Kafulila: 2008 SYNOVATE walisema tatizo namba moja la Watanzania ni maji

 
Kafulila ni mzuri kwa hoja sijui kuhusu utendaji
 
Wapumbavu nyie,Yani miaka Zaidi ya 60 ya uhuru tunazungumzia maji? Kwa utajiri WA nchi HII mambo ya maji,barabara na umeme vingetakiwa viwe tangu miaka ya 90 au at least 2000
CCM wamedhoofisha nchi
Daaah makasiriko ya nini?
 
Kafulila ni kijana mtiifu wa Magufuli na Rais Samia anajua kucheza na hoja huenda akawa hazina zaidi hapo baadae
 
Mkuu rejea hoja na maudhui ya mada ziletazwo hapa jukwaani na kijana wetu Lucas Mwashambwa, ndipo utaweza kupata kwa tafsiri yako mwenyewe maana ya maisha ya uchawa.
Kwani Lucas mpaka Leo hajapewa hata Úkatibu Tarafa?
 
Kafulila ni chawa aliyechangamka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…