Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
- Thread starter
-
- #41
Anadhani ameshaimiliki nchi .Ama ni hana washauri bora, ama wapo lakini wamejaa uchawa wanampoteza ! Kuna vitu anaongea mpaka unashangaa hii ni taasisi ya uraisi ama ?
Ficha ujinga wako.Labda unazungumzia mvuto wa hawara yako, kwanza nenda kaharishe huo upumbavu wako. Samia ndio anang'ara zaidi na zaidi.
Kwa mantiki hiyo hawatapitisha jina lake kama atataka kugombea tena.Jana Tena Anatoa mipasho kwa mpina...si mbunge wa Jimbo Bali wa taifa anawaomba wanakisesa wachague mbunge wa Jimbo...hataki ukakasi kabisa ...
Usije ukashangaa mpinzani akatoka humohumo CCM.Hata akipoteza mvuto bado ataongoza nchi kwa miaka mitano ijayo. Mpaka sasa ulishasikia mshindani wake yoyote mwenye nguvu kwenye uchaguzi zaidi Lissu ambaye hata hivyo hashiriki uchaguzi.
Vululu vululu mnoAngepumzika zake tu, mambo yamekua vululu-vululu
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Hana akili.
Nape NnauyeKuna mtu aliwahi kusema hadharani kuwa "hata msipotuchagua mkachagua wengine, tutashinda sisi.."
Tegemeo lao ni hapo
mi5 kwa SSHTuwe wakweli , Mama hana hata robo kilo ya amani moyoni mwake .
Mtu mwenye amani huwaga na utulivu wa roho ,na asiye na utulivu wa moyo huwaga hana amani .
Angelikuwa na utulivu wa moyo ile issue ya Mpina wala ansingelireact vile ,na leo amelala na viatu dadadeeki
Tukutane Oktoba.Ndo laana ya chadema hii, hamji pata URAIS Tanzania mpaka mnakufa
Japo na wao wanafanya makafara ya kutakatishaDamu ni nzito kuliko maji.. Watanzania waliotekwa na kupotezwa hawawezi kuwaacha salama. Laana i juu yao waliohusika
Unacheka nini sasa?π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Angekua na gadhabu mngeshapotezwa wote, hasa weweπUongooo!
Kutwaa kutoa mipasho na vijembe hivyo, hiyo Amani aitoe wapii?
πππππ
Angekuw ana aman asingekuwa anajali petty things, mfano mzuri ni kauli za janaMwenzio ana aman tele wala hizo si shida zake.
Awwe anasoma hotuba sasa, publick speaking is not for everybodyKikawaida uchaguzi ukikaribia wagombea wa urais kutoka chama tawala huwa wanafanya mambo angalau kurudisha tumaini kwa wananchi ili wapate kura kwenye uchaguzi mkuu.
Ila kwa huyu mama yetu imekuwa tofauti, kadri siku zinavyokwenda anazidi kupoteza mvuto kwa wapiga kura, hata wale ambao walikuwa wanamuunga mkono taratibu wameanza kumkataa.
CCM wanashughuli nzito sana kumuombea kura Samia, watu hawamuelewi labda kwa wazanzibari wenzake .
Uongoooo!!! ππππAngekua na gadhabu mngeshapotezwa wote, hasa weweπ
Urais siyo jambo pekee tunalowish bali uongoz bora hata wakiongoza NCCR.Ndo laana ya chadema hii, hamji pata URAIS Tanzania mpaka mnakufa