Mwananchi Huru
JF-Expert Member
- Nov 20, 2021
- 2,128
- 1,896
- Thread starter
- #41
Wewe hunaga hoja zaidi ya matusiSawa wewe usiye na matatizo nenepa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe hunaga hoja zaidi ya matusiSawa wewe usiye na matatizo nenepa.
Hujaona hizo hoja hapo kweli?Huwezi kumjibu mtu mwenye tamaa , maana anafikiri kwa tumbo.
lipeni deni,msisingizie watu.Dawa ya deni ni kulilipa.Lissu sio mtu mzuri,
Kwanza yeye watoto wake sio Watanzania..
Mimi mwenyewe ningekuwa na ujanja huo watoto wangu ningewasajiri mbele huko. Una nafasi unawaachaje watoto kwenye nchi haijulikani kesho yake.Lissu sio mtu mzuri,
Kwanza yeye watoto wake sio Watanzania,
Hata Kama atatupiganisha tukauana yeye na familia yake atabaki kuwa salama...
lissu sio mzuri kwa mapunga ya ccm na atawanyoosha mpaka akili iwarudi na ujinga wenu.Lissu sio mtu mzuri,
Kwanza yeye watoto wake sio Watanzania,
Hata Kama atatupiganisha tukauana yeye na familia yake atabaki kuwa salama,
Tumwogope kabisa Huyu mtu kwa usalama wa Taifa letu
Asante Mzalendo Kafulila
chuki kwa wapumbavu na madikiteta ni ruksa isipokuwa kwa mtu asiyemwonevu.Tatizo la Ndg yetu Lissu ni Chuki,
Hata vitabu vya Mungu vinatuasa kusameheana,
Mungu amsaidie moyo wa kusameheana
akikujibu unitagRais juzi akiongea na mawakili wa Afrika mashariki alusemaje?
Kwamba nyie tumieni sheria zenu za nje mie nita tumia sheria zangu kuhakikisha......
Huu ndio ushahidi kwamba mahakama zetu ziko mikononi mwa dola. Na haziko huru...
Mtu una akili za kuvukia barabara utamuelewa kweli mtu mwenye akili nyingi kama Lissu😂😂😂Lissu huyu huwa simwelewi kabisa
Na hutaweza kumuelewa kamwe kama akili utafungia kwenye boxLissu huyu huwa simwelewi kabisa
hoja gani huyo kafulila ndio anapotosha mwambie aweke clip ya lissu tuisikilize neno kwa neno ndio ueleww alichosema Lissu na kama hujui lissu alichosema ni kwamba mara nyingi serikali hutumia ubabe ndio maana inalazimika njia ya utatuz wa migogoro kwenda kwenye arbitration for determination of the matter in dispute na akarejea for the case at hand serikali kama ya tanzania ni serikali ya hovyo inayofikir inaweza kutumia ubabe kwenye mambo ya uwekezaji wa kigeni.Nadhani mjibuni hoja yake achaneni na hoja kwamba anatafuta UTEUZI
Siku CCM ikiwekwa pembeni na akili zenu kuwa sawa hapo ndipo mtakapogundua kuwa Mahakama zetu haziko huruMbona mmetaka ziwafukuza akina Halima mmegonga Mwamba?
Eti Mnataka Rais atoe maelekezo mahakamani hili halipo,
Mahakama zetu ni huru sana
kwa Tanzania ukiwa msema kweli unaonekana mamluki wa mabeberuLissu sio mtu mzuri,
Kwanza yeye watoto wake sio Watanzania...
Kafulila ni kweli anatafuta uteuzi amekuwa chawa na Lissu ni kweli hujifanya ni mjuaji sana kuliko wengine.Kafulia tafuta kazi nyingine ya kufanya, teuzi zimejaa!.
Tatizo la Tanzania sio kusema ukweli bali wanatizama ni nani anasema, kuna watu hata wakisema ukweli watu wataishia kumjadili yeye badala ya hoja yake na wengine hata wakipitosha watasikilizwa kwa sababu aliyesema ni fulani.kwa Tanzania ukiwa msema kweli unaonekana mamluki wa mabeberu
Ila kiukwel kbs bila kupepesa macho hii nchi yetu watu wangekua wanatoa maoni yao aku kusema ukwel bila kutegemea kupata chochote kitu iwe pesa au madaraka, sidhan kama tawala hizi zingepata sapoti!!Wasalaam wana wa Mungu.
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Simiyu, David Kafulila, amekosoa kauli ya Makam Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu kuhusu hoja ya kesi kukamatwa ndege...
Kafulila wa hoja , kafulia Hoja !Wasalaam wana wa Mungu.
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Simiyu, David Kafulila, amekosoa kauli ya Makam Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu kuhusu hoja ya kesi kukamatwa ndege na zingine mashauli yake kushughulikiwa kwenye mabaraza la usuluhishi ya kibiashara kama ICSID- international Center For Settlement of Investment Disputes.
====
Akikosoa kauli hiyo, Kafulila amenukuliwa kwenye mtandao wa tweeter akisema kuwa " Sitaki kujadili suala la kesi, naomba nijadili suala moja tu la uelewa kuhusu ICSID na uanachama wake kwani Lissu amepotosha katika hilo na anawezafanya wasiojua kuamini kwamba Tanzania ni mwanachama wa ICSID Sababu ya udhaifu wa Mahakama na Serikali katika kusimamia uhuru wa Mahakama
TunduLissu alinukuliwa kupitia ClubHouse akieleza kuwa " Lazma ieleweke kuwa sababu ya mashauri haya ya mikataba baina yetu na kampuni za nje kushughulikiwa kwenye mabaraza haya ya usuluhishi wa migogoro ya biashara na uwekezaji kama ICSID inatokana na tabia ya Serikali yetu ikiwa chini ya JPM na hata Samia kuingilia mambo ya mahakama na hivyo mahakama kukosa uhuru. Hivyo mahakama zetu haziaminiki, serikali yetu haiaminiki, hatuaminiki kwasababu ya rushwa za majaji na kuingiliwa na Ikulu. ndio sababu mashauri haya yanamuliwa ICSID "
Tundu A. Lissu ambae ni M/kiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na aliyekuwa Mgombea wa Urais wa JMT aliyepata kura kiduchu sana katika Uchaguzi Mkuu uliyopita wa 2020, ambaye pia ni Kiongozi wa Chama cha Siasa pekee ambaye familia yake yote ni Raia wa Marekani ameonekana mara zote kuwa upande wa mataifa ya nje kuliko taifa lake.
David Zacharia Kafulila anatoa mfano wa nchi kubwa kama Marekani na Uchina zikiwa nchi wanachama wa ICSID kama ilivyo kwa Tanzania pamoja na nchi nyingine zaidi ya 166 kumuuliza Tundu A. Lissu kuwa nchi zote hizi Mahakama zao zinaingiliwa kama ilivyo kwa Tanzania ama ni utaratibu tu wa hiari wa kiusuluhishi uliowekwa Duniani katika kuoneaha imani kwa wawekezaji hasa wa nje?
Hoja ya David Zacharia Kafulila kwa Tundu A. Lissu ni kwamba kama Tanzania Mahakama zake siyo huru ndiyo sababu kesi za migogogro ya kibiashara zinafanyikia nje kwenye tume hii ya ICSID. Je, Marekani na Uchina ambazo nazo kesi zao za migogogro ya kibiashara zinafanyikia huko huko ICSID tulikopelekwa sisi kwa hoja ya hiyo ya Lissu anataka tuamini pia kuwa Mahakama za mataifa haya pia haziko huru?
" Lissu acha kuzipaka matope Mahakamani za Tanzania, unataka kutuambia US & China ambao nao ni wanachama wa ICSID Mahakama zao zinaingiliwa ?"
View attachment 2433362View attachment 2433363
Hana jeuri hiyoKafulia tafuta kazi nyingine ya kufanya, teuzi zimejaa!.
Umerukia kuandika "Mungu amsaidie moyo wa kusameheana"!Kwani kuna mtu alimuudhi?Alimuudhi kwa nini?Kusamehe ni hiyari au lazima?Unaweza kumchagulia mtu uamuzi?Tatizo la Ndg yetu Lissu ni Chuki
Hata vitabu vya Mungu vinatuasa kusameheana
Mungu amsaidie moyo wa kusameheana