PreGE2025 Kadri siku zinavyozidi kwenda, Samia anazidi kupoteza mvuto kwa watu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Tatizo Tume
 
October tunatiki βœ…
Kwa Samia
Jiandae kisaikolojia kuwa Samia ni Rais wa Tanzania 2025-2030
Ila mkuu, kiukweli kbs ndani ya nafsi yako (ukiweka kando masuala yetu ya njaa).
Hatuna rais, huyu mama tumeokota garasa!

Katiba yetu ni mbovu mnoo, hakika imepitwa na wakati...haiwezekani ktk watz milioni 61 eti tuongozwe na mtu uwezo wa sa100!!!.
 
Labda unazungumzia mvuto wa hawara yako, kwanza nenda kaharishe huo upumbavu wako. Samia ndio anang'ara zaidi na zaidi.
 
Rubbish? Upuuzwe!
 
Kwenye mchezo wa karata, gharasha
 
NO REFORMS NO ELECTION

Kwa uongo kama hivi unategemea nini
 
sikiliza wewe, supu ya mbwa hunywewa ya moto, sasa kama mtu kakushitukiza inabidi na we umjibu hapohapo fasta.
 
Hata akipoteza mvuto bado ataongoza nchi kwa miaka mitano ijayo. Mpaka sasa ulishasikia mshindani wake yoyote mwenye nguvu kwenye uchaguzi zaidi Lissu ambaye hata hivyo hashiriki uchaguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…