AlanusJosephat53
JF-Expert Member
- Dec 29, 2021
- 747
- 746
NDUGAI, GWAJIMA sasa ni MPINA.Kikawaida uchaguzi ukikaribia wagombea wa urais kutoka chama tawala huwa wanafanya mambo angalau kurudisha tumaini kwa wananchi ili wapate kura kwenye uchaguzi mkuu.
Ila kwa huyu mama yetu imekuwa tofauti, kadri siku zinavyokwenda anazidi kupoteza mvuto kwa wapiga kura, hata wale ambao walikuwa wanamuunga mkono taratibu wameanza kumkataa.
CCM wanashughuli nzito sana kumuombea kura Samia, watu hawamuelewi labda kwa wazanzibari wenzake .
Kaka aman yetu ni vita ya maneno, hutujui wapemba au?Angekuw ana aman asingekuwa anajali petty things, mfano mzuri ni kauli za jana
Haha pale alipo ni uongoz wa nchi, uongoz unataka mental strength kubwa si kubeba culture alizotoka nazo nyumbanKaka aman yetu ni vita ya maneno, hutujui wapemba au?
Nyie mliambiwa ishini nao kwa akili hamkusikia sasa mmeamua muwape na nchi, ngoja dawa iingie.Haha pale alipo ni uongoz wa nchi, uongoz unataka mental strength kubwa si kubeba culture alizotoka nazo nyumban
Yes kuna ambavyo mtu anaweza kuacha, lakn vile common hawez kuacha!! Huyu ana ghadhabu, hasira za wazi wazi plus vichamboMwanzo nilikuaga nawaza ukiwa kiongozi, kuna vitu unatakiwa kuacha, kumbe nlikua najidanganyaa. Sivyo kabisaa.
Yeye mwenyewe kwasasa ANA HOFU Nzito, kiasi kwamba anahutubia mbele ya wananchi wasio hata na WEMBE akiwa ndani kwenye KABATI la BULLET PROOF.Kikawaida uchaguzi ukikaribia wagombea wa urais kutoka chama tawala huwa wanafanya mambo angalau kurudisha tumaini kwa wananchi ili wapate kura kwenye uchaguzi mkuu.
Ila kwa huyu mama yetu imekuwa tofauti, kadri siku zinavyokwenda anazidi kupoteza mvuto kwa wapiga kura, hata wale ambao walikuwa wanamuunga mkono taratibu wameanza kumkataa.
CCM wanashughuli nzito sana kumuombea kura Samia, watu hawamuelewi labda kwa wazanzibari wenzake .
Na atazidi kupoteza mvuta hadi mwisho kwa kuwa ameamua kukaa upande wa dhulma. Haki huinua Taifa bali dhambi ni aibu ya watu wowote!Kikawaida uchaguzi ukikaribia wagombea wa urais kutoka chama tawala huwa wanafanya mambo angalau kurudisha tumaini kwa wananchi ili wapate kura kwenye uchaguzi mkuu.
Ila kwa huyu mama yetu imekuwa tofauti, kadri siku zinavyokwenda anazidi kupoteza mvuto kwa wapiga kura, hata wale ambao walikuwa wanamuunga mkono taratibu wameanza kumkataa.
CCM wanashughuli nzito sana kumuombea kura Samia, watu hawamuelewi labda kwa wazanzibari wenzake .
Duh, hii ni kali.Yeye mwenyewe kwasasa ANA HOFU Nzito, kiasi kwamba anahutubia mbele ya wananchi wasio hata na WEMBE akiwa ndani kwenye KABATI la BULLET PROOF.
View attachment 3374525
Ananuka damu za watu wasio na hatiaKikawaida uchaguzi ukikaribia wagombea wa urais kutoka chama tawala huwa wanafanya mambo angalau kurudisha tumaini kwa wananchi ili wapate kura kwenye uchaguzi mkuu.
Ila kwa huyu mama yetu imekuwa tofauti, kadri siku zinavyokwenda anazidi kupoteza mvuto kwa wapiga kura, hata wale ambao walikuwa wanamuunga mkono taratibu wameanza kumkataa.
CCM wanashughuli nzito sana kumuombea kura Samia, watu hawamuelewi labda kwa wazanzibari wenzake .
Ndio maana ni mtu wa kupaniki paniki kila muda.Ananuka damu za watu wasio na hatia
Atulie tu kulinda heshima yake.Na atazidi kupoteza mvuta hadi mwisho kwa kuwa ameamua kukaa upande wa dhulma. Haki huinua Taifa bali dhambi ni aibu ya watu wowote!
Aisee.Yeye mwenyewe kwasasa ANA HOFU Nzito, kiasi kwamba anahutubia mbele ya wananchi wasio hata na WEMBE akiwa ndani kwenye KABATI la BULLET PROOF.
View attachment 3374525
Anakuwa sawa na wale wamama wa uswazi.Yes kuna ambavyo mtu anaweza kuacha, lakn vile common hawez kuacha!! Huyu ana ghadhabu, hasira za wazi wazi plus vichambo
OKTOBA TUNA ✔️Kikawaida uchaguzi ukikaribia wagombea wa urais kutoka chama tawala huwa wanafanya mambo angalau kurudisha tumaini kwa wananchi ili wapate kura kwenye uchaguzi mkuu.