Tetesi: Kafulila kuwa mmoja wa wakuu wa wilaya wapya watakaoteuliwa hivi karibuni

hebu tuyajue hayo majizi
 
Na kwa jinsi Sizonje alivyo na chuki lazima atamwambia "tumbili' huyo mkeo sii atatoa siri za serikali utakazo mwambia?
Sharti ajiuzulu au nikufukuze! Hapo ndio tumbili atakapojua kuwa kaingia kwenye himaya ya uchwara.
Nimekumbuka alivyomwambia Bulembo kuhusu binti yake kupewa mahanjamu na kijana mbunge Wa upinzani na kuambiwa muonye!
 
escrow wanashughulikiwa kiubaguzi,mbona waliobeba kwenye sandarusi hawaguswi
kafulila kaingia kingi kiboya
 
tena apewe haraka kabisa!!!hivi siyo mwanasheria?angefaa kwenye mahakama yamafisadi
 
Vipi tetesi kuhusu wateule watarajiwa wengine?
 
Hayo majizi ya Escrow yako wapi kama bado yapo CCM ajiandae kupambana nayo humo humo ndani.
 
Shida ni njaa tu,siasa za bongo ovyo,ko sa ivi maendeleo ni kuhama tu bac
 
Mbona majizi yaliyogawana hizo pesa bado anayo ndani ya ccm?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…