Kafulila awalipua mawaziri akaunti ya Escrow

Hawa mapanya wa CCM wanaudhi na wanakera sana....wameiguguna nchi tangu mwaka 1961 na bado wanatamani waendelee kuifilisi! Hawa mafisi dawa yao ipo jikoni na muda si mrefu wataumbuka.
 
Reactions: BAK
Mkuu tpaul sasa hivi hata woga hawana tena maana wanajua tutawafanya nini? Wanaiba mapesa chungu nzima hakuna anayekamatwa kupandishwa kizimbani au kufukuzwa kazi. Mafisi na Mapanya yameiteka nchi na kufanya yatakavyo bila kujali maslahi ya Watanzania.

Hawa mapanya wa CCM wanaudhi na wanakera sana....wameiguguna nchi tangu mwaka 1961 na bado wanatamani waendelee kuifilisi! Hawa mafisi dawa yao ipo jikoni na muda si mrefu wataumbuka.
View attachment 189081
 
Last edited by a moderator:
Nalijua hilo Mkuu lakini wanakasirika sana wanapoona bado tunalijadili hapa. Si unaona juhudi zao kubwa ya kupotosha ukweli kuhusiana na wezi huu? Ni kawaida yao kukaa kimya wakijua Watanzania tutasahau, mfano mabilioni ($579 million)ya Uswiss leo ni karibu miaka miwili na nusu bado tangu uchunguzi uanze "uchunguzi bado unaendelea"

Mkuu tusitegemee mwendelezo wa hili jambo.
 
“Si kweli kwamba ESCROW akaunti ilifunguliwa
kutokana na maombi ya TANESCO kuhusiana na
mgogoro wa capacity charge, Kesi ya TANESCO
iliisha 2001, na akaunti ya ESCROW
ilifunguliwa kwa hukumu ya 2006,’’alisema.
Aliongeza; “VIP ndio waliomba kufunguliwa kwa
ESCROW, hivyo kusema kwamba TANESCO na IPTL
kuna kesi ni upotoshaji unaopaswa
kukemewa,’’.
Makandege, alisema kesi iliokuwepo kwa sasa
ni ya mgogoro wa umiliki kati PAP/IPTL na
benki ya Standard Chartered ya Hongkong
inayodai kununua deni la Kampuni ya Mechmar
ya Malaysia.
“Kesi kati ya Standard Chartered na IPTL/PAP
haihusiani na TANESCO na wawaache TANESCO
watimize wajibu wao na sisi tuyatimiza wajibu
wetu kwa Watanzania na tutapambana
mahakamani,’’alisema Makandege kwa kujiamini.
Hivyo, alisema wanaolalamika kwamba PAP/IPTL
imelipwa kwa makosa wao ndio wanafanya makosa
ya kupotosha ukweli wa suala hilo au labda
waeleze kwamba Standard Chartered ni Shirika
la Umma.
 
Basi Sawa

acha mas ala wewe. Nchi hii sio shamba la bibi. 2015 watanzania twamuhitaji prof. Anna tibaijuka kuikoa nchi hii kwa ufisadi na umasikni. Tusifanye ushabiki tuu wa kisiasa
 
Mkuu, hivi unalipwa sh ngapi kutetea UFISADI huu?
 
wanaolalamika kwamba PAP/IPTL
imelipwa kwa makosa wao ndio wanafanya makosa
ya kupotosha ukweli wa suala hilo au labda
waeleze kwamba Standard Chartered ni Shirika
la Umma.
 
Last edited by a moderator:
Hawa mapanya wa CCM wanaudhi na wanakera sana....wameiguguna nchi tangu mwaka 1961 na bado wanatamani waendelee kuifilisi! Hawa mafisi dawa yao ipo jikoni na muda si mrefu wataumbuka.
View attachment 189081

wanaolalamika kwamba PAP/IPTL
imelipwa kwa makosa wao ndio wanafanya makosa
ya kupotosha ukweli wa suala hilo au labda
waeleze kwamba Standard Chartered ni Shirika
la Umma.
 
acha mas ala wewe. Nchi hii sio shamba la bibi. 2015 watanzania twamuhitaji prof. Anna tibaijuka kuikoa nchi hii kwa ufisadi na umasikni. Tusifanye ushabiki tuu wa kisiasa
Kashindwa Kiongozi wa sasa kuondosha huo ufisadi je Ataweza Prof Anna Tibaijuka? kuwamaliza Ufisadi unafikiri kazi ya mchezo?
 
massange,

BOT na serikali kupitia wizara zimeshugulikia ESCROW account, je nazo ni taasisi binafsi. Kama hazikuwa pesa za uma kwanini serikali ilihusika?
Si rahisi kwa wezi kukiri kuwa wameiba, hata hivyo hutiwa hatiani na hata kuhukumiwa wakiwa bado wakijitetea kuwa hawana kosa au hawajaiba.
Hivi mtu akisema kwa kujiamini kuwa mama yako ni nyani, wewe utakubali tu kwa sababu amesema tena kwa kujiamini?
 
kafulila ndivyo alivyokutuma siyo?bora utumwa wa kujituma
kuliko utumwa wa kutumiwa.pole weeh...wajinga ndio waliwao.
 
Usitumie akili za kuazima kujadili jambo na watu wenye fikra huru kama mimi.
Jibu hoja kwa hoja bila kuangalia nani kasema nini. Akili ndogo au za kuazima ndizo zinazojadili watu.
Hata hivyo unaweza kumpongeza mtu au kumuunga mkono kwa hoja yake.
Utumwa wa fikra ni mbaya zaidi kuliko ule wa kutumia nguvu!
Kwa nini tugombane kwa ajili ya mafisadi? Ndugu yangu amka, jenga hoja unielimishe mimi na wengine kama wewe siyo mhusika katika huo ufisadi au mbwa wa hao mafisadi!
 
Kuna mtu humu anaitwa massange. Kusema kweli huyu massange ni wa kuhurumiwa na katu si wa kukebehiwa. Huenda ikawa hata hajui anatetea nini! Binafsi namhurumia na kama ningemfahamu, badala ya kumshangaa, ningefanya jitihada za kumsaidia! Yawezekana hana njia; asipokomaa kutetea huu ufisadi ndio tena...watampotezea kama Marehemu Mgimwa. Ujeuri wa wezi nchi hii hakika unatisha.
 
Mavii matupu
 
Ujeuri walio nao wezi nchi hii hakika unatisha, muoneni huyu mimi kuruta...kweli nchi imekosa uongozi. Mwizi anakuibia halafu anatamba na kutukana, my God!

Unaushaid gani kama kaiba mkuu
au na wewe umemezeshwa na kafulila
Mkuu mmi ni tofauti sana na wengi eti sio kisa kasema yeye kafulila na mimi nikurupuke tu nianze kumshabikia lazma nianze kufanya uchunguz kwanza
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…