PreGE2025 Kadri siku zinavyozidi kwenda, Samia anazidi kupoteza mvuto kwa watu

PreGE2025 Kadri siku zinavyozidi kwenda, Samia anazidi kupoteza mvuto kwa watu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Unataka awe na mvuto kwani analiwa nyama.Nchi haitaki kiongozi mwenye mvuto bali muwajibikaji kwenye kutimiza wajibu wake.Kwasababu yeye hatakaa milele hapo iko siku atatoka,akitoka huo mvuto wake utakua umetusaidia nini.Wacha atimize wajibu wake mvuto wake sio hitaji letu kwasababu hakuna mwananchi anayekula mvuto.
 
Back
Top Bottom