Kada wa CCM, Bakari Kazungu, ambaye amekuwa akikemea uchawa, atekwa na kufanyiwa vitendo vya kikatili

Amepata alichostahili ..wapenda haki wote hawawezi kua CCM ..alipaswa ajivue uanachama kisha akosoe..Kwa mantiki hiyo YEYE NI CCM na ameumizwa na CCM wenzake, SAFI sana
 
Mtu ukipata nafasi ya kusepa hii nchi ondoka tu bila hata kuangalia nyuma kama mke wa Lutu.

Ukatili unaofanywa na Hawa watu sasa hivi ni wa kutisha asee!!

Pole kwa jamaa.

Kama ningekuwa Mimi kwa uovu aliofanyiwa jamaa nisingemwachia Mungu.

Ningewapimia kipimo kikubwa kuliko walichopima wao.

Shetani unaruka nae kishetani tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…