Kafariki akiwa amejifungia ndani ya ofisi yake, Mke wake alaumiwa

Kwenye maisha jitahidi kuwa na mtu mmoja wa kushare nae matatizo mzungumze inapotokea tatizo atakupa ushauri hata kama hautakua mzuri ila ile nguvu utakayotumia kumsikiliza huwezi kukosa kitu !!! Kama huna rafiki wa karibu basi kaa chini uandike ndo maana leo tuna vitabu kama ZABURI na MAOMBOLEZO zile zilikua hisia za mtu akazihamishia kwenye maandishi 😂😂 wanaume kulia ni nadra sana!

Umenikumbusha kisa fulani miaka ya 1990's rafiki yangu mmoja alikua anapata mafunzo katika taasisi mojawapo kubwa ya Dini ili awe kiongozi wa imani kwa ile dini ambayo viongozi hawaoi wala kuolewa hufunga ndoa na Kanisa , basi jamaa alienda vizuri akawa amepita hatua karibu zote mwezi mmoja kabla ya kusimikwa awe kiongozi wa imani ikatoka taarifa kwa amesimamisha sababu haijulikani nadhani ni mambo ya familia ndo yalifanya asimamishwe !! Haikuwekwa wazi !

Watu wote tulisikitika kweli maana ilikua ishapitishwa mchango kwa ajili ya zawadi sijui kumnunulia gari mambo kibao pia mpaka upitie hatua zote sijui theology mara malezi na maadili ni miaka mingi sana ukichanganya na ya shule inaweza kwenda 21+
Kwa kweli jamaa alipata Depression akaanza kuongea mwenyewe matendo yake yakawa sio ya kawaida alikosa hata mtu wa kuongea nae nadhani maana alikua pure introvert baada ya Siku kadhaa alikutwa tu ndani amefariki ilikua imepita siku kama tano toka afariki.
 
Mtoa mada pole kwa kufiwa na uncle wako na jirani yako,pole sana ,ila kwangu ninakuona ni mtu mwenye utawala na ukatili wa kidume, why ulaumu mke kama ndio tatizo?,why marehemu aliamua kulala kwenye frem na sio nyumbani?,alikuwa ni coward?kabla ya ku sort out matatizo yeye akaamua kuyakimbia, hope pathologist (kama yupo na sio GP)ataufanyia mwili wa marehemu postmortem kujua chanzo cha kifo, binafsi definitely sio mke wake
 
dronedrake hii habari ya kusikitisha kwamba ndoa imeua je imeshafika dawatini kwako?


Rest in Power mwanaume mwenzetu
 
#Kataa ndoa!
 
Mume wake siku 2 hajaonekana kweli mwanamke anayakalisha tu matako ndani hana hata wasiwasi
Huwezi judge maana hujui walikuwa wanaishi vipi. Kuna wanaume kutokurudi nyumbani hata wiki ni kawaida yao.

Mnahukumu tu bila kujua sababu ni nini. Huyo mwenzenu nae hana akili...unaachaje nyumba yako unaenda kulala kwenye frame ya biashara?
Badala ya kutatua tatizo unakimbia ili iweje? Ndoa ikikushinda si unaacha kwani kuna mtu anakulazimisha.

Mnapoambiwa ishini nao kwa akili muwe mnazingatia. Tatizo lenu hizo akili sijui mmeziweka wapi.

Kila kitu ni lawama na kulialia kila siku mmekuwa hamna tofauti na watoto wa kike mnauaibisha uanaume wenu.
 
Kuna jamaa yetu nae amefariki juzi,alikuwa amebadilika na kuwa mtu wa mawazo sana,na jamaa yake wa karibu anasema alikuwa na walikuwa ugomvi na mkewe kwa muda mrefu na alikuwa anajipnga Amuachie mke nyumba na kwenda kuanzisha mji mwingine...juzi ametoka job homa ghafra na kufariki..
 
Aise
 
Ushaambiwa haikuwa kawaida kulala nje ya kwake. Mke angekuwa ni mtu wa maana angeulizia mume wake yuko wapi

Ameanza kulala kwenye frame baada ya kukorofishana na mke wake

Huyo mke ni mkatili
 
Asante mkuu, ukisoma vizuri utaona sijalaumu mahala mke. Hata hii ishu nimeandika kama third party tu yani niliyoyasikia pale tena haswa kwa yule mfanyakaz mwenzangu mana wale wako pale kila siku.. wale ndo walikua wanamlaumu mkewe coz ana zaidi ya wiki 2 analala mule ila kiukweli sikuuliza waligombania nn na wala sijajua.
 
Ushaambiwa haikuwa kawaida kulala nje ya kwake. Mke angekuwa ni mtu wa maana angeulizia mume wake yuko wapi

Ameanza kulala kwenye frame baada ya kukorofishana na mke wake

Huyo mke ni mkatili
Ni mengi hatuyajui huwezi kulaumu tu kwa kufikiria.
Mwanaume hajitambui ni wale wasiojua kusolve matatizo. Labda hiyo nyumba sio yake. Mwanaume wa kiafrika hakimbii nyumba...mke ndo atafukuzwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…