutheran hivi n.k. Kwanini msimu update huyo Roho mtakatifu ili muende sawa?
 
Jaribuni kufuatilia mitume wetu wa ki Africa tujue kuhusu wao pia.watu kama akina Ngw'anamalundi ambao na wao walitenda miujiza kama hiyo ya wazungu.We must respect Africa.mi kuamini eti mtu mweusi hana ndugu nabii ni uongo,tuwaache wazungu na waarabu waamini vya kwao na sisi tuamini vya kwetu maana vilikuwapo.simaanishi kuitengua imani ya kristo au Islam isipokua tuna cha kwetu tulichokipoteza

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
 
Mimi sio Msabato, lkn ni kweli kabisa Petro hakuwahi kuwa Papa wa Roman Catholic. Maana historia ya kanisa inatueleza kuwa Petro, Yohana na Yakobo wao walikuwa wanakaa makao makuu ya kanisa Jerusalemu. Na akina Paulo wao walikuwa watumishi wa mataifa.

Ko kanisa kuanza kuwa makao makuu Roma(Vatican) ilianzia pale Mfalme Costantine alipomuamini Yesu kristo karne ya 3. Na ndipo makanisa yote duniani yakalazimishwa kuwa chini ya kanisa la Roma. Kumbuka kanisa liliitwa kutokana na eneo kanisa lilipo. Mfano kanisa lililokuwapo Efeso, ko liliitwa kanisa la Efeso. Hapakuwapo madhehebu ktk kanisa la mwanzo.

Kiufupi Petro hakufia Rumi. Bali Jerusalemu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…