Kadinali Pengo Amtembelea Mama Janeth Magufuli na Kumpa Zawadi ya Sanamu ya Bikira Maria

Ni shilingi ngapi akiamua kuuza?
 
Kwakweli kuna Imani za ajabu dunia,mimi pia nadhani Biblia ingemfaa zaidi ya hicho kidubwasha alichompelekea.

Kitabu kama Zaburi kina maneno ya kutia moyo na faraja kwenye nyakati ngumu,kama anaopitia huyo mama.

Kwamba hawana Biblia yani katika umri huo?
Tutumie logic kufikiria kidogo basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…