PreGE2025 Kadri siku zinavyozidi kwenda, Samia anazidi kupoteza mvuto kwa watu

PreGE2025 Kadri siku zinavyozidi kwenda, Samia anazidi kupoteza mvuto kwa watu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ni vile tu anatumia dola na hiyo jeuri anaitoa hapo, laiti isingekua hivyo basi asingelikua na jeuri alitonayo sasa.
 
Jana Tena Anatoa mipasho kwa mpina...si mbunge wa Jimbo Bali wa taifa anawaomba wanakisesa wachague mbunge wa Jimbo...hataki ukakasi kabisa ...
Kwa mantiki hiyo hawatapitisha jina lake kama atataka kugombea tena.
 
Hata akipoteza mvuto bado ataongoza nchi kwa miaka mitano ijayo. Mpaka sasa ulishasikia mshindani wake yoyote mwenye nguvu kwenye uchaguzi zaidi Lissu ambaye hata hivyo hashiriki uchaguzi.
Usije ukashangaa mpinzani akatoka humohumo CCM.
 
Tuwe wakweli , Mama hana hata robo kilo ya amani moyoni mwake .

Mtu mwenye amani huwaga na utulivu wa roho ,na asiye na utulivu wa moyo huwaga hana amani .

Angelikuwa na utulivu wa moyo ile issue ya Mpina wala ansingelireact vile ,na leo amelala na viatu dadadeeki
mi5 kwa SSH
 
Damu ni nzito kuliko maji.. Watanzania waliotekwa na kupotezwa hawawezi kuwaacha salama. Laana i juu yao waliohusika
Japo na wao wanafanya makafara ya kutakatisha
 
Katika TAIFA jepesi kuliongoza ni Tanzania Duniani kote. Ona anavyo kosa raha lakini anakomaa TU.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Huyu kilaza kwa kutoa boko hana deni kwakweli, juzi tu hapa anasema eti uchumi wa Tz unafanya vzr kuliko ule wa US na Ulaya!

Katiba yetu ni mbovu mnoo, haiwezekani iruhusu hata wajinga kuwa viongozi wa juu!!.
 
Kikawaida uchaguzi ukikaribia wagombea wa urais kutoka chama tawala huwa wanafanya mambo angalau kurudisha tumaini kwa wananchi ili wapate kura kwenye uchaguzi mkuu.

Ila kwa huyu mama yetu imekuwa tofauti, kadri siku zinavyokwenda anazidi kupoteza mvuto kwa wapiga kura, hata wale ambao walikuwa wanamuunga mkono taratibu wameanza kumkataa.

CCM wanashughuli nzito sana kumuombea kura Samia, watu hawamuelewi labda kwa wazanzibari wenzake .
Awwe anasoma hotuba sasa, publick speaking is not for everybody
 
Back
Top Bottom