Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Polisi wa kwake mahakama ya kwake, tume ya kwake unategemea ana wasi wasiKikawaida uchaguzi ukikaribia wagombea wa urais kutoka chama tawala huwa wanafanya mambo angalau kurudisha tumaini kwa wananchi ili wapate kura kwenye uchaguzi mkuu.
Ila kwa huyu mama yetu imekuwa tofauti, kadri siku zinavyokwenda anazidi kupoteza mvuto kwa wapiga kura, hata wale ambao walikuwa wanamuunga mkono taratibu wameanza kumkataa.
CCM wanashughuli nzito sana kumuombea kura Samia, watu hawamuelewi labda kwa wazanzibari wenzake .
Tutaendelea kushinikiza mpaka tume huru ipatikane.Polisi wa kwake mahakama ya kwake, tume ya kwake unategemea ana wasi wasi
π€£π€£π€£ una mwanasheria Kijana au utajitetea mwenyewe kama TAL?Oktoba tunaππΏ
Kuna mtu aliwahi kusema hadharani kuwa "hata msipotuchagua mkachagua wengine, tutashinda sisi.."...kadri siku zinavyokwenda anazidi kupoteza mvuto kwa wapiga kura, hata wale ambao walikuwa wanamuunga mkono taratibu wameanza kumkataa.
Kwani mimi nimesema nini mkuu?ππ€£π€£π€£ una mwanasheria Kijana au utajitetea mwenyewe kama TAL?
Ndo laana ya chadema hii, hamji pata URAIS Tanzania mpaka mnakufaOktoba tunaππΏ