PreGE2025 Kadri siku zinavyozidi kwenda, Samia anazidi kupoteza mvuto kwa watu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kikawaida uchaguzi ukikaribia wagombea wa urais kutoka chama tawala huwa wanafanya mambo angalau kurudisha tumaini kwa wananchi ili wapate kura kwenye uchaguzi mkuu.

Ila kwa huyu mama yetu imekuwa tofauti, kadri siku zinavyokwenda anazidi kupoteza mvuto kwa wapiga kura, hata wale ambao walikuwa wanamuunga mkono taratibu wameanza kumkataa.

CCM wanashughuli nzito sana kumuombea kura Samia, watu hawamuelewi labda kwa wazanzibari wenzake .
NDUGAI, GWAJIMA sasa ni MPINA.
 
Yeye mwenyewe kwasasa ANA HOFU Nzito, kiasi kwamba anahutubia mbele ya wananchi wasio hata na WEMBE akiwa ndani kwenye KABATI la BULLET PROOF.

20250618_131507.jpg
 
Kikawaida uchaguzi ukikaribia wagombea wa urais kutoka chama tawala huwa wanafanya mambo angalau kurudisha tumaini kwa wananchi ili wapate kura kwenye uchaguzi mkuu.

Ila kwa huyu mama yetu imekuwa tofauti, kadri siku zinavyokwenda anazidi kupoteza mvuto kwa wapiga kura, hata wale ambao walikuwa wanamuunga mkono taratibu wameanza kumkataa.

CCM wanashughuli nzito sana kumuombea kura Samia, watu hawamuelewi labda kwa wazanzibari wenzake .
Na atazidi kupoteza mvuta hadi mwisho kwa kuwa ameamua kukaa upande wa dhulma. Haki huinua Taifa bali dhambi ni aibu ya watu wowote!
 
Kikawaida uchaguzi ukikaribia wagombea wa urais kutoka chama tawala huwa wanafanya mambo angalau kurudisha tumaini kwa wananchi ili wapate kura kwenye uchaguzi mkuu.

Ila kwa huyu mama yetu imekuwa tofauti, kadri siku zinavyokwenda anazidi kupoteza mvuto kwa wapiga kura, hata wale ambao walikuwa wanamuunga mkono taratibu wameanza kumkataa.

CCM wanashughuli nzito sana kumuombea kura Samia, watu hawamuelewi labda kwa wazanzibari wenzake .
Ananuka damu za watu wasio na hatia
 
Abdul na mchengerwa walishindwa kumlinda dhidi ya chawa!!

huwezi fungia gazeti la uhuru vile bila maelezo ya kimedani na ukaingizwa mkenge wa kutangaza Nia mapema ya kugombea 2021 hasta mwaka haujaisha baada ya kurithi kiti!!

Samiah angegombea Kwa hamasa sana kama asingejiingiza kwenye mapambano ya mapema!!
 
na badoooooooooo unafikiri laaana ni mcheo eeh kinachofuta ataanza kuvua hadi nguo kwenye majukwaa uonevu ni kitu kibaya mno wala hakuna dhulumati especially muuaji akaendelea kushamiri bila kuwehuka hakuna hakuna bado hatujaona mambo
 
Kikawaida uchaguzi ukikaribia wagombea wa urais kutoka chama tawala huwa wanafanya mambo angalau kurudisha tumaini kwa wananchi ili wapate kura kwenye uchaguzi mkuu.

Ila kwa huyu mama yetu imekuwa tofauti, kadri siku zinavyokwenda anazidi kupoteza mvuto kwa wapiga kura, hata wale ambao walikuwa wanamuunga mkono taratibu wameanza kumkataa.

CCM wanashughuli nzito sana kumuombea kura Samia, watu hawamuelewi labda kwa wazanzibari wenzake .
OKTOBA TUNA ✔️
 
Back
Top Bottom