Kafulila: Hata Ulaya ilijengwa kwa Mikopo toka Marekani Marshall Plan si dhambi kukopa ili kujenga miradi ya maendeleo kama SGR au JNHP

===
Mhe David Kafulila Mkurugenzi Mkuu wa Ubia nchi PPP amewatoa hofu na mashaka Watanzania kwani Serikali yao ya awamu sita chini ya Dkt Samia Suluhu Hassan ina nia na dhamira njema dhidi yao.

Huyu dogo naye baada ya kuchapiwa wife amechanganyokiwa

Marshal plan ni mpango ulikuja baada madhara makubwa ya vita
Na nchi za ulaya zilitumia vizuri huo mkopo kuinuka tena kiuchumi

Sasa bongo hii unakopa bila mkakati na udhibiti, ripoti za CAG Kila mwaka zimejaa ubadjirifu, hiyo mikopo italindwaje?

Wenye maono ya mbali wanashauri tuandike katiba mpya itoe ulinzi wa fedha, rasilimali za wananchi
 
Hakuna mwenye ubishi kuhusu Katiba mpya hata hivyo
 
Ya kuhalalisha kukopa

Germany ndiye industrial powerhouse Ulaya na taifa la tatu duniani lenye uchumi mkubwa baada ya Marekani na China lakini haikuwa mfaidika wa Marshall Plan

Kwa nini asizungumzie tujifunze kutoka kwa Germany?

Vipi kuhusu China hapo ilipofika ni kwa sababu ya mkopo wa Marshall Plan?

Mkuu please clarify...Germany haikuwa mnufaika wa Marshal Plan ? Marshal Plan ilisaidia Ulaya wakati Ujerumani imeisha gawanywa, sema East Germany, ambayo "ilisaidiwa" Kama unaweza kusaidiwa na USSR wakati huo, maana hali ya East Germany iliingizwa katika mfumo tofauti kabisa, na mpaka anguko la USSR lilipotokea, huwezi kuiweka East Germany kama industrial power house ulaya.

Sources nyingine zinaonyesha asimia kama 11% Ilienda ujerumani Magharibi, Kumbuka pia nia mojawapo ya Marshal Plan ulaya, ilikuwa ni kuzuia kuenea kwa Communism, hivyo Ujermani Magharibi ilikuwa ni mnufaika.

La msingi nchi za Ulaya hazikwenda kukopa ni kama zilipewa tu! Kwa faida ya kwanza ya Marekani, ambayo ilitumia gharama kubwa katika vita, na kuijenga Ulaya kuli hitaji mno resources, ambazo definitely zilitoka Marekani.
 
expand...
Pamoja na kazi nzuri anayoifanya David Kafulila bado Watanzania wanahitaji kupewa Elimu ya kutosha juu ya mambo mazuri kama haya ,

Shida ya Watanzania ni Taarifa tu ndio hawana ndio maana unaweza ukadhani ni wakorofi kumbe hapana
 
Akikujibu naomba uniite
 
Pamoja na kazi nzuri anayoifanya David Kafulila bado Watanzania wanahitaji kupewa Elimu ya kutosha juu ya mambo mazuri kama haya ,

Shida ya Watanzania ni Taarifa tu ndio hawana ndio maana unaweza ukadhani ni wakorofi kumbe hapana
Ni kweli kwa sasa Kafulila anafanya kazi kubwa sana kuitetea Serikali
 
Kafulila nimjenga hoja mzuri tatito ni pale aliponunuliwa tu lakini sina tatizo anachoongea japo kuna sehemu anatupiga changa la macho kwa kutetea ugali wake
 
Back
Top Bottom