Chrysanthemum
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 1,531
- 5,787
Kwenye maisha jitahidi kuwa na mtu mmoja wa kushare nae matatizo mzungumze inapotokea tatizo atakupa ushauri hata kama hautakua mzuri ila ile nguvu utakayotumia kumsikiliza huwezi kukosa kitu !!! Kama huna rafiki wa karibu basi kaa chini uandike ndo maana leo tuna vitabu kama ZABURI na MAOMBOLEZO zile zilikua hisia za mtu akazihamishia kwenye maandishi 😂😂 wanaume kulia ni nadra sana!
Umenikumbusha kisa fulani miaka ya 1990's rafiki yangu mmoja alikua anapata mafunzo katika taasisi mojawapo kubwa ya Dini ili awe kiongozi wa imani kwa ile dini ambayo viongozi hawaoi wala kuolewa hufunga ndoa na Kanisa , basi jamaa alienda vizuri akawa amepita hatua karibu zote mwezi mmoja kabla ya kusimikwa awe kiongozi wa imani ikatoka taarifa kwa amesimamisha sababu haijulikani nadhani ni mambo ya familia ndo yalifanya asimamishwe !! Haikuwekwa wazi !
Watu wote tulisikitika kweli maana ilikua ishapitishwa mchango kwa ajili ya zawadi sijui kumnunulia gari mambo kibao pia mpaka upitie hatua zote sijui theology mara malezi na maadili ni miaka mingi sana ukichanganya na ya shule inaweza kwenda 21+
Kwa kweli jamaa alipata Depression akaanza kuongea mwenyewe matendo yake yakawa sio ya kawaida alikosa hata mtu wa kuongea nae nadhani maana alikua pure introvert baada ya Siku kadhaa alikutwa tu ndani amefariki ilikua imepita siku kama tano toka afariki.