Bob Manson
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 4,158
- 7,787
WB, IMF Wote wapo chini ya familia moja ambayo ina miliki pia Federal reserve.Na nadhani baada ya hili tukio ndio maana WB, na IMF wakikupa pesa wanakula na watu wa kuzitumia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WB, IMF Wote wapo chini ya familia moja ambayo ina miliki pia Federal reserve.Na nadhani baada ya hili tukio ndio maana WB, na IMF wakikupa pesa wanakula na watu wa kuzitumia
😂😂 sasa kama Mpaka WB, IMF ni vijana wa FederalReserve nani Yuko salama?WB, IMF Wote wapo chini ya familia moja ambayo ina miliki pia Federal reserve.
Hakuna aliye salama mkuu😂😂 sasa kama Mpaka WB, IMF ni vijana wa FederalReserve nani Yuko salama?
Hivi Waziri wa Fedha anapoomba mkopo kule hawamwombi pia 10%?Hakuna aliye salama mkuu
10% ya nini?Hivi Waziri wa Fedha anapoomba mkopo kule hawamwombi pia 10%?
Ili wapewe Mikopo kama maeneo mengine wanavyofanya10% ya nini?
Hilo sifahamu vyema mkuuIli wapewe Mikopo kama maeneo mengine wanavyofanya
Taarifa ni njema sana
Kafulila ni hazina kubwa sana kwa Taifa, Sijui wengine mnamuonaje ila jamaa anaakili sana.===
Mhe David Kafulila Mkurugenzi Mkuu wa Ubia nchi PPP amewatoa hofu na mashaka Watanzania kwani Serikali yao ya awamu sita chini ya Dkt Samia Suluhu Hassan ina nia na dhamira njema dhidi yao.\
=====
Huyu dogo naye baada ya kuchapiwa wife amechanganyokiwa===
Mhe David Kafulila Mkurugenzi Mkuu wa Ubia nchi PPP amewatoa hofu na mashaka Watanzania kwani Serikali yao ya awamu sita chini ya Dkt Samia Suluhu Hassan ina nia na dhamira njema dhidi yao.
Hakuna mwenye ubishi kuhusu Katiba mpya hata hivyoHuyu dogo naye baada ya kuchapiwa wife amechanganyokiwa
Marshal plan ni mpango ulikuja baada madhara makubwa ya vita
Na nchi za ulaya zilitumia vizuri huo mkopo kuinuka tena kiuchumi
Sasa bongo hii unakopa bila mkakati na udhibiti, ripoti za CAG Kila mwaka zimejaa ubadjirifu, hiyo mikopo italindwaje?
Wenye maono ya mbali wanashauri tuandike katiba mpya itoe ulinzi wa fedha, rasilimali za wananchi
Good done===
Mhe David Kafulila Mkurugenzi Mkuu wa Ubia nchi PPP amewatoa hofu na mashaka Watanzania kwani Serikali yao ya awamu sita chini ya Dkt Samia Suluhu Hassan ina nia na dhamira njema dhidi yao.
=====
True aiseeeKafulila anajua sana aisee we proud of him
Ya kuhalalisha kukopa
Germany ndiye industrial powerhouse Ulaya na taifa la tatu duniani lenye uchumi mkubwa baada ya Marekani na China lakini haikuwa mfaidika wa Marshall Plan
Kwa nini asizungumzie tujifunze kutoka kwa Germany?
Vipi kuhusu China hapo ilipofika ni kwa sababu ya mkopo wa Marshall Plan?
Pamoja na kazi nzuri anayoifanya David Kafulila bado Watanzania wanahitaji kupewa Elimu ya kutosha juu ya mambo mazuri kama haya ,expand...
Akikujibu naomba uniiteMkuu please clarify...Germany haikuwa mnufaika wa Marshal Plan ? Marshal Plan ilisaidia Ulaya wakati Ujerumani imeisha gawanywa, sema East Germany, ambayo "ilisaidiwa" Kama unaweza kusaidiwa na USSR wakati huo, maana hali ya East Germany iliingizwa katika mfumo tofauti kabisa, na mpaka anguko la USSR lilipotokea, huwezi kuiweka East Germany kama industrial power house ulaya.
Sources nyingine zinaonyesha asimia kama 11% Ilienda ujerumani Magharibi, Kumbuka pia nia mojawapo ya Marshal Plan ulaya, ilikuwa ni kuzuia kuenea kwa Communism, hivyo Ujermani Magharibi ilikuwa ni mnufaika.
La msingi nchi za Ulaya hazikwenda kukopa ni kama zilipewa tu! Kwa faida ya kwanza ya Marekani, ambayo ilitumia gharama kubwa katika vita, na kuijenga Ulaya kuli hitaji mno resources, ambazo definitely zilitoka Marekani.
Ni kweli kwa sasa Kafulila anafanya kazi kubwa sana kuitetea SerikaliPamoja na kazi nzuri anayoifanya David Kafulila bado Watanzania wanahitaji kupewa Elimu ya kutosha juu ya mambo mazuri kama haya ,
Shida ya Watanzania ni Taarifa tu ndio hawana ndio maana unaweza ukadhani ni wakorofi kumbe hapana