Umeandika hadithi isiyokuwa na content.
Unadhani kwa nini mataifa, hasa mataifa ambayo wala hayakuwa waanzilishi wa mahakama hii, huamua kuwa wanachama wa hizi mahakama za biashara?
Kwa nchi za Africa na Asia, kama hujui, ni kwamba sababu kubwa ya mataifa kujiunga na taasisi hizi ni kujenga confidence kwa wawekezaji kuwa hamwezi kuwadhulumu kwa kutumia mahakama zenu za ndani zinazoamriwa kutoa hukumu kwa matakwa ya watawala.
Mfano mmojawapo ni kwamba sisi hapo awali hatukuwa wanachama wa taasisi hii. Mkapa alipoingia madarakani, uchumi ukiwa umedorora kabisa, misaada na mikopo kutoka taasisi za fedha tumezuiwa kupewa, Rais Mkapa akaanza kufanya jitihada kubwa kuwapata wawekezaji. Sekta iliyoonekana ingeweza kuwavutia wawekezaji wa nje, ni sekta ya madini. Kwa sababu Tanzania ilikuwa na miundombinu duni kabisa, wataalam walishauri kuwa ni lazima yapatikane makapuni makubwa yenye mitaji mikubwa ndiyo yanayoweza kuwekeza kwenye sekta ya madini, makampuni yatakayokuwa na uwezo wa kujenga miundombinu yao kama umeme, maji na barabara.
Kampuni iliyoonekana kuwa na uwezo huo, kwenye top list ilikuwa Barrick Gold. Serikali ilipoiomba Barrick Gold kuja kuwekeza Tanzania, kwa kumtumia Andrew Young, rafiki wa Hayati Mwalimu Nyerere, Barrick waligoma, wakisema kuwa nchi haina investment security code, tena ikiwa na record mbaya kabisa ya kutaifisha mali za makampuni na watu binafsi mwaka 1967.
Serikali ilijitetea sana kuwa utaifishaji hautatokea, bado Barrick hawakuridhika, wakagoma kuwekeza Tanzania. Serikali ikaiomba World Bank isaidie kuishawishi Barrick. World Bank ikaiambia Serikali ya Tanzania kuwa ili kuwapa confidence Barrick, ni lazima nchi iwe mwanachama wa ICSID na WTO ili nchi ikikiuka, Barrick wawe na uwezo wa kuishtaki. Serikali ya Tanzania ikajiunga. Walivyowaendea Barrick, Barrick bado waligoma kwa maelezo kuwa Tanzania haina mali ya kufidia gharama iliyopo nje ya nchi ambayo wataichukua kama Tanzania itaenda kinyume na haki. Serikali ikalazimika kukopa dola mioni 400, na kuziweka kama bond. Baada ya hapo ndiyo Barrick wakaja kuwekeza Tanzania.
Kama hujarlewa mpaka hapo, sina la kukusaidia.
At one point nilishaelezea hilo BIT being part of implied term, if it covers areas of dispute resolution.BIT ni bilateral investment treaties maana yake ni kwamba serikali A na B wanawekeana mkataba kwamba mwananchi wa A akiweza B asijeakadhulumiwa and B na mwananchi wa B akiweza A asijeakadhulumiwa. Kama atadhulumiwa mali zake anahaki ya kwenda kwenye arbitration. Viena ,The Hague,London,Singapore and Washington DC Magufuli aliamua not to renew same of the expired BIT but he forgot that most of the BITs have a sunset clause that can take up to 10 years all in all the country was doomed to fail in its endeavor to rob investors
Think we are on the same boatAt one point nilishaelezea hilo BIT being part of implied term, if it covers areas of dispute resolution.
It’s the reason I gave the Like in your post.Think we are on the same boat
Haki na usawaLissu anapambania nini?
Hazipo Huru ndiyo maana COVID 19 wamo Bungeni wanakula hela za bure ambazo zingefanya kazi zingine.Mbona mmetaka ziwafukuza akina Halima mmegonga Mwamba?
Eti Mnataka Rais atoe maelekezo mahakamani hili halipo.
Mahakama zetu ni huru sana.
Unao Mfano wowote wa unachokisema?Kimsingi mahakama zetu zingeaminiwa na wawekezaji wa kimataifa, wasingelazimisha arbitration ifanyike katika mahakama za kimataifa.
Kwa hivyo, sioni alipokosea Tundu Lissu.
Kafulila fanya kazi, Unachokifanya ni msaada mkubwa sana kwa ChamaWasalaam wana wa Mungu.
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Simiyu, David Zacharia Kafulila, amekosoa kauli ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu A Lissu kuhusu hoja ya kesi ya kukamatwa kwa Ndege na zingine mashauli yake kushughulikiwa kwenye Mabaraza ya Usuluhishi ya kibiashara kama ICSID- international Center For Settlement of Investment Disputes.
====
Akikosoa kauli hiyo, David Zacharia Kafulila amenukuliwa kwenye mtandao wa tweeter akiandika haya " Sitaki kujadili suala la kesi, naomba nijadili suala moja tu la uelewa kuhusu ICSID na Uanachama wake kwani Tundu A Lissu amepotosha katika hilo na huenda akawafanya wasiofahamu kuamini kwamba Tanzania ni mwanachama wa ICSID kwa Sababu ya Udhaifu wa Mahakama na Serikali ya Tanzania katika kusimamia Uhuru wa Mahakama.
Tundu A Lissu alinukuliwa kupitia ClubHouse akieleza kuwa " Lazma ieleweke kuwa sababu ya mashauri haya ya mikataba baina yetu na kampuni za nje kushughulikiwa kwenye mabaraza haya ya usuluhishi wa migogoro ya biashara na uwekezaji kama ICSID inatokana na tabia ya Serikali yetu ikiwa chini ya JPM na hata Samia kuingilia mambo ya mahakama na hivyo mahakama kukosa uhuru. Hivyo mahakama zetu haziaminiki, serikali yetu haiaminiki, hatuaminiki kwasababu ya rushwa za majaji na kuingiliwa na Ikulu. ndio sababu mashauri haya yanamuliwa ICSID "
Tundu A. Lissu ambae ni M/kiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na aliyekuwa Mgombea wa Urais wa JMT aliyepata kura kiduchu sana katika Uchaguzi Mkuu uliyopita wa 2020, ambaye pia ni Kiongozi wa Chama cha Siasa pekee ambaye familia yake yote ni Raia wa Marekani ameonekana mara zote kuwa upande wa mataifa ya nje kuliko taifa lake.
David Zacharia Kafulila anatoa mfano wa nchi kubwa kama Marekani na Uchina zikiwa nchi wanachama wa ICSID kama ilivyo kwa Tanzania pamoja na nchi nyingine zaidi ya 166 kumuuliza Tundu A. Lissu kuwa nchi zote hizi Mahakama zao zinaingiliwa kama ilivyo kwa Tanzania ama ni utaratibu tu wa hiari wa kiusuluhishi uliowekwa Duniani katika kuoneaha imani kwa wawekezaji hasa wa nje?
Hoja ya David Zacharia Kafulila kwa Tundu A. Lissu ni kwamba kama Tanzania Mahakama zake siyo huru ndiyo sababu kesi za migogogro ya kibiashara zinafanyikia nje kwenye tume hii ya ICSID. Je, Marekani na Uchina ambazo nazo kesi zao za migogogro ya kibiashara zinafanyikia huko huko ICSID tulikopelekwa sisi kwa hoja ya hiyo ya Lissu anataka tuamini pia kuwa Mahakama za mataifa haya pia haziko huru?
" Lissu acha kuzipaka matope Mahakamani za Tanzania, unataka kutuambia US & China ambao nao ni wanachama wa ICSID Mahakama zao zinaingiliwa ?"
View attachment 2433362View attachment 2433363
Mfano gani unataka?Unao Mfano wowote wa unachokisema?
Ungetaja Kesi ambao wawekezaji walizifungua Tanzania na Dola Au Ikulu ikaingilia,Mfano gani unataka?
Hujasikia rais anawaambia TLS kwamba wakiwabana kwa sheria za nje, yeye atawabana kwa za ndani.
Maana yake rais kashajihakikishia uwezo wa kubana kwa kutumia sheria za ndani, haogopi uhuru wa mahakama, kwa vile anaona ni kitu anachoweza kuki control.
Sasa katika mazingira kama hayo, wawekezaji wakiona na wao wanaweza kubanwa kwa sheria za ndani, kwa nini wasitafute haki mahakama za kimataifa na kwenye mabaraza ya usuluhishi ya kimataifa?
Judiciary ya Tanzania ilishavurugwa, marais wa Tanzania washasema na kufanya mengi yaliyoondoa confidence. Mahakama zimefanywa kitegauchumi.
Sasa hapo utasema kuna uhuru wa mahakama Tanzania?
Unauliza mfano?
Hiyo mikataba yote inayovunjwa kiholela na kusababisha ndege kushikwa, kuanzia wa Herman Stein mpaka huu, unafikiri ni nini?
Nimekutajia kesi ya Herman Stein. Hujui kusoma?Ungetaja Kesi ambao wawekezaji walizifungua Tanzania na Dola Au Ikulu ikaingilia,
Wasalaam wana wa Mungu.
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Simiyu, David Zacharia Kafulila, amekosoa vikali kauli ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu A Lissu kuhusu kesi iliyopelekea kukamatwa kwa Ndege yetu na Kesi zingine mashauli yazo kushughulikiwa kwenye Mabaraza ya Usuluhishi ya kibiashara kama ICSID- international Center For Settlement of Investment Disputes.
====
Akikosoa kauli hiyo, David Zacharia Kafulila amenukuliwa kwenye mtandao wa tweeter akiandika haya " Sitaki kujadili suala la kesi, naomba nijadili suala moja tu la uelewa kuhusu ICSID na Uanachama wake kwani Tundu A Lissu amepotosha katika hilo na huenda akawafanya wasiofahamu kuamini kwamba Tanzania ni mwanachama wa ICSID kwa Sababu ya Udhaifu wa Mahakama na Serikali ya Tanzania katika kusimamia Uhuru wa Mahakama na majaji"
Tundu A Lissu alinukuliwa kupitia ClubHouse akieleza kuwa " Lazma ieleweke kuwa sababu ya mashauri haya ya mikataba baina yetu na kampuni za nje kushughulikiwa kwenye mabaraza haya ya usuluhishi wa migogoro ya biashara na uwekezaji kama ICSID inatokana na tabia ya Serikali yetu ikiwa chini ya JPM na hata Samia kuingilia mambo ya mahakama na hivyo mahakama kukosa uhuru. Hivyo mahakama zetu haziaminiki, serikali yetu haiaminiki, hatuaminiki kwasababu ya rushwa za majaji na kuingiliwa na Ikulu. ndio sababu mashauri haya yanaamuliwa ICSID "
Tundu A. Lissu ambae ni M/kiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na aliyekuwa Mgombea wa Urais wa JMT aliyepata kura kiduchu sana katika Uchaguzi Mkuu uliyopita wa 2020, ambaye pia ni Kiongozi wa Chama cha Siasa pekee ambaye familia yake yote ni Raia wa Marekani ameonekana mara zote kuwa upande wa mataifa ya nje kuliko taifa lake.
David Zacharia Kafulila anatoa mfano wa nchi kubwa kama Marekani na Uchina zikiwa ni nchi wanachama wa ICSID kama ilivyo kwa Tanzania pamoja na nchi nyingine zaidi ya 166 nazo ni wanachama kama Sisi, Tumuulize Tundu A. Lissu kuwa JE? nchi zote hizi Mahakama zao zinaingiliwa kama ilivyo kwa Tanzania ama ni utaratibu tu wa hiari wa kiusuluhishi uliowekwa Duniani katika kuonesha imani kwa wawekezaji hasa wa nje?
Hoja ya David Zacharia Kafulila kwa Tundu A. Lissu ni kwamba kama Tanzania Mahakama zake siyo huru ndiyo sababu kesi za migogogro ya kibiashara zinafanyikia nje kwenye tume hii ya ICSID. Je, Marekani na Uchina ambazo nazo kesi zao za migogogro ya kibiashara zinafanyikia huko huko ICSID tulikopelekwa sisi kwa hoja hiyo ya Lissu anataka tuamini pia kuwa Mahakama za mataifa haya pia haziko huru?
TULIPENDE TAIFA LETU
===
" Lissu acha kuzipaka matope Mahakamani za Tanzania, unataka kutuambia US & China ambao nao ni wanachama wa ICSID Mahakama zao zinaingiliwa ?"
View attachment 2433362View attachment 2433363
Kafulila ni miongoni mwavijana smart sana walioko ndani ya CCM, BAVICHA wanamchukia yeye badala ya hoja zakeexpand...

Na bado kidogo tu atapata shavu maana amekazana sana.Kafulila anapambania cheo
Lissu Chalii tu aliyechangamkaWasalaam wana wa Mungu.

Hujawahi kumiliki akili nakupuuzaWewe hunaga hoja zaidi ya matusi
KAZIIENDELEEWasalaam wana wa Mungu.

Ni kwamba Tundu Lissu hajui anachotaka hasa ni nini hasaHuna akili ya kutosha kumuelewa