Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Chadema imeomba Mahakama ipi iwafukuze wakina Halima? Na iwafukuze kutoka wapi?Mbona mmetaka ziwafukuza akina Halima mmegonga Mwamba?
Eti Mnataka Rais atoe maelekezo mahakamani hili halipo.
Mahakama zetu ni huru sana.
Sahihi kabisa. Sisi ni Nguchiro republic. Hatuna mahakama wala bunge. Kila kitu kimo mikononi mwa Rais.Rais juzi akiongea na mawakili wa Afrika mashariki alusemaje?
Kwamba nyie tumieni sheria zenu za nje mie nita tumia sheria zangu kuhakikisha.
Huu ndio ushahidi kwamba mahakama zetu ziko mikononi mwa dola. Na haziko huru.
Lusu kumwelewa ni lazima uwe na upeo mpana wa akili.Lissu huyu huwa simwelewi kabisa
Arbitrations sio mahakama za kawaida which sits all year round. Hizi zinaitwa ADR na hearing ni private.Hoja ya Kafulila ni ya upeo mdogo.
1) Haelewi nani walianzisha mahakama hiyo
2) Haelewi kwa nini ilionekana kuna haja ya kuanzisha mahakama hiyo
Ukweli ni kwamba ilianzishwa baada ya kuonekana katika baadhi ya nchi ni ngumu sana kushughulikia migogoro ya biashara hasa pale inapokuwa ni dhidi ya Serikali kwa sababu katika mataifa hayo, Serikali inaweza kuingilia maamuzi yoyote yale.
Sasa ili wawekezaji wawe na uhakika wa uwekezaji wao au biashra zao kutoingiliwa na maamuzi ya uonevu yanayofanywa na Serikali na watawala, nchi inatakiwa kuwa mwanachama wa chombo hiki, ili iweze kushtakiwa na kuhukumiwa inapoenda kinyume.
Hizi sheria zetu za ajabu ajabu eti ukitaka kuishtaki Serikali kwanza upate kibali cha Serikalu, utaweza kweli kuishtaki Serikali na upate haki yako dhidi ya Serikali? Jibu ni hapana. Kwa hiyo maelezo ya Lisu ni sahihi kabisa, maana ndiyo lengo lililokusudiwa. Hii ina maana kama kampuni au mtu anaenda kuwekeza kwenye huzu Guchiro republics, na hizo nchi siyo mwanachama wa chombo hiki, unafanya hivyo at your own risk.
Ukiwa na akili ndogo kama Andunje huwezi kumwelewa.Lissu huyu huwa simwelewi kabisa
Yan huyu Tumbili badala ya kushauri serikali ilipe deni anakimbilia kum attack Lissu ili akumbukwe tena kwenye uteuzi, Chawa pro max pumbavu kweliWasalaam wana wa Mungu.
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Simiyu, David Zacharia Kafulila, amekosoa kauli ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu A Lissu kuhusu hoja ya kesi ya kukamatwa kwa Ndege na zingine mashauli yake kushughulikiwa kwenye Mabaraza ya Usuluhishi ya kibiashara kama ICSID- international Center For Settlement of Investment Disputes.
====
Akikosoa kauli hiyo, David Zacharia Kafulila amenukuliwa kwenye mtandao wa tweeter akiandika haya " Sitaki kujadili suala la kesi, naomba nijadili suala moja tu la uelewa kuhusu ICSID na Uanachama wake kwani Tundu A Lissu amepotosha katika hilo na huenda akawafanya wasiofahamu kuamini kwamba Tanzania ni mwanachama wa ICSID kwa Sababu ya Udhaifu wa Mahakama na Serikali ya Tanzania katika kusimamia Uhuru wa Mahakama.
Tundu A Lissu alinukuliwa kupitia ClubHouse akieleza kuwa " Lazma ieleweke kuwa sababu ya mashauri haya ya mikataba baina yetu na kampuni za nje kushughulikiwa kwenye mabaraza haya ya usuluhishi wa migogoro ya biashara na uwekezaji kama ICSID inatokana na tabia ya Serikali yetu ikiwa chini ya JPM na hata Samia kuingilia mambo ya mahakama na hivyo mahakama kukosa uhuru. Hivyo mahakama zetu haziaminiki, serikali yetu haiaminiki, hatuaminiki kwasababu ya rushwa za majaji na kuingiliwa na Ikulu. ndio sababu mashauri haya yanamuliwa ICSID "
Tundu A. Lissu ambae ni M/kiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na aliyekuwa Mgombea wa Urais wa JMT aliyepata kura kiduchu sana katika Uchaguzi Mkuu uliyopita wa 2020, ambaye pia ni Kiongozi wa Chama cha Siasa pekee ambaye familia yake yote ni Raia wa Marekani ameonekana mara zote kuwa upande wa mataifa ya nje kuliko taifa lake.
David Zacharia Kafulila anatoa mfano wa nchi kubwa kama Marekani na Uchina zikiwa nchi wanachama wa ICSID kama ilivyo kwa Tanzania pamoja na nchi nyingine zaidi ya 166 kumuuliza Tundu A. Lissu kuwa nchi zote hizi Mahakama zao zinaingiliwa kama ilivyo kwa Tanzania ama ni utaratibu tu wa hiari wa kiusuluhishi uliowekwa Duniani katika kuoneaha imani kwa wawekezaji hasa wa nje?
Hoja ya David Zacharia Kafulila kwa Tundu A. Lissu ni kwamba kama Tanzania Mahakama zake siyo huru ndiyo sababu kesi za migogogro ya kibiashara zinafanyikia nje kwenye tume hii ya ICSID. Je, Marekani na Uchina ambazo nazo kesi zao za migogogro ya kibiashara zinafanyikia huko huko ICSID tulikopelekwa sisi kwa hoja ya hiyo ya Lissu anataka tuamini pia kuwa Mahakama za mataifa haya pia haziko huru?
" Lissu acha kuzipaka matope Mahakamani za Tanzania, unataka kutuambia US & China ambao nao ni wanachama wa ICSID Mahakama zao zinaingiliwa ?"
View attachment 2433362View attachment 2433363
Unachanganya mambo. Suala la arbitration linawekwa kwenye mkataba na taasisi itakayokubalika na pande zote mbili. Bila kipengele hicho wawekezaji hawatii saini.Arbitrations sio mahakama za kawaida which sits all year round. Hizi zinaitwa ADR na hearing ni private.
Uwezi kwenda kujifungulia tu case lazima iwe sehemu ya makubaliano ya mkataba. Sasa mkataba sio lazima uwe expressed ata unapoingia bilateral trade agreement ikisema mgogoro na wawekezaji wao utatatuliwa on neutral ground hapo umewapa wawekezaji uhalali wakukufungulia case arbitration yeyote. Ndio kama hao wa Swedes wamepata uhalali huo wakufungua kesi kunatokana na bilateral trade na Tanzania iliyopo.
For arbitration to be legal binding inabidi nchi zijiunge (voluntary) ili kuweza kutekeleza maamuzi yake na sio zote zimejisajili na arbitration zote. Ndio maana South Africa waliachia ndege ya ATCL kwa sababu hawakuwa wanachama wa arbitration iliyotoa maamuzi ya case husika, jamaa wakakimbilia Canada.
Surely haya mambo dispute resolution processes na contract law wanafunzi wa business management and other disciplines other than law wanafundishwa huko UDSM, it is basic knowledge kwenye dunia ya biashara maana huyo Lissu huko anajiropokea tu.
Uko wapi Upuuzi wa Kafulila?Mpuuzi sana huyu! Hawa watu wajinga sana. Wakitoka kwa vyeo hawana kingine chochote cha kufanya zaidi ya kujikomba?
Lissu sio mtu mzuri.
Kwanza yeye watoto wake sio Watanzania.
Hata Kama atatupiganisha tukauana yeye na familia yake atabaki kuwa salama.
Tumwogope kabisa Huyu mtu kwa usalama wa Taifa letu.
Asante Mzalendo Kafulila.
Umeishia darasa la ngapi ? hivi Halima Mdee ni mbunge halali ?Mbona mmetaka ziwafukuza akina Halima mmegonga Mwamba?
Eti Mnataka Rais atoe maelekezo mahakamani hili halipo.
Mahakama zetu ni huru sana.
Hakika !Watu wenye akili za kawaida sometimes sio rahisi kuwaelewa watu wenye akili nyingi.
Kwahiyo unaomba Lissu akusamhe??Tatizo la Ndg yetu Lissu ni Chuki
Hata vitabu vya Mungu vinatuasa kusameheana
Mungu amsaidie moyo wa kusameheana
Lissu huyu huwa simwelewi kabisa
Pumzika mkuu, Usiku huuHuwezi kumwelewa kama anazungumzia kitu usichokifahamu au usichokikubali au ukiwa na chuki nae.
Ni mara nyingi chuki au kutokubalika vimekuwa ni sababu za kutochaguliwa watu wenye mawazo tofauti - sio lazima mawazo hayo tofauti yawe mabaya!!
Kama ziwa Tanganyuka samaki wameisha, akaombevshamba Kiimboi kwa wakwe zake alime alizeti.Kafulila anapambania cheo
View attachment 2433778
Nachingwea and others v. Tanzania | Investment Dispute Settlement Navigator | UNCTAD Investment Policy Hub
Discover UNCTAD’s one stop shop on all investment policy matters ranging from national and international regulation to cutting-edge publications, news and discussions.investmentpolicy.unctad.org
Mwingine huyo hapo anataka kulipwa fidia ya $95 million, sasa ukiwa google arbitrators waliochaguliwa utaona ni industry experts na haya mambo ni private.
Jamaa kazi yake kuwalisha matango pori wafuasi wa CDM ambao wameamua kumuabudu gullibly.