kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 8,216
- 21,914
Ama ni hana washauri bora, ama wapo lakini wamejaa uchawa wanampoteza ! Kuna vitu anaongea mpaka unashangaa hii ni taasisi ya uraisi ama ?
Tatizo TumeKikawaida uchaguzi ukikaribia wagombea wa urais kutoka chama tawala huwa wanafanya mambo angalau kurudisha tumaini kwa wananchi ili wapate kura kwenye uchaguzi mkuu.
Ila kwa huyu mama yetu imekuwa tofauti, kadri siku zinavyokwenda anazidi kupoteza mvuto kwa wapiga kura, hata wale ambao walikuwa wanamuunga mkono taratibu wameanza kumkataa.
CCM wanashughuli nzito sana kumuombea kura Samia, watu hawamuelewi labda kwa wazanzibari wenzake .
Ila mkuu, kiukweli kbs ndani ya nafsi yako (ukiweka kando masuala yetu ya njaa).October tunatiki ✅
Kwa Samia
Jiandae kisaikolojia kuwa Samia ni Rais wa Tanzania 2025-2030
Labda unazungumzia mvuto wa hawara yako, kwanza nenda kaharishe huo upumbavu wako. Samia ndio anang'ara zaidi na zaidi.Kikawaida uchaguzi ukikaribia wagombea wa urais kutoka chama tawala huwa wanafanya mambo angalau kurudisha tumaini kwa wananchi ili wapate kura kwenye uchaguzi mkuu.
Ila kwa huyu mama yetu imekuwa tofauti, kadri siku zinavyokwenda anazidi kupoteza mvuto kwa wapiga kura, hata wale ambao walikuwa wanamuunga mkono taratibu wameanza kumkataa.
CCM wanashughuli nzito sana kumuombea kura Samia, watu hawamuelewi labda kwa wazanzibari wenzake .
Rubbish? Upuuzwe!Kikawaida uchaguzi ukikaribia wagombea wa urais kutoka chama tawala huwa wanafanya mambo angalau kurudisha tumaini kwa wananchi ili wapate kura kwenye uchaguzi mkuu.
Ila kwa huyu mama yetu imekuwa tofauti, kadri siku zinavyokwenda anazidi kupoteza mvuto kwa wapiga kura, hata wale ambao walikuwa wanamuunga mkono taratibu wameanza kumkataa.
CCM wanashughuli nzito sana kumuombea kura Samia, watu hawamuelewi labda kwa wazanzibari wenzake .
Kwenye mchezo wa karata, gharashaKikawaida uchaguzi ukikaribia wagombea wa urais kutoka chama tawala huwa wanafanya mambo angalau kurudisha tumaini kwa wananchi ili wapate kura kwenye uchaguzi mkuu.
Ila kwa huyu mama yetu imekuwa tofauti, kadri siku zinavyokwenda anazidi kupoteza mvuto kwa wapiga kura, hata wale ambao walikuwa wanamuunga mkono taratibu wameanza kumkataa.
CCM wanashughuli nzito sana kumuombea kura Samia, watu hawamuelewi labda kwa wazanzibari wenzake .
atapumzika vipi wakati tayari amepitishwa kugombea?Angepumzika zake tu, mambo yamekua vululu-vululu
unataka kusema hilo zimwi ni CCM?Wahenga wanasema: Zimwi likujualo halikuli lika kwisha....
Wazungu wanasema: Bora Zimwi ulijualo....
NO REFORMS NO ELECTIONKikawaida uchaguzi ukikaribia wagombea wa urais kutoka chama tawala huwa wanafanya mambo angalau kurudisha tumaini kwa wananchi ili wapate kura kwenye uchaguzi mkuu.
Ila kwa huyu mama yetu imekuwa tofauti, kadri siku zinavyokwenda anazidi kupoteza mvuto kwa wapiga kura, hata wale ambao walikuwa wanamuunga mkono taratibu wameanza kumkataa.
CCM wanashughuli nzito sana kumuombea kura Samia, watu hawamuelewi labda kwa wazanzibari wenzake .
sasa kama wao watashinda ya nini kuitisha uchaguzi, si waendelee kutawala?Kuna mtu aliwahi kusema hadharani kuwa "hata msipotuchagua mkachagua wengine, tutashinda sisi.."
Tegemeo lao ni hapo
Kapitishwa na nani bro?atapumzika vipi wakati tayari amepitishwa kugombea?
...Mwenzio ana aman tele wala hizo si shida zake.
sikiliza wewe, supu ya mbwa hunywewa ya moto, sasa kama mtu kakushitukiza inabidi na we umjibu hapohapo fasta.Tuwe wakweli , Mama hana hata robo kilo ya amani moyoni mwake .
Mtu mwenye amani huwaga na utulivu wa roho ,na asiye na utulivu wa moyo huwaga hana amani .
Angelikuwa na utulivu wa moyo ile issue ya Mpina wala ansingelireact vile ,na leo amelala na viatu dadadeeki
na mkutano mkuu wa ccmKapitishwa na nani bro?
Niliangalia hakuna aliempitisha, alijipitisha kwenye mkutano wa ccm.na mkutano mkuu wa ccm
Uongooo!Mwenzio ana aman tele wala hizo si shida zake.
Ni Yeyeee. 😂😂😂😂Kuna mtu aliwahi kusema hadharani kuwa "hata msipotuchagua mkachagua wengine, tutashinda sisi.."
Tegemeo lao ni hapo
Mwanzo nilikuaga nawaza ukiwa kiongozi, kuna vitu unatakiwa kuacha, kumbe nlikua najidanganyaa. Sivyo kabisaa.Ama ni hana washauri bora, ama wapo lakini wamejaa uchawa wanampoteza ! Kuna vitu anaongea mpaka unashangaa hii ni taasisi ya uraisi ama ?
Hata akipoteza mvuto bado ataongoza nchi kwa miaka mitano ijayo. Mpaka sasa ulishasikia mshindani wake yoyote mwenye nguvu kwenye uchaguzi zaidi Lissu ambaye hata hivyo hashiriki uchaguzi.Kikawaida uchaguzi ukikaribia wagombea wa urais kutoka chama tawala huwa wanafanya mambo angalau kurudisha tumaini kwa wananchi ili wapate kura kwenye uchaguzi mkuu.