Kafulila: Lissu acha kuzipaka matope Mahakama za Tanzania, unataka kutuambia US & China ambao nao ni wanachama wa ICSID Mahakama zao zinaingiliwa?


Tatizo unamshambulia Lissu kwa kuongea uongo.
 

Unachopinga ni Nini?. ICSD jukumu lake ni kusikiliza mashauri ya kiuwekezaji baina ya private entity na host state ambaye ni mwanachama wa hiyo mahakama.
 
Watu wengi wa tanzania unaowaamini hawana uraia wa Tanzania

Siku ukija kuwajua hutoamini macho yako, huyo lisu ni mmoja Kati ya 200+ ambao watoto wao au wao wenyewe ni raia wa inchi zingine na niviongozi wetu


Na mwingine katumbuliwa juzi Tu hapa

Lissu ni raia wa Tanzania, ila watoto wake ni raia wa marekni wa kuzaliwa
 
Lisu hajawahi kuwa na akili. Kama unanibishia, akigombea uenyekiti wa chama chenu, utaniambia kama atashinda.

Lissu Hana akili?. Definition ya akili ni Nini? Kapata division 1 0 level and A level, kapata hons bachelor na kapata distinction Warwick. Kama hana akili na kapata vyote hivi je, wewe umepata Nini?.

Usiwe mwepesi wa kutamka maneno Kama huna uhakika. Angekuwa Hana akili asinge limwa risasi na serikali dhalimu na mwishowe dhalimu akadondoka yeye.
 
Unaongea nini ndugu? Mbona unachoeleza ndicho alichodadavua Lissu tena kwa undani zaidi?Au hujasikia clip yake? Au ni chuki zako tu kwake? Wewe ni wa kumfundisha sheria Lissu kweli?
 
Unachopinga ni Nini?. ICSD jukumu lake ni kusikiliza mashauri ya kiuwekezaji baina ya private entity na host state ambaye ni mwanachama wa hiyo mahakama.
Shangaa ndugu. Huyu jamaa ana chuki tu na Lissu.
 
Nauliza tu
Upinzani upo au tuanzishe vyama mbadala.
Chadema Mpo kimya yote yanatokea mnayabariki kimtindo
Mmezibwa midomo au
What’s the point ya kuwa na safari na Mikutano ya nje huku mkijua haiwasaidii zaidi ya kupiga maphotooo

Punguza unafiki, CHADEMA wamezuiliwa kufanya siasa miaka Saba Sasa inaenda kuisha, ulifanya Nini?. Wakati wanaaanzisha harakati za ukuta jeshi la polisi likaingilia na hadi JWTZ wakaingilia. Uliwaunga mkono au ulisubiri wauawe ufurahie?.

Wakati Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA anapigwa risasi na kuvuliwa ubunge ulifanya nini kupinga Hilo, wakati Mwenyekiti wa CHADEMA amepewa kesi ya ugaidi ulienda hata kumtembelea mahakamani?. Acha unafiki.

Wewe baki na CCM yako acha kujifanya unaiponda CHADEMA, wakati kipindi inapitia magumu ulikuwa kimya na kufurahia.
 
Kama hoja ni mbona hata US nao ni wanachama?

Marekani ni wanachama kwa sababu wanawawekezaji nchi nyingi duniani. Hivyo kwa kuwa mwanachama itawasaidia kutokudhurumiwa na host states walipowekeza.
 
Lissu sio mtu mzuri.

Kwanza yeye watoto wake sio Watanzania.

Hata Kama atatupiganisha tukauana yeye na familia yake atabaki kuwa salama.

Tumwogope kabisa Huyu mtu kwa usalama wa Taifa letu.

Asante Mzalendo Kafulila.

Kwa taarifa yako sisi machafuko ni lazima ili kuwang'oa wakoloni weusi bila hata ushawishi wa Lisu. Na tutahakikisha tunalipa kisasi kwa madhalimu wote wa CCM na ukatali waliotufanyia wapinzani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…