Kafariki akiwa amejifungia ndani ya ofisi yake, Mke wake alaumiwa

Kafariki akiwa amejifungia ndani ya ofisi yake, Mke wake alaumiwa

Kila mtu anamlaumu mwanamke.
Mwenye post kasema kabisa mwanaume alikua mlevi. Ukute ndo zile sampuli za hawataki kuulizwa uko wapi, ukute ugomvi wao ni kuambiwa acha pombe.

Wanaume huwa mnajua kulaumu sana mkipatwa matatizo ila hamtaki kusikiliza ushauri wa wake zenu.
Sasa mke analaumiwa kwa kipi kama mwanaume amezoea kulala nje labda siku hizo ndo aliamua kulala stoo kwake sijui ofisini. Ukute na simu huwa hapendi kupigiwa.

Apumzike kwa amani au anapostahili ila kuna la kujifunza hapa. Ndoa sio uadui ndoa sio kifungo. Tusikilizane tusaidiane
 
issue hapa ni mkewe kuto toa taarifa baada ya mumewe kuto onekana kwa siku tatu ila siyo kwamba mkewe ndiyo kasababisha kifo !!!!! pombe siyo nzuri kama kichwa cha panzi.
 
Back
Top Bottom