Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,677
Hizi kauli za huyu mwamba ni kama anampigia kampeni Magufuli hivi? au
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jiandaeni kisaikolojia maana Lissu ndiyo rais wako wa awamu ya sita.Labda Tanzania ya ubeligiji
Kwa wasiyo jitambua kama nyinyi ndiyo mnaona hivyoHizi kauli za huyu mwamba ni kama anampigia kampeni Magufuli hivi? au
Mbona unaweweseka sana juu ya wapinzani?Typical of Membe! Hakuna mpangilio wa maneno. Hakuna maneno yenye mvuto. Hakuna muelekeo wa kiongozi.
Hapo ACT ipate kura ya nani? Anayewapa kura ni Maalim kule Z'bar, basi!
Umempatia jibu zuri sana labda atakuelewa mkuuKwani Membe ni CHADEMA? CHADEMA wanaendelea na kampeni kwa speed huku Lissu akimtandika spanner Magufuli,hiyo michango hao CHADEMA wanajazia tu kwenye kapu lao kama CCM wanavyowakamua wafanyabiashara kujazia kapu lao tens mwaka huu wamewakamua watumishi was umma kupitia form za kuomba kuteuliwa na CCM.
Yaani cdm kweli imewashika sehemu mbaya sana, huu uzi unahusika na mgombea wa ACT wazalendo, wewe unaijumlisha cdm?Chadema mfano imepata ruzuku mabilioni na michango ya kila mwezi ya wabunge madiwani ilipeleka wapi? Haikujua kuna uchaguzi ?
Hili nalo ni jambo la msingi sana, ila inawezekana labda ni kutokana na ugeni wa mgombea wa ACT mh Membe kwenye chama ndiyo maana ikawekwa picha ya ZittoKwanini picha ya zitto,kwanini wasiweke picha ya mgombea urais ili kumtambulisha kwa wapiga kura au anaomba kwa ajili ya kampeni za jimboni kwake?
ccm haiwez kupinduliwaBERNARD Membe, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT-Wazalendo amesema, mazingira magumu ya Siasa kwa sasa, yamesababisha marafiki na wafanyabiashara kushindwa kuwasaidia. Na kwamba, kusuasua kwa kampeni hasa vyama vya upinzani nchini, kunatokana na ukweli kwamba, wagombea wengi wana ukata kwani hawana msaada tofauti na chaguzi zilizopita.
“Mnapokuwa katika mbio za urais, unatakiwa ukae ujipange kifedha na uwe na timu za kampemi, vyama vyote vyenye wagombea, wana ukata wa fedha sababu vyanzo vyetu vinavyokubalika kisheria, wafanyabiasha wanaotoa msaada wote wamekimbia, hatuna fedha,”
“Sababu nyingine, tunazuiliwa muingiza fedha, ukitaka kuingiza ama kutoa fedha, unakataliwa. Nikiwa rais, nitaboresha mfumo wa fedha kuiondoa changamoto hiyo,”
Akielezea sababu za kushindwa kuendelea na kampeni za urais kwa mujibu wa ratiba yake, amesema waliamua kusitisha kwa kuwa baadhi ya wagombea wa ubunge na udiwani kwenye chama chake waliwekewa pingamizi.
“Kilichotokea, baada ya kuteuliwa mgombea wa urais, sisi wabunge wetu zaidi ya 40 waliwekewa pingamizi.
Sasa akili inakutaka utafute changamoto ya tatizo kwanza. Huwezi kukurupuka peke yako, unawaacha wabunge na madiwani wamewekea pingamizi,” amesema Membe.
Akizungumzia safari yake ya Dubai Membe amesema, alikwenda kwa kuwa, ni ratiba yake ya kawaida kwa maana ndani ya mwaka mmoja anapaswa kwenda mara nne kutokana na shughuli zake binafsi.
“Kuna malalamiko kwanini ameenda Dubai kipindi hiki, huwa naenda Dubai mara nne kwa mwaka, kuna kampuni mimi ni mwanachama, sasa sikwenda mara mbili sasa nimeenda, lakini pia nimekwenda kucheki afya yangu,”
Mwanahalisi
Mkuu lissu hawezi na hataweza kuwa rais wa nchi hii,mark my words
kucheki afya tu ni dubai,halafu anataka uraisKuna malalamiko kwanini ameenda Dubai kipindi hiki, huwa naenda Dubai mara nne kwa mwaka, kuna kampuni mimi ni mwanachama, sasa sikwenda mara mbili sasa nimeenda, lakini pia nimekwenda kucheki afya yangu,”
Hili nalo ni jambo la msingi sana, ila inawezekana labda ni kutokana na ugeni wa mgombea wa ACT mh Membe kwenye chama ndiyo maana ikawekwa picha ya Zitto
Mkuu siasa ndani ya vyama vyetu tunazijua sisi wenyewe tuliomo ndaniSasa hapo si ndio ingekua nafasi nzuri ya kumtambulisha mgeni wao
tunaambiwa anakuja kuunga mkono kamanda
Acha zije na sisi wenye njaa tushibeAsije akawa amerudi na mabulungutu ya fedha chafu....Financial Inteligent Unit mchunguzeni kwa umakini
Aisee haya ni maswali makubwa sana ya kujiulizaKwa kinywa chake, nazid kumshusha thamani siku had siku. Bora angekua anakaa kimya.
1. Ufadhili wa wafanya biashara.
Kwani ikulu kuna biashara gan ambayo itamuwezesha kulipa fadhila.kumbuka wafanya biashara hawana pesa za kuchezea hovyo !!anachotoa jua utakirudisha tu.
2. Hawaruhusiwi kuingiza fedha.
Hiz ndio zile wanaficha account za nje ya nchi au ndio uadhil wa mataifa ya nje? Kama ni ufadhil, ana mpango wa kuzirudisha vp akipewa madaraka?
Kachero mbabaishaji bwana!
Jiandae kisaikolojia weye na huyo mtu maana baada ya uchaguzi inabidi aingie mahakamani kujibu yale madudu aliyoyakimbia muda wote huko ubeligiji......andaeni namba nyingi za mpesa kuchangia gharama za kamanda utopolo akihenya mahakamaniJiandaeni kisaikolojia maana Lissu ndiyo rais wako wa awamu ya sita. View attachment 1570758
Wameanza kupitisha bakuli
Nakuona kama wewe ni mgeni wa mh Lissu, huyo ndiye mwamba wa mambo ya kisheria hababaishwi na lolote kinalo andaliwa juu yake na maccm.Jiandae kisaikolojia weye na huyo mtu maana baada ya uchaguzi inabidi aingie mahakamani kujibu yale madudu aliyoyakimbia muda wote huko ubeligiji......andaeni namba nyingi za mpesa kuchangia gharama za kamanda utopolo akihenya mahakamani
Kama mnavyo pitisha bakuli kwa mabeberu ili wawajazie muweze kujenga madarajaWameanza kupitisha bakuli